jeshi

  1. Jeshi la Polisi mmefeli sana

    Taarifa zilizotolewa kuhusu madai ya “mwanajeshi wa Marekani” kukamatwa Tarime zimeibua maswali mazito kuliko majibu. Kutaja jina lisilo la kawaida kama Onkuri Ongeta. Pamoja na picha zinazomuonyesha mtu huyo akiwa amejipamba kwa pete kama Mganga wa Kienyeji na mavazi yasiyoendana na mafunzo ya...
  2. M

    Swali fikirishi: Hivi Jeshi lipo kwa ajili ya kulinda wananchi au mtu mmoja?

    Naomba tuijadili hii mada bila mihemuko wala uchawa. Tumeona maelfu ya wananchi wameuwa, na inasemekana kuna hadi wanajeshi wameuawa na polisi, hii yote ni kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja tu. Sasa swali la msingi ni hili; hivi jeshi lipo kwa ajili ya kumlinda rais au wananchi.
  3. Hili jeshi ndo mlikuwa mnategemea lichukue nchi??

    Leo ndo nimeamini hakuna jeshi bali ni kikundi cha wanasiasa Jeshi gan uchwara kama hili? Wanapongezana kwa mauaji kwa kupandishana vyeo Gen Z, taifa halitokombolewa kwa kuwategemea JW bali ni wananchi pekee wanaweza kufanya hivyo
  4. M

    Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

    NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization. Makundi ya kigaidi huteka, huua. Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko...
  5. Kama kauli hizi ni za kweli, usalama wa taifa,uhamiaji na Jeshi wakurugenzi watumbuliwe aachwe IGP, walitaka kumwalibia KAZI

    KAULI ya Rais yakuwa Kuna vijana wa Kenya waliingia Tanzania na kuandamana tarehe 29 ni inshara tosha yakuwa Jeshi la uhamiaji na Jeshi la wananchi lilimuujumu kikubwa IGP Ili atumbuliwe. Je NGO zilizowalipa vijana Ili waandamane zilisajiliwa na nani? Nisemw ukweli Rais Samia anahujumiwa...
  6. PostGE2025 Maandamano huwa hayazimwi kwa vitisho vya aina yoyote ile, siyo jeshi wala dini!

    Naona walioko hapo juu mnaendelea kufanya kosa lile lile la kabla 29.10.2025. Kabla ya hayo maandamano mlitumia vyeo vyenu vya Uamiri Jeshi Mkuu, Ukuu wa Mikoa, U-IGP nk kuwatishia waandamanaji, kwamba wakiandamana watakiona cha moto. Mkaanzisha na kupitisha maandamano ya Polisi na Wanajeshi...
  7. Aliona sifa kuvaa nguo ya jeshi wakati wa maadamano

    https://youtube.com/shorts/pPZAeqHderM?si=vw04-V9jiV-rFFY1
  8. PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  9. Kuelekea Desemba 9: Nimeongea na Kapteni wa jeshi na huu ndo uelekeo wao

    Bro siku hiyo watu wawe na ujumbe wao na wasifanye uharibifu tuu. Hakutakuwa na risasi itarushwa hata moja kukiwa na ustaarabu wa kuheshimu mali binafsi na za umma. MY TAKE: Twendeni kwa wingi barabarani mpaka huyu kenge akimbilie kwa wajombaze Oman
  10. Raisi mpaka sasa yupo chini ya jeshi ambaye kashinda asilimia 98 mbona anaogopa kuwa anapendwa.

    Kuna mda mwengine africa is africa stupidy ,Mimi na shangaa mpaka sasa raisi mwenye kuwa na asilimia kubwa mpaka sasa jeshi lipo naye kuwa kupendwa kwake imefikia asilimia yote anaogopa nini ?. Kauli za kusema kusamehee,katiba ndani ya mfupa na kuomba upamoja kama alikuwa asilimia 98 mbona...
  11. Kwa mara nyingine tena nakubaliana na watanganyika wengi kuwa hatuna Jeshi la Wananchi

    Muda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29. Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika Kama jeshi halijahusika kabisa na mauaji kwanini police wafanye hivyo ili hali jeshi lilikuwa mtaani siku hiyo? Tulijenga...
  12. I

