jinai

A shinai (竹刀) is a Japanese sword typically made of bamboo used for practice and competition in kendo. Shinai are also used in other martial arts, but may be styled differently from kendo shinai, and represented with different characters. The light, soft wood used in a shinai distinguishes it from other wooden swords such as a bokken, which is generally made of heavier, sturdier wood.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Madalali wasukuma wanaouza "Yaya" mikoani ni Jinai!

    Darasa la saba wakiwa wanamaliza, madalali wa kisukuma wamekita kambi lake zone kuchukua mabinti wa kazi. Madalali hao wanakupigia simu utume nauli, anakuletea mtoto ambaye kwanza ana uwezo wa kwenda sekondari lakini mzazi wake anapatiwa kaujira kadogo huku mishahara ikielekezwa kwa madalali...
  2. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Peter Madeleka: Yaliyotokea Oktoba 29 ni jinai, maridhiano sio suluhisho, hatua zichukuliwe kijinai kwa waliohusika

    Mwanasheria maarufu nchini, Peter Madeleka amesema matukio yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yana masuala ya jinai yanayopaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, akisema maridhiano hayawezi kuwa suluhisho la makosa ya jinai. Kauli hiyo ya Madeleka imekuja wakati Serikali...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Tume ya Jaji Lila haina mamlaka ya kisheria kupeleleza jinai

    Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Watuhumiwa 36 kati ya 130 Wafikishwa Mahakamani kwa Makosa ya Jinai

    Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuwa watuhumiwa 36 kati ya 130 waliokamatwa kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka. Katika taarifa iliyotolewa Julai 26, 2026, Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao walikamatwa kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha...
  5. JamiiForums Tanzania Katambi: Mzazi Mkanye Mwanao, Jinai hailipi na haiozi

    "Hakuna taifa ambalo likipoteza amani yake inarejea kirahisi...niwaombe sana wazazi wote Baba na Mama, Kaka, Shangazi, Mjomba mkanye mwanao mwambie jinai hailipi na bahati mbaya sana jinai haiozi. Ukifanya leo kosa linai ukidhani mjanja haujakamatwa leo basi kesho hautakamatwa lakini si...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wahanga 12 wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan wamewasilisha malalamiko ya kihistoria ya jinai nchini Kenya

    Wahanga 12 wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan wamewasilisha malalamiko ya kihistoria ya jinai nchini Kenya, wakiwashutumu wanachama wa kundi la RSF kwa kutenda uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu. Inaaminika kuwa hii ndiyo kesi ya kwanza ya aina yake chini ya sheria za...
  7. JamiiForums Tanzania HOJA Jebra Kambole: Kufanya Kuishi Kuwa Kosa la Jinai: Gharama ya Kibinadamu ya Operesheni ya Kinondoni Dhidi ya Uombaji

    ANDIKO LA Jebra Kambole Amri ya hivi karibuni ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iliyotolewa tarehe 28/05/2026 na Meya wa Kinondoni Mh. Songoro Hamis Mnyonge ya kuwaondoa kwa nguvu watu wanaoomba kwenye mitaa ya Dar es Salaam ni sehemu ya wimbi linaloongezeka la hatua kali za manispaa dhidi...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kukumbushana jinai huwa haifi, Mafwele alifanya makosa mwaka jana akadhani wamesahau.

    Hii si kwa Mafwele pekee ni ujumbe kwa wote wanaofikiri mkono wa sheria huwa unakimbiwa kwa kuwa na cheo serikalini. Mafwele alimteka Sativa akadhani amemkomoa, sasa ataishi maisha ya nguchiro ya kujifichaficha. CC kwa Government Officials wote including Mkuu wa gereza la Ukonga unaye collude...
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu wa taasisi za ulinzi na usalama Wajiuzulu ili Tume jinai iwe huru

    Kama kweli tuna nia ya dhati ya tume kufanya kazi zake, basi tufuate misingi ya haki. Taasisi ya Rais kuunda tume ya kuchunguza Jinai, ina maana ya Wakuu wote wa taasisi za ulinzi, usalama wanatakiwa kujiuzulu kwa hiyari kabla tume haijaanza kazi. Ni kanuni za Utawala bora wala si hiyari. Ndio...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi Arusha: Watuhumiwa 176 Wahukumiwa kwa Makosa ya Jinai Tangu Aprili 18, 2026

    Jeshi la polisi mkoani Arusha limesema katika kipindi cha Aprili 18, 2026 hadi sasa, watuhumiwa 176 wamehukumiwa vifungo mbalimbali vya makosa ya jinai ikiwemo ulawiti, ubakaji, wizi, dawa za kulevya, pamoja na kupatikana na nyara za serikali baada ya kufikishwa Mahakamani. Akitoa taarifa hiyo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje?

    Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje? Hata tume iseme nini kama hakuna utekelezaji na Mama akaendelea kudanganya na kujidanganya hii tume itakuwa imepoteza muda. Mtaitwa itasomwa kama ile tume ya jinai halafu hakuna utekelezaji. Hii nchi imetekwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Kuombaomba sasa kumewekwa rasmi kuwa ni kosa la jinai United Arab Emirates

    Kuombaomba kumeridhiwa rasmi kuwa ni kosa la jinai katika United Arab Emirates, huku mamlaka zikionya kuwa atakayepatikana na hatia anaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi mitatu jela na faini ya dirham 5,000 (AED 5,000). Tangazo hilo ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kudhibiti mwenendo...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya jinai inayomkabili Yohana Rugembe na washtakiwa 20 yaendelea Mahakamani, Mashitaka yaongezwa kufikia 11

    Kesi ya jinai inayomkabili Katibu Mkuu Mstaafu wa BAVICHA Taifa, Yohana Kaunya Rugembe, pamoja na washtakiwa wengine 20, imeendelea leo Ijumaa, Februari 6, 2026, katika Mahakama kwa hatua ya kusomwa kwa hoja za awali. Mashitaka 2 yameongezwa na kufanya jumla ya makosa kuwa 11.Upande wa Jamhuri...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Henry Mboya alikamatwa kwa tuhuma za jinai zinazomkabili. Alikutwa na bastola bandia na koti moja lenye nembo ya SUMA JKT

    Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Henry Mboya, zikidai kuwa hajulikani alipo baada ya kukamatwa na Polisi. Taarifa iliyotolewa leo Disemba 21 na Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe imesema kuwa Henry Mboya, Mkazi wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kutishia kuua kwa maneno ni kosa la Jinai. Sheikh aliyetishia kukata vichwa watu kwa majambia anapewa onyo!

    Kifungu cha 89 2(a) cha kanuni ya adhabu kimeweka wazi kabisa kuwa kutishia kuua ni kosa na mtu anapaswa kufungwa mwaka mmoja. Mbona huyu sheikh amepewa kadi ya njano na huku amefanya makosa? Pia soma > Uislamu unamkataa Sheikh aliyehamasisha kukata vichwa. Masheikh wenzie walaani
  16. JamiiForums Tanzania Heche: Muachieni Polepole na viongozi wetu wote haraka

    Kupitia ukurusa wake wa Instagram Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameandika haya....... "Kukosoa serikali sio jinai, kukosoa mienendo ya serikali na uongozi sio kosa lolote kwenye Nchi hii. Hatukubaliani na utekaji na utesaji wa Watanzania kwa kisingizio kwamba wanakosoa serikali ya Rais Samia...
  17. JamiiForums Tanzania Kinachoshangaza ni hawa vijana wa kiume kujishebedua zaidi hata ya wanawake walioalikwa. Iwe jinai kwa sherehe ya aina yoyote yenye maudhui haya

    Generation ya vijana chapati haiwezi koma kama normalization ya namn hii inaendelea katika jamii.
  18. A

    JamiiForums Tanzania Mafuta halisi ya alizeti kuimarisha afya yako

    Habari za wakati huu wana JF tumeleta product mpya na ya asili kwa 100% mafuta halisi ya alizeti kutoka dodoma kwa lita 5 utapata kwa 30k kwa lita 20 utapata kwa 115k usipange kukosa tunauza jumla na reja reja 0762441818 Tupo Dar es Salaam na Dodoma delivery tunafanya karibu sana
  19. JamiiForums Tanzania Mama Samia badili Sheria ya Makosa ya Jinai ( Penal Code), iendane na Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Utawin mioyo ya 99,% ya watanzania.

    Sheria mama ya Tanzania ( Katiba) inasema, umri wa utu Uzima ni kuanzia miaka 18. Sheria ya Makosa ya jinai ya Tanzania ( Penal Code), inatambua kama kosa la jinai, tendo la ngono Kati ya mwanaume mwenye umri wa mialka 18+ na msichana mwenye umri wa chini ya miaka 18,hata kama msichana huyo...
  20. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: CHADEMA kuzuia Uchaguzi 2025 kwa kigezo hakuna "reforms" ni kosa la Jinai

    Wakili Peter Madeleka amesema CHADEMA kupanga kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ni kupanga kufanya kosa la jinai, na kwamba ACT Wazalendo haiwezi kuunga mkono suala hilo. Mahojiano ya One on One ambayo Shahidi wa Jamhuri Charles William amefanya na Wakili Madeleka yanapatikana pia katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…