jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya kuwafanya Wateja Wanunue Bidhaa/Huduma Zako Pasipo Kujitambua Wamenunuaje....

    .Uliwahi kwenda maeneo ya Soko kama karikoo au mnadani kufanya Manunuzi ya Bidhaa tofauti Tofauti LAKINI .Wakati unafanya matembezi maeneo tofauti tofauti ya soko kusafishia macho ukiwa huna Hili wala lile .Gafla unakutana na Mfanyabiashara au machinga ana anza kukushawishi .Ununue Bidhaa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi haifai hata kidogo kutumika ila hatuna jinsi

    Wananchi wa Kijiji cha Mbuchi, Kata ya Mbuchi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Mkoa wa Pwani wanapitia katika kipindi kigumu kutokana na hali ya miundombinu ya Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi kuwa mibovu hali. Hali hiyo inasababisha utoaji wa huduma katika kituo hicho kutokuwa rafiki hasa...
  3. JamiiForums Tanzania Samsung A05s Yangu ina cuttoff internet wakati nimepigiwa simu msaada jinsi ya kufix

    Assalam Alleykum ndugu zangu natumai mko poa poleni kwa mfungo ,tuendelee kumwomba Mungu katika kipindi hiki Nashindwa kutumia internet pindi nikipigiwa simu ,msaada jinsi ya kufix hii shida wakuu
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Barua Pepe (Email) Nyingi Bila Kikomo Kutoka Akaunti Moja ya Gmail

    Je, ulijua kwamba ukiwa na akaunti moja ya Gmail, kwa kweli una uwezo wa kuwa na anuani za barua pepe zisizo na kikomo? Mbinu hii inaweza kuwa na matumizi mengi muhimu sana. Unaweza kufanya hivyo kupitia mbinu inayoitwa “plus addressing.” Plus Addressing ni nini? Plus addressing ni njia...
  5. JamiiForums Tanzania MWONGOZO JINSI YA KUTUMIA NA KUPATA CANVA (Ufafanuzi rahisi kabisa kwa kila mtu hata kama hujawahi kufanya design)

    Kuna watu wengi sana wanapenda kufanya biashara, kuandika mitandaoni, kufundisha, au kutangaza huduma zao… lakini wanakwama sehemu moja: “Sijui design.” Zamani ilibidi ujifunze Photoshop kwa miezi mingi au umlipie designer pesa nyingi ili tu upate poster moja. Lakini leo hali imebadilika...
  6. JamiiForums Tanzania JINSI YA KUKATA KIUNO KITANDANI

    sifa kubwa ya mwanamke ni nyonga ndo maana mungu amewapendelea na kuwapa nyonga nzuri na zenye mvuto..na nyonga nzur na zenye mvuto shart zijuwe kukatwa bibi. Kabla sijaendelea naomba niweke wazi kabisa kuwa mimi ma mbwa ni mwanamme na mada niliyotoa siku za nyuma watu walihisi ni jinsia ya ke😀😀...
  7. JamiiForums Tanzania Nina tatizo la ‘short temper’. Nisaidieni jinsi ya kuepukana nalo

    Mimi ni mtu wa kukasirika hasira Kali kwa haraka sana tena mpaka mwili unaweza kutetemeka kwa hasira ya jambo dogo Jambo ambalo linapelekea kususa au kugombana na baadhi ya watu Naombeni njia na mbinu za kuachana na tatizo hili. Ahsante snaa
  8. JamiiForums Tanzania Larry Madowo aja na Documentary ya kuonesha jinsi Urusi inavyoshawishi Waafrika kwenda kufa vitani Ukrein

    Miezi ya Juzi kati nilikuja na chapisho la jinsi Waafrika waliokuwa wanaimba kwa Kiswahili walivyokuwa wanadhiakiwa kwa lugha ya Kirusi kwamba hawa ni takataka tu (Disposable) na wanaenda kuwekwa Frontline yani mstari wa mbele vitani. Sasa Larry Madowo kupitia kituo cha CNN kafanya full...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumshika mwanaume kwenye mahusiano

    Mwanaume ni kiumbe ambaye ni raising kumteka kimapenzi. Na ndio maana matukio ya Wanaume kupotea na kukutwa kafungiwa ndani kwa mwanamke fulani ni mengi, ilibidi hata Mbosso aandike nyimbo ya "Amepotea" kuonesha ni namna gani mwanaume ni rahisi kuuiba mutima wake. Ni tofauti na kuuteka moyo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutuliza pesa ikaae kwako

    ITULIZE PESA KWAKO! IFANYE PESA IKAE KWAKO! Kama pesa kwako unaipata kwa tabu sana, kama pesa inaingia na kutoka bila kukaa, kama pesa haikai kabisa… Kama unawaazima waatu pesa hawarudishi Unafanya biashara, unafanya kazi kwa bidii, lakini pesa haionekani! Unashika pesa nyingi, lakini siku...
  11. JamiiForums Tanzania NGAO YA NDANI: Jinsi mazoezi yanavyolinda viungo vyako dhidi ya majeraha