    Jeshi 10 bora zaidi barani Afrika mwaka 2025, uwezo, nguvukazi na bajeti

    Faharasa hupima nguvu kazi, vifaa, na rasilimali za kifedha ili kutoa “Kielezo cha Nguvu” linganishi. Katika ripoti hii, tunaangazia mataifa 10 yenye majeshi bora zaidi barani Afrika, tukielezea uwezo na nguvu zao muhimu, pamoja na takwimu za hivi punde za bajeti ya ulinzi kwa dola za...
  13. Hatutaki maridhiano yoyote na huu utawala batili tarehe 09 tunatoka

    Baada ya kutoa amri ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu 10+ huku watu zaidi ya 23000 wakiwa hawajulikani walipo leo anataka maridhiano! Maridhiano ya wauawaji?? Big No!! Eti kaua yeye halafu anataka kufanya uchunguzi yaani ajichunguze yeye!! 1. Amekwepa kuomba radhi kwa ukatili uliofanywa na...
  14. N

    Mange Kimambi mbona haji tena na swaga la Jeshi lipo na nyie?

    Naangalia youtube hapa kwenye TV namsikia kidada anasema Watanzania wasirudi nyuma, ohhh vijana endeleeni kweli? ahaaa ahaaaa ahaa yaani anachochea bado tu na wajinga waje wakubali ? KWELI WATANZANIA TUMELOGWA ndo maana kiboko ya wachawi mkongomani alisema Watanzania ni wajinga sana naanza...
  15. T

    Police Militarization: Sababu ya Jeshi letu kuzidiwa nguvu na Polisi

    Police militarization ni mchakato wa taasisi za polisi kuanza kufanana na jeshi kwa kutumia vifaa vya kivita, mbinu za kijeshi, na mienendo ya ukakamavu uliopitiliza katika kushughulikia masuala ya kiraia. Hali hii imezua mijadala duniani kuhusu usalama, haki za binadamu, na matumizi ya nguvu...
  16. Kauli za Jeshi kuasi na kwenda Msituni zilianzishwa bungeni na Wana CM

    Sasa hivi CCM wanajifanya kushangaa watu wanapotaka kuingia msituni kama njia mbadala ya kudai haki. Katika kudai haki kuna njia nyingi. Ikiwemo mazungumzo, Mahakama, Maandamano na kadhalika. Yote yalishindikana watu wanaingia msituni kupambania haki zao. Ndivyo nchi nyingiza Afrika walifanya...
  17. PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
  18. C

    Ina maana ni kweli kwamba jeshi letu na vyombo vyake havikujua kwamba huyu mtu alikuwa na kisasi na watanganyika tangu 2001

    Kwamba walio kuwa wanawaminia watanganyika risasi kama wanaua ngedere walio vamia shamba la mahindi kilikuwa ni kikosi toka zanzibar hilo mimi sina hakika lakini ni kweli kabisa waliuawa kwa mamia kwa risasi za moto na kilikiwa kisasi hasa maana mashuhuda wengine walio nusurika uliongea nao...
  19. Jeshi la Polisi lawashikilia vijana 172 kwa tuhuma za kufanya vurugu na uharibifu wa mali za watu tarehe 29/30 Oktoba

    Msako mkali ikiendelea jijini mwanza ili kuwabaini vijana waliosababisha vurugu na uharibifu wa Mali za watu ikiwemo maduka kuharibiwa vibaya na kuchoma moto magari, vituo vya mafuta huku wakijificha kwenye kivuli cha maandamano. KATAA UHARIFU GARI NYINGI ZA WATOTO WA SHULE ZIMECHOMWA MOTO...
  20. Kuanza juzi helicopter ya jeshi inafanya doria Arumeru, ila leo haipoi Aisee

    Asalaam Aleykhum Warahmatullah.. Leo hii kuna doria ya Jeshi yaelekea kuna wahalifu wameshawatukia, kwasababu inapita kimo cha chini na ni muda wote tangu asubuhi mapema Ni maeneo ya Mt. Meru kuelekea Tengeru Hata hivyo jana Wananchi Tengeru, Morombo na Ngaramtoni waliandamana wakidai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…