jina la biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Lipia Annual maintenance Fee ili jina la biashara yako lisifungwe BRELA

    Hellow mjasiriamali Kama ujisajili jina la biashara brela Kuna kitu kinaitwa annual maintenance Fee, ngoja nikwambie hapa. Brela wanakuhitaji wewe ulipie annual maintenance fee ya jina la biashara Yako kuli-keep active. Hii fee inalipwa mara Moja kwa mwaka na ni Tsh. 5000 Ngoja nikuoneshe...
  2. youngkato

    Hatua za Kusajili Jina La Biashara Brela Tanzania

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya biashara zinaaminika haraka na kupata wateja wakubwa, mikopo, au hata zabuni za serikali wakati zingine zinabaki mitaani zikihangaika? Siri kubwa ipo kwenye: kusajili jina la biashara kupitia BRELA. Bila jina lililosajiliwa, biashara yako ni sawa na...
  3. L

    Hizi ni taarifa 5 zinazohitajika Wakati wa kusajili Jina la Biashara

    Usajili wa jina la biashara unaweza kwenda haraka ikiwa unazo taarifa muhimu zinazohitajika Wakati wa kusajili. Taarifa hizo ni hizi hapa; 1. Jina la Biashara Lazima uwe Tayari na jina la biashara unalotaka kulitumia na liwe jina ambalo halifanani na jina ambalo limeshasajiliwa. 2. Address ya...
  4. youngkato

    Unaweza kusajili leseni ya biashara kwa kutumia cheti cha jina la biashara yako tu

    Unaweza kusajili leseni ya biashara kwa kutumia cheti cha jina la biashara yako tu Aina za Leseni za Biashara Leseni ya biashara Kundi “A” Hutolewa kwa biashara zinazohusiana na masuala ya kitaifa au kimataifa, au zinazongozwa na sera maalumu. Leseni ya biashara Kundi “B” Hutolewa kwa...
  5. youngkato

    Unajua nini maana ya Alama (Nembo) ya Biashara na Huduma?

    Jinsi ya kusajili Alama yako ya Biashara au Huduma Usajili unafanyika kupitia mfumo rasmi wa BRELA (ORS). Kwa Watanzania, unahitaji NIDA, barua pepe na namba ya simu. Makampuni yanapaswa kutumia NIDA ya mfanyakazi mmoja. Wageni wanapaswa kutumia mawakala waliopo Tanzania. 👉 Vigezo muhimu vya...
  6. L

    Jinsi ya Kubadili Jina la Biashara

    Kuna wakati unafika unataka kubadili Jina la Biashara, kwa sababu zozote zile. Hizi ni hatua za kufuata kama unataka kubadili Jina la Biashara 1. Log in kwenye account yako ya Brela ORS Ile uliyosajilia jina la biashara unalotaka kubadili. 2. Chagua new services 3. Chagua change of...
  7. L

    "Fungua Kampuni Badala ya Jina la Biashara"

    Huu ulikua ni ushauri wangu wa mwisho kumpa AISHA juzi mchana. Kwenye thread hii nitakuonesha faida za kufungua Kampuni badala ya Jina la Biashara kama nilivyomwambia AISHA. 1. Limited liability Kampuni ni legal person na inajitegemea kutoka kwa Mmiliki wake, hivyo kwenye event kama ya kulipa...
  8. L

    Hizi Ni Taarifa Zinazohitajika Wakati wa Kusajili Jina la Biashara

    Kusajili jina la biashara Kuna hitaji taarifa muhimu ikiwemo; 1. Jina la Biashara Hapa unatakiwa kuweka jina la biashara ambalo halifanani na jina lingine (Uzi wa siku ingine) 2. Anuani ya biashara Hapa una specify ni wapi hasa biashara yako itakuwepo. Kama huna sehemu maalumu kama ofisi...
  9. L

    Jinsi Ya Kujua Kama Jina la Biashara Yako Linapatikana Kwa Ajili Ya Usajili

    Juzi Jumapili nilipigiwa simu na Dada mmoja anaitwa Jennifer akasema "Hellow Luhamba nimesajili jina la biashara lakini limekataliwa, naambiwa linalofanana na jina lililosajiliwa, hata sielewi nafanyaje" Nikamwambia "Jennifer ulikosea" Akashangaa sana, lakini nilichomwambia bad ya hapo...
  10. marcoveratti

    KWA NINI UTUMIE HUDUMA YA BULK SMS YENYE JINA La BIASHARA (Sender ID)?

