jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii jinsi inavyoinua uchumi wa vijana

    MITANDAO YA KIJAMII JINSI INAVYOLIPA!!! FURSA YA KIPEKEE YA KUKUZA KIPATO CHAKO! Je, unatafuta njia ya kuongeza kipato chako kupitia mitandao ya kijamii ukiwa nyumbani au popote ulipo? Karibu kwenye Kampuni ya Eternal International – mahali ambapo ndoto zako za kifedha zinaanza kuwa kweli...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya uume uwe imara

    Uume Imara (Afya Ya Uume): Ili kufanya uume uwe imara (kuwa na nguvu wakati wa tendo la ndoa), unahitaji kuzingatia afya ya mwili, akili, na mtindo wa maisha. Zifuatazo ni baadhi ya njia muhimu na salama kabisa zinazosaidia uume uwe imara (kuwa na nguvu wakati wa tendo la ndoa); 1) Lishe Bora...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuifanya chai iwe bia

    tengeneza chai kwa kuchemsha maji na majani ya chai ( zidisha majani ya chai kuliko kawaida ) kisha baada ya chai kuchemka vizuri acha ipoe ikishapoa chuja na kuwekea sukari nyingi nyingi, kama una scoby unaweza ukaweka kama hauna hakunashida pia, iache chai yako ndani kwa siku kadhaa hadi...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza biashara ya mafuta kipindi hiki cha mzozo wa Iran vs Israeli-Marekani

    Pipa moja la mafuta ghafi linauzwa $70 hadi $90 linakua na ujazo wa lita 159. ukienda kusafisha crude oil unapata petrol, diesel, kerosine, gas na lami. hivi vitu vyote ukivipima ujazo wake unafika lita 170 maana ujazo una expand garama za kusafisha ni $1 kwa lita, cha kuganya ili kumaximize...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Video za AI Kwa Kutumia Grok AI (Super Grok)

    Teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) imebadilisha sana namna watu wanavyotengeneza maudhui ya video. Leo hii, mtu anaweza kutengeneza video za matangazo, musiki, elimu, au burudani bila kamera, bila studio, na hata bila timu kubwa ya production. Moja ya tools zinazotumiwa sana sasa ni...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza Facebook Ads hatua kwa hatua

    Leo Meta hutumia zaidi jina Business Portfolio ndani ya Meta Business Suite, ingawa watu wengi bado husema Facebook Business Manager. Hicho ndicho kitu cha kwanza unachohitaji ili kusimamia Page, ad account, watu wa timu na matangazo yako sehemu moja. Hatua ya 1: Fungua Facebook Business...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju usikubali ushetani, maliza kesi ya Lisu kwa haki. Heshima yako itasimama milele kwa jinsi ulivyo handle kesi ya Lisu

    Itende HAKI na HAKI itakutenda Milele. Ikatae pressure ya Executive, tenda Haki na nenda zako, usisubiri shukrani au cheo toka Executive. Mtendee Lisu HAKI NA WALA SI UPENDELEO Siku 40 or so kweli CoA haiwezi kukaa na kutolea maamuzi pingamizi la serikali? Muhukumuni kwa haki hata kama...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi Dar es Salaam itakavyokuwa mwaka 2036 kwa mujibu wa Gemini

    Nimeiambia Gemini itengeneze picha ya Dar jinsi itakavyokuwa miaka 10 ijayo kwa kuangalia kasi yake ya ukuaji wa sasa Ikaleta hii picha I can't wait to see Dar inafikia level za kimataifa
  9. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujua Kama Mtu Anakufikiria Bila Yeye Kukuambia ( baada ya kuifanyia utafiti mwenyewe kwa miaka 12 )

    Kuna kitu niligundua kwa muda, na sikijui kama ni coincidence au kuna kitu kingine kinaendelea. Sio sayansi, au sheria maalum… ni kitu kinatokea tu ukianza kuangalia vizuri. mara ya kwanza nilihisi akiki yangu ina connect kwenye internet wirelessly maana nikihisi tu simu itaita, ghafla inaanza...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi Nilivyomtapeli Mganga wa Kienyeji: Simulizi ya "Mjanja Aliyekutana na Mwerevu"

    Watu wengi husema mganga wa kienyeji ni mtu wa kuogopwa. Wanasema ana macho yanayoona mbali na majini yanayompa taarifa za kila anayemtembelea. Lakini siku hiyo, niliamua kuthibitisha kuwa hata "nguvu za giza" hupigwa na giza la njaa na tamaa. Mtego wa Kisaikolojia Mganga huyu, ( jina kapuni")...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watanzania bara wanachukia kuitwa wana visogo, kwanini tusiwe proud na jinsi tulivyo ?

