Huyu mwamba pamoja na kuandika taarifa za kampeni za CCM wakati wa kipindi cha kampeni amefunguliwa mashtaka ya uhaini.
Kwa mnaotetea mfumo wa ukandamizaji mkidhani haitawakuta, siku yenu itafika. Utakamatwa ukiendesha bodaboda yako kwa kosa kidogo tu la barabarani, na utapigwa na kutupwa huko...