    Katika dunia ya kisasa ya biashara na mawasiliano, kufikia wateja kwa haraka, kwa ufanisi, na kwa gharama nafuu ni jambo la msingi. Huduma ya kutuma ujumbe kwa pamoja (Bulk SMS) kwa kutumia jina la biashara yako (Sender ID) ni suluhisho bora kwa wafanyabiashara, taasisi, na mashirika...
  11. Cainan

    Namba ya Kufanya namba yako ikipiga iwe Ina Display jina la Biashara kwenye SIM

    Habari wakuu, Kuna kitu kimoja ningependa kuwauliza wataalam wa JF , Hivi ni huduma Gani ambayo inawezesha ku display jina la biashara Kila unapopiga namba ya sim yako , Kuna watu kadhaa nimeona wakinipigia jina linakuna la biashara linakuja automatically kwenye phone app , sasa nauliza ni...
  12. L

    Nisajili Nini Kati ya Kampuni na Jina la Biashara?

    Hili ni swali nililoulizwa na dada anaitwa "Lahey" juzi majira ya Saa 10:45 hivi jioni. Actually hii ni mara ya 17 naulizwa hili swali ndani ya miezi miwili. Na jibu langu hua ni moja tuu kila ninapoulizwa hili swali. "Sajili Kampuni" Hua Nina sababu kadha wa kadha ambazo hua Zinafanya nitoe...
  13. youngkato

    Una hatari ya kupoteza wateja wako kama hujasajili jina la biashara yako

    Una hatari ya kupoteza wateja wako kama hujasajili jina la biashara yako Una hatari ya kupoteza wateja wako kama hujasajili jina la biashara yako. Watu wengi wanafanya biashara nzuri, wana wateja, wana followers wa kutosha, lakini hawajasajili jina la biashara yao. Unaweza usione shida leo...
  14. youngkato

    Kwa nini mfanyabiashara yeyote anayeanza kujitafuta anatakiwa kusajili jina la biashara?

    Kwa nini mfanyabiashara yeyote anayeanza kujitafuta anatakiwa kusajili jina la biashara? Kuna biashara nyingi mitaani zinafanya vizuri – zina wateja, zina jina zuri lakini hazijasajiliwa. Watu wanadhani kusajili jina ni kwa matajiri au makampuni makubwa. Hii siyo kweli. 👇1 Kusajili jina...
  15. youngkato

    Kwa nini Mfanyabiashara anayejitafuta anapaswa kusajili jina la Biashara?

    Katika safari ya kujitafuta kupitia biashara, kuna hatua ambazo huweza kukuinua haraka au kukugharimu muda, jina, na hata fedha zako. Moja ya hatua za msingi kabisa ambazo kila mjasiriamali anayejitambua anapaswa kuchukua ni kusajili jina la biashara. Hii si tu kwa ajili ya kufuata sheria...
  16. Optimistic_

    Usajili wa jina la biashara na kampuni (BRELA)

    USAJILI WA JINA LA BIASHARA NA KAMPUNI (BRELA) Rasimisha jina la biashara yako kisheria, upate faida nyingi. Mimi ni mbobezi wa kufanya application Brela kwa ajili ya usajili wa jina la biashara na makampuni. Nakuandalia kila kitu kuanzia nyaraka zote zinazohitajika. Nipigie 0765991551
  17. daydreamerTZ

    Sajili jina la biashara bure leo

    OFA KABAMBE! Je, unahitaji kusajili jina la biashara? Hii ni nafasi yako ya kipekee! Day Dreamer TZ Consultancy inatoa OFA maalum ya kusajili majina mawili ya biashara kwa watu wawili Tu, BURE! (Hakuna ada ya huduma.) Utalipia tu gharama za control namba, kiasi cha Tsh 20,000/= TU, ambazo...
  18. R

    Ni sahihi kutumia neno Facebook kama jina la biashara?

    Habari. Hivi ni sahihi kutumia neno Facebook kama jina la biashara? Mfano FACEBOOK PUB au FACEBOOK LOUNGE au FACEBOOK BAR. Kisheria imekaaje?
  19. Meneja Wa Makampuni

    Jinsi ya kuongeza jina la biashara kwenye TIN number

    Habari wakuu, Nimeenda Voda shop kusajili LIPA number yenye jina la biashara nikiwa na leseni yenye jina la biashara na TIN yangu ya biashara. Nikaelezwa ili nisajili LIPA namba ya namna hiyo inatakiwa nipate TIN number yenye jina la Biashara. Je kuna mwenye uzoefu aliyewahi kuongezea jina la...
  20. Masokotz

    Fahamu Tofauti kati ya Jina la Biashara na Kampuni

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mko salama na mnaendelea na shughuli mbalimbali za Ujenzi wa Taifa.Wakati ninapofanya kazi na watu ya kusimamia mchakato waowa usajili wa Kampuni na majina ya biashara huwa ninakutana na maswali mbalimbali kuhusu tofauti iliyoko kati ya Jina la...
Back
Top Bottom