jinsia moja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bey Minyodo Tz, kijana wa Tanzania anayewaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Bey Minyodo Tz ni kijana pande la miraba miwili mwenye mwili mkakamavu wa mazoezi anayechunguza na kuwaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja Minyodo amekuwa akiwatembezea viboko na makwenzi wale wote wanaoingia anga zake huku akiwaonya kujihusisha na ulawiti Amekuwa akiungwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tupinge Mapenzi ya jinsia moja kwa vitendo

    Vijana wanakimbilia humo kama sifa vile. Haifai hata kidogo. Utuvwa mwanaume upo wapi?
  3. JamiiForums Tanzania Umoja Wa Makanisa Ya Kipentekoste(CPCT) Tabora Yakana Tuhuma "Mapenzi Ya Jinsia Moja"

    Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Mkoa wa Tabora limeiomba Serikali kuruhusu kuendelea kwa mkutano wa injili unaotarajiwa kufanyika kuanzia Machi 19 hadi 22, 2026 ukiongozwa na Mchungaji Dkt. Dana Morey kutoka Marekani. Ombi hilo limekuja baada ya Serikali ya mkoa kusitisha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Haitaji Shule za Bweni za Jinsia Moja

    Katika dunia ya sasa, Tanzania inakua na changamoto nyingi za kijamii na kielimu. Mojawapo ya changamoto hizo ni mfumo wa shule za bweni za jinsia moja (hasa zile zisizo za kidini). Ingawa mfumo huu ulikuwa na nafasi yake katika historia, leo hii unazalisha matatizo makubwa kuliko faida. 1...
  5. JamiiForums Tanzania Mdau: Vijana mnapenda starehe mnapenda anasa, acheni!

    Mdau mwenye lafudhi ya pwani atoa maoni yake kuhusiana na tabia mbovu zinazofanywa na vijana wa kizanzibari
  6. JamiiForums Tanzania Shetani punguza masharti. Hili sharti la kupandana watu wa jinsia moja linatumalizia vijana wetu

    Hello! Wanaume wanapopandana au wanawake wanapopandana wao kwa wao automatically ni kama wanajiengua kwenye idadi ya watu duniani. Kama kwenye familia au ukoo mko 50 na 5 wamekuwa mashoga na wasagaji hiyo familia inapaswa kuhesabika mko 45 tu. This calculation also can be applied in national and...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuuzwa kama njugu kwa video ya wadada wa kitanzania wanao fanya mapenzi ya jinsia moja kuna leta tafsiri gani?

    Huko Telegram kuna makundi ya WhatsApp yanatangaza kuuza video inayo waonyesha wawili wali Tanzania wakifanya mapenzi ya jinsia moja.. Makundi ha to yanatoza Kati ya she elfu tatu hadi tano, na watu wengi sana wanalipa hela kujiunga kwenye ma group hayo ili wapate kuona video hizo. Ni kwamba...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kifuta Shule za bweni za Jinsia Moja

    Miaka ya nyuma dada ambaye sasa ni mtu mzima alikuwa anasoma Loleza Sekondari Mbeya; alinisimulia jinsi mchezo wa wanawake kuchezeana ulikuwepo. Akasema msichana mwenzako unamwona ndiyo mwanaume wako. Shule za Jinsia Moja hazitakiwi kabisa kuwepo zinachochea sana ushoga na usagaji. Kwa kuwa watu...
  9. JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania, Uganda na Kenya zinapoteza hadi dola bilioni 5 kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja

    Ripoti mpya iliyochapishwa leo Machi 26, 2025 inaonesha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda yanapoteza hadi dola bilioni 5 sawa na Shilingi Trilioni 13 za kitanzania kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja. Ripoti hiyo ya shirika la hisani la Open for Business la...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zimelipa kisogo suala la kupambana na mapenzi ya jinsia moja.

    Wana jamvi "Tumsifu Yesu kristu, Asalaam aleykum , Bwana yesu Apewe Sifa"! Naiomba serikali yangu JMT iamke, Nimeshangazwa saana na Ongezeko la mashoga mtaani tena wakitembea kwa madaha kabisa, yaan mpaka mtoto wa shule ya msingi ana nyoosha kidole shoga yule...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Ukristo unakataza kuoa wake wengi?

    Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie...
  12. JamiiForums Tanzania Mtwara: Mwalimu atiwa mbaroni kwa kujihusha na mapenzi ya jinsia moja

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Nanyani iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, Mohamed Ally Kajao (34) na Dickson Paul Tamba (27), mjasiriamali, mkazi wa Mkuti Chini Machinjioni wilayani Masasi, kwa kujihusisha...
  13. JamiiForums Tanzania Thailand imehalalisha rasmi ndoa za watu wa jinsia moja. Ni nchi ya kwanza Kusini-mashariki mwa Asia kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja

    Aisee, Hata unakosa cha kuandika, upuuzi wa kiwango kilichopitiliza.
  14. JamiiForums Tanzania FEMINA HIP popote mlipo uzi wangu uwafikie, rudisheni program yenu ili muwaokoe vijana na janga la ngono, mimba za utotoni na mapenzi ya jinsia moja

    https://feminahip.or.tz/ FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana na Magazine za Femina Hip kwasababu tulifahamu njia zote mbaya za kutuingiza kwenye vishawishi vibaya...
  15. JamiiForums Tanzania Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

    Uislamu ni dini inayokua kwa kasi ulimwenguni, jamii hiyo imefanya maandamano ya amani kuunga mkono ndoa za jinsia moja. Pichani ni waislamu wa uk wakifurahia mwenendo wa maandamano. Nakuacha na nukuu toka kwa Mtume Muhammad, kipenzi cha Waislamu wakweli. Kasema Mtume (s.a.w) "Anamwijia...
  16. JamiiForums Tanzania Washiriki wa Mapenzi ya Jinsia Moja kufikishwa Mahakamani, Serikali Yajipanga Kusimamia Sheria

    Serikali imeahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili kukomesha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ambavyo vinakiuka sheria, taratibu, mila na desturi pamoja na kuwakamata wanaojihusisha, sambamba na kuchukua hatua za kuwapeleka Mahakamani Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI Tundu Lissu amekiri kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja

    Nimekutana na post inasambaa mtandaoni Tundu Lissu akisema anaunga mkono ushoga na video ina maneno yanayosema "Lissu akiri kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja" je post hii ina ukweli wowote?
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshiriki meza ya Bwana Kanisa Wasabato salasala, wanaume wamewaosha miguu wake zao!, kawaida jinsia moja hutawadhana kama alivyofanya Bwana Yesu

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeshiriki meza ya Bwana (Lords Supper) kama ilivyoagizwa na Bwana wetu Yesu Kristo kama njia ya kumkumbuka. Hata hivyo nimeshuhudia utaratibu mpya kwenye zoezi la kutawadhana/ kuoshana miguu ambao sijawahi kushuhudia hata siku moja ndani ya Kanisa Kawaida watu...
  19. JamiiForums Tanzania Tukatae ndoa za Jinsia moja - Si utamaduni wetu

    1. Kwa pamoja tukatae ndoa za Jinsia moja. Huu si utamaduni wetu wa-Tanzania, ndugu zangu. 2. Pia, apps zinazohamasisha Ushoga zifungiwe. Hizi apps zimekua msiba Kwa vijana (Hasa wanachuo). 3. NGOs, vituo vya watoto yatima na Sober house zifuatiliwe Kwa karibu. Huko ndo agenda za Ushoga...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…