    Ni kwanini tukasirike badala ya kujivunia tulivyo? Watanzania, wanaume kwa wanawake, mara nyingi tunaonekana kukasirika sana tukitajwa kuhusu maumbile yetu, kama vile kuitwa tuna visogo. Lakini tukijiuliza kwa utulivu, kuna ubaya gani kuwa hivi tulivyo ? Kujipenda ni kukubali kila sehemu ya...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyojikuta kwenye Carrier ya umeme. Ni miujiza, nilizaliwa kwa ajili hii

    Tangu kabla ya kuzaliwa kwangu ilionekana anakuja mtu mwenye uwezo wa kipekee, mimi sikutambua hadi nilipoingia rasmi na kujihusisha rasmi na mambo ya umeme, Kwa vitu vya kawaida tangu mwanzo nilipenda sana mwanga na kuvutiwa na kila kitu cha electronics, licha ya tabia hii kunifanya nipigwe...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi mazingira uliyokulia yanachelewesha mafanikio yako

    Jinsi Mazingira uliyozaliwa yanaweza kukuchelewesha kufanikiwa. Mazingira yanamchango mkubwa wa mtu kufanikiwa, ukiwa kwenye Mazingira sahihi ni rahisi kupiga hatua.Mazingira uliyozaliwa au home town yanaweza kuwa kikwazo cha mtu kutopiga hatua kivipi. 1. Marafiki uliokuwa nao, unapokuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana tujifunze kuwa waaminifu. Angalia jinsi Dola 100 ilivyotaka kunitoa roho

    Bila kupoteza muda niende direct kwenye Mada mwaka jana ulikuwa mwaka wa changamoto sana kwenye maisha yangu hii yote ni kwa sababu ya kukosa uaminifu kwenye mambo madogo madogo. Kuna bro ni rafiki yangu lakini kwa sasa ni kama ndugu yangu tupo kwenye urafiki zaidi ya miaka kumi tulisha...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokaa siku 100 bila kuangalia saa

    Kuna kitu nilifanya mwaka jana ambacho watu wengi waliniona kama nacheza mchezo wa ajabu kidogo. Nilikaa siku 100 nzima bila kuangalia saa. Hakuna sababu maalum. Sikuamka asubuhi nikasema tu moyoni, “leo naanza.” Nikajiambia nione kama inawezekana kuishi kawaida kabisa bila kujua muda ni saa...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi wizi wa house boy ulivyoisababishia nchi hasara kubwa za kiuchumi

    Mnamo 1989, house boy wa ki-Thai aliyekuwa akifanya kazi katika jumba la kifalme la Saudi Arabia huko Riyadh aliiba mamia ya pauni za vito, ikiwa ni pamoja na almasi ya bluu ya karati 50. Alisafirisha nyara hizo hadi Thailand ndani ya vacuum cleaner kupitia kampuni ya usafirishaji ya DHL. Saudi...
  17. JamiiForums Tanzania Nimelia jinsi Iran inavyopigwa mabomu

    Nimelia kuona Teheran ikipigwa mabomu kila mahali,natamani watawala wajisalimishe wananchi wapate nafuu
  18. JamiiForums Tanzania Video hii inaonyesha jinsi saratani ya tezi dume huanza mpaka kukumaliza

    https://youtu.be/j9tJbO66lng
  19. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi hali ya CHADEMA ilivyo, iko mbioni kumkumbuka Mbowe

    Njia alizokuwa akitumia Mbowe kuongoza CHADEMA zilikuwa za busara Kawaida binadamu anayetumia busara huonekana kama mjinga lakini mwisho mjinga hujulikana baada ya matokeo Kwahiyo tusubiri matokeo ndipo wabishi na werevu watajulikana
  20. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya kuwafanya Wateja Wanunue Bidhaa/Huduma Zako Pasipo Kujitambua Wamenunuaje....

    .Uliwahi kwenda maeneo ya Soko kama karikoo au mnadani kufanya Manunuzi ya Bidhaa tofauti Tofauti LAKINI .Wakati unafanya matembezi maeneo tofauti tofauti ya soko kusafishia macho ukiwa huna Hili wala lile .Gafla unakutana na Mfanyabiashara au machinga ana anza kukushawishi .Ununue Bidhaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…