jeshi

  1. 5

    Ukraine yadai kumuua afisa wa tisa Mkuu wa Jeshi la Urusi

    Afisa mkuu wa tisa wa Urusi ameripotiwa kuuawa nchini Ukraine, na kuwa wa hivi punde zaidi katika idadi ya maafisa wa ngazi za juu wa Urusi kuuawa tangu vita kuanza siku 46 zilizopita. Kulingana na ripoti za vyombo vya habari, Kanali Alexander Bespalov alikuwa kamanda wa Kikosi cha 59 cha Tangi...
  2. M

    CCM wanavunja sheria kuwa na jeshi la green guard. Sheria ya vyama vya siasa imezuia kuwa na majeshi

    Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimezua wazi wazi vyama vya siasa kuunda vikundi vya majeshi. CCM wanakaidi hii sheria na wanaunda majeshi
  3. B

    RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

    Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022...
  4. U

    Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

    Zamotomoto kutoka katika uwanja wa Vita mji wa Mauripol, Makomandoo wa Urusi kutoka kikosi hatari zaidi Ulimwenguni cha Spetsnaz kilichochini ya KGB /FSB wamemteka Kamanda wa Jeshi la Marekani Luten General Roger L. Cloutier Jr, Pamoja na propaganda kadhaa za watu wasio rasmi wala wasemaji wa...
  5. T

    Jeshi la Polisi Jiji la Dodoma mjitathimini, mauaji kata ya Ihumwa na Mtumba yamezidi

    Ni muda mrefu sasa tangu mwaka Jana mpaka mpaka Sasa hivi.Hali ya amani sio shwari Kwa wakazi wa ihumwa , mtumba na mahoma. Jinsia ya kike mabinti na akina mama ndio wahanga wakubwa wa mauaji haya. Jua likizama tu akina dada na mama zetu inawalazimu kubakia ndani kama wafungwa hata dukani au...
  6. Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo lawahusisha wanajeshi wa Rwanda na waasi

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo linasema kuwa wanajeshi wa Rwanda waliwasaidia waasi wa M23 wakati wa shambulio la Jumatatu karibu na mpaka wake na Rwanda na Uganda. Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema limewakamata wanajeshi wawili wa Rwanda waliohusika na shambulizi...
  7. U

    Mfahamu kwa mrembo Roza Georgeyevna Shanina, mdunguaji bora kabisa wa Jeshi la Urusi aliyeua watu 54

    Mfahamu kwa picha Bi Roza Georgeyevna Shanina Mdunguaji Bora Kabisa wa Jeshi la Urusi aliyeua watu 54 Hamjamboni wadau Ni mdada mrembo kabisa kwa muonekano aliyehudumu kwenye kikosi maalumu cha Wadunguaji (Snipers) wa Jeshi la Kisoviet mwaka 1943 Alikuwa ndiye mdunguaji bora kabisa (one of...
  8. Nikisema Jeshi la Polisi halifanyi kazi vizuri, najibiwa...

    Katika nchi ya Pueto rico Rais analalamika akilisema jeshi la Police halifanyi kazi vizuri anajibiwa na IGP / Mkuu wa Jeshi la Police wa Pueto rico. Naomba kunukuu maneno ya Rais wa Pueto rico ' Wewe uamini vyombo vyako ohooo ohoooo' alisikika Rais wa Pueto rico akilalamika kitendo cha utovu wa...
  9. Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

    Kwa mujibu wa taarifa za ndani ni kwamba Russia ilipanga kuwa imeiteka ikulu ya Kiev ndani ya siku mbili, wapachike vibaraka wao madarakani kisha warudi nyumbani. Lakini sasa hali imekuwa tofauti kama ambavyo ulimwengu umekuwa ukiitizama nguvu ya kijeshi ya Russia. Hadi sasa majenerali 5 wa...
  10. Jeshi la Wananchi wa Tanzania linatazamaje Manda Bay yenye US military base?

    Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii, japo sio kipaumbele chetu, Je! JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU? Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  11. B

    Ni nani anapaswa kujitathimini Kati ya Jeshi la Polisi na Chama cha Mapinduzi?

    Binadamu tumeweka siasa Mbele maisha ya watu na utu wao nyuma. Katika kipindi chote ambacho matendo maovu ya Jeshi la Polisi yanafanyika hakuna aliyewahi kusikia Chama cha Mapinduzi wakikemea. Tumesikia namna mwanachama wa CCM Bwana Sabaya alivyokuwa anakamata walinz wake nakuwapiga Kisha...
  12. Mtwara: Kamati ya Uchunguzi matukio ya mauaji yadai kubaini Polisi walimpora fedha mfanyabiashara wa madini

    Taarifa ya Kamati ya uchunguzi wa matukio ya mauaji yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari mkoani Mtwara inadaiwa kubaini Jeshi la polisi lilishindwa kuteleza wajibu wake wa kulinda usalama wa Raia na mali zake badala yake likageuka kumpora fedha mfanyabiashara wa madini. Pia soma - Mtwara...
  13. Uonevu mwingine Jeshi la Polisi; Wafanyabiashara wasota mahabusu siku 563 na kuporwa mali zao

    Ni mwendelezo wa mateso kwa wananchi. ======= Hali ya hewa katika Jeshi la Polisi bado haijakaa sawa baada ya hivi karibuni kushutumiwa katika matukio kadhaa ambayo yanaonekana kuwa kinyume cha utaratibu wao, leo tena Machi 14, Gazeti la Mwananchi limeandika juu ya sakata jipya. Santus...
  14. Wananchi kukosa imani na Polisi: CCM yaagiza Jeshi la Polisi lichunguzwe

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana jana Dodoma, chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu, imeiagiza Serikali kuchunguza mwenendo wa Jeshi la Polisi baada ya wananchi kupoteza imani na Jeshi hilo. Inadaiwa Maofisa wa Polisi hawaaminiki na wanaonekana kutenda majukumu yao bila kufuata...
  15. Muhoozi Kainerugaba (Mtoto wa Rais Museveni) atangaza kustaafu Jeshi. Je, ni maandalizi ya kurithi kiti cha Urais?

    Picha: Baba(Rais), Mtoto (Luteni Jenerali), Mama (Waziri wa Elimu) Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni nani? Muhoozi Kainerugaba ni mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda na mama Janet Museveni, ambaye ni waziri wa elimu na michezo tangu mwaka 2016. Ni mume wa Charlotte Nankunda Kutesa aliyemuoa...
  16. S

    'Majeshi ya Russia yalikuwa na upole sana