Nchini Japani, watafiti wamegundua mbinu rahisi na rafiki kwa mazingira ya kuwalinda ng’ombe dhidi ya kung’atwa na wadudu: kuwachora kwa mistari myeusi na meupe kama ya pundamilia.
Utafiti wao umeonyesha kuwa muundo huu unapunguza kutua kwa inzi kwa zaidi ya asilimia 50, hasa maeneo nyeti kama...