Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).
Wafanya biashara wengi hupigwa fines wasizozitegemea na wanajikuta na mrundikano wa madeni makubwa yanayo waelemea kila uchwao.
SAbabu kuu zinazofanya wafanya biashara wanapigwa fines ni kutokuzijua compliances wanazotakiwa kuzifanya kila mwezi na kila mwaka.
Nimekuandalia E-book inayoitwa...
Wakuu poleni na matatizo yanayoikumba nchi yetu. Poleni kwenu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki kutokana na yaliyojiri oct29
Bila kuwachosha. Kuna msemo maarufu usemao """Wajinga ndiyo waliwao"""'
Ilikuwa tarehe 20 mwezi wa 11 mwaka 2025 ndo siku ambayo kwa mara ya kwanza nilihisi...
❌ Tatizo la Watu Wengi:
Watu wengi wanataka kutengeneza pesa mtandaoni lakini wanaamini bila mtaji haiwezekani.
Ukweli ni kwamba… mtaji mkubwa si pesa, ni maarifa + muda +uvumilivu .
Njia 3 za kutengeneza pesa mtandaoni ambazo unaweza kuanza Bila Mtaji
1️⃣ Kuuza Ujuzi (Hata Kama Unaona Ni...
Vyombo kadhaa vya habari barani Ulaya na Marekani vimeuandika raisi Samia vibaya sana kuhusu azma yake ya kung'ang'ania madaraka ambayo ilimpelekea kuamuru raia wake wauawe na vyombo vya usalama vya Tanzania.
Lakini gazeti la The Sun la nchini Uingereza toleo la tarehe 6 Disemba nalo...
Wakuu, moja kati ya passions nilizonazo ni pamoja na kuwa "data analyst ".
Nipo kwenye process ya kumalizia SQL queries course relating to data analytics.
Katika research ambayo nimefanya huko YouTube, wanasa ni lazima nizijue zofuatazo.
1. Sql
2. Advanced excel ikiwemo "pivot table and Vlookup...
Hakikisha nyumbani ukosi kichupa chenye asidi
Hakikisha nyumbani ukosi mafuta ya petrol
Tengeneza kabati maarumu Kama zile za kutunza mithihani shule weka vifaa vyako pale.
Hakikisha nyumba yako ina mlango wa chuma kwa nje na wa mbao kwa ndani.
Wajinga wakija wawai na asidi wakati wanafungua...
Hello
Kwanza andaa mchele wako uchambue usiwe na mawe wala chuya kisha uoshee vizuri kisha loweka mchele mimi nili uloweka kuanzia asubuhi up jion so inategemeana na wewe unataka kuvipika saa ngapi kama ni asubuhi nashauri loweka usiku
Baada ya hapo nika brendi kwenye brend nikiwa...
Kitabu Uamuzi wa busara kinazungumzia maamuzi mbalimbali magumu yaliyofanywa na Mwalimu JK Nyerere na TANU. Kuanzia Mwalimi kujiuzulu kazi ya ualimu, TANU kuamua kutosusia uchaguzi, Mwalimu kujiuzulu ubunge, Mwalimu kujiuzulu Uwaziri Mkuu, Muungano, Azimio la Arusha. Kinapatikana ndani ya app ya...
Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga
Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema:
"Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya siku si nyingi. Huwezi ku--defend kila jambo kwa sababu unataka uonekane. Kuna saa unachill, wisdom"
Dini na siasa ni mifumo yenye nguvu kubwa katika kuongoza maisha ya watu. Vyote viwili vinaongoza fikra, maamuzi, na maadili ya jamii kwa njia ambazo hazionekani moja kwa moja.
Siasa hutumia dini kujenga utii na uhalali. Wanasiasa wengi huonekana kwenye ibada ili kupata ushawishi wa kiroho na...
Uongozi wa Kiislamu umejengwa juu ya hekima, usawa, subira, na uchamungu. Migogoro ya kijamii iwe ya kifamilia, kijiji, kiuchumi, au kiimani—inatakiwa kutatuliwa kwa njia zinazolingana na Qur’an na Sunnah.
Chini ni kanuni kuu na mifano halisi:
1. Kusikiliza Pande Zote Bila Upendeleo (العدل)...
Nimekutana na hii post katika mtandao mmoja Instagram mkubwa wa Oman ikimuongelea Samia.
Mtandao huo umeripoti jinsi Samia anavyotrend kwa kujaza ndugu zake wa karibu katika nafasi nyeti za serikalini.
Ila nimejiuliza inakuwaje hadi Oman inaposemekana amejijengea mazingira fulani fulani na...
Hellow mjasiriamali
Kama ujisajili jina la biashara brela Kuna kitu kinaitwa annual maintenance Fee, ngoja nikwambie hapa.
Brela wanakuhitaji wewe ulipie annual maintenance fee ya jina la biashara Yako kuli-keep active.
Hii fee inalipwa mara Moja kwa mwaka na ni Tsh. 5000
Ngoja nikuoneshe...
Damage control ni neno linalotumika kumaanisha juhudi zinazofanywa ili kupunguza madhara, kudhibiti hali mbaya, au kuokoa taswira/nafasi baada ya jambo baya kutokea.
Baada ya mauaji ya halaiki kipindi cha uchafuzi wa Oktoba 29 , serikali ya samuya inatumia mbinu hizi kufanya damage control...
Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi wa kipekee aliyeongoza jamii yenye migogoro ya kikabila, kiimani, kijamii na kisiasa. Uongozi wake uliijenga amani, umoja, utawala wa sheria, na usawa katika mazingira ambayo awali yalikuwa magumu sana.
Njia alizozitumia
1. Alisimamia Mkataba wa Amani –...
Katika miaka ya karibuni, baadhi ya matukio ya utekaji na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu yamehusishwa na kile kinachoitwa kikundi cha wasiojulikana nchini Tanzania. Ingawa taarifa zao ni za kusikika tu bila ushahidi wa wazi, mjadala kuhusu uwezekano wa kikundi hiki uongezeka na tishio...