    Mazoezi si tu kwa ajili ya kuonekana vizuri, bali ni uwekezaji katika usalama wa ndani wa mwili wako. Kwa kujenga misuli imara na mifupa migumu, unatengeneza ngao ya asili inayoweza kukuokoa dhidi ya madhara makubwa ya ajali au mapigo ya ghafla. Katika ulimwengu wa afya, mazoezi mara nyingi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jinsi Vyombo vya Usalama vilivyogeuza Ulinzi kuwa chanzo cha hofu

    Tangu yalipofanyika maandamano na baadaye vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya hapo, kumekuwa na hofu kubwa kwa wananchi kutokana na kuongezwa kwa ulinzi wa polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Maandamano yaliyokabiliwa kwa nguvu na polisi na JWTZ yalisababisha...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kufanya Malipo BRELA

    Habari mjasiriamali, Nimepata casesara 3 watu wanalipia applications zao Brela halafu wakirudi kwenye system inaonekana application haijalipiwa. Leo nimekuandalia njia nne za kufanya malipo Brela kwa usahihi 1. Lipia kwa simu Mtandao wowote unaotumia chagua malipo ya serikali na uingize...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa ngazi ya elimu ajira portal

    Msaada kwa anayejua namna ya kufuta ngazi ya elimu kwenye mfumo wa ajira portal. Nataka kufuta ngazi ya elimu ya Master na kuacha bachelor degree tuu, naomba kwa mwenye kujua nini cha fufanya au hatua zipi za kufuata plzz.
  15. JamiiForums Tanzania Usaliti haujaanzia kwa ZZK: Jinsi Edwin Mtei alivyosalitiwa na Mrema na NCCR Mageuzi

    Ngoma inaanza hivi: Mwaka 1995 Mrema alivyotoka CCM, Edwin Mtei alimfuata ili Mrema ajiunge na CHADEMA na kugombea urais kupitia chama chao. Mrema akaweka masharti magumu kwamba: Ili ajiunge na CHADEMA ni sharti apewe nafasi ya kugombea urais na pia apewe kuwa mwenyekiti wa chama (Ikimaanisha...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi CCM inavyoua vipaji na ajira za watu

    CCM ni chama ambacho kimekuwa kinaua vipaji na ajira za watu kila uchwao na uchao. Maelfu ya watanzania ajira zao au vipaji vyao vimeuawa na CCM ama kwa kuiunga mkono au kuipinga. Nani anakumbuka zama zile za TMK wanaume na kundi la vichekesho la Zekomedi walipokuwa kama ndiyo alama ya sanaa...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona messages zilizofutwa WhatsApp 'view once' utaziona

    Kuna hii inaitwa Whatsapp bot ukiiset kwenye Whatsapp yako unaweza kupata features zifuatazo na hizi ni baadhi TU ila zipo 500+ Zaidi siwezi zielezea zote . Naelezea baadhi tu 1. Kuweza kuona messages zilizofutwa na mtu yoyote iwe kwenye groups Au messages ya kawaida. 2. Kuset always online...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi matapeli mamboleo hutumia mitandao na saikolojia kuliza watu

    Matapeli wa kisasa ni wahandisi wa akili (psychological engineers) au manipulators . Hawaji kuiba pesa zako mara moja; badala yake, wanajenga mazingira ambayo wewe mwenyewe utawapa pesa kwa hiari yako. Hivi ndivyo wanavyotumia saikolojia kumnasa mtu: 1. Kukuvutia na Maisha ya Ndoto zako (The...
  19. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa jinsi ya Kufanya ili Uweze kulipwa na Facebook kila Unapo Post Content Zako

    Watu wengi bado wanatumia Facebook kama sehemu ya kupitisha muda tu, bila kujua kuwa kila siku mamilioni ya dola yanagawanywa kwa creators wanaopost maudhui yanayovutia. Ukweli ni kwamba Facebook siyo tu mtandao wa kijamii ni soko la fursa. Kila unapopost kwenye Facebook, huna post tu kwa ajili...
  20. JamiiForums Tanzania KIAMA CHA WANAHARAKATI JANJA JANJA: Jinsi Hatua ya Rais Trump Inavyoweza Kukata Mirija ya Fedha kwa Kina Maria Sarungi

    Na Mchambuzi Chura wa Siasa za Kimataifa Januari 7, 2026, itakumbukwa kama siku ya kihistoria katika diplomasia ya ulimwengu baada ya Rais Donald Trump kutangaza rasmi kuiondoa Marekani katika mashirika ya kimataifa 66. Hatua hii, inayokuja chini ya sera ya "America First", si pigo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…