Kwenye maisha unapata marafiki mbalimbali wanaokupa experience nyingine, mashauri, upendo na hata msaada kiuchumi. Marafiki huwa ni zawadi toka kwa muumba ndo maana huwezi pata rafiki kwa kumnunulia bia lazima muwe na natural meet of mind.
Lakini jambo moja hatulijui, ni Je marafiki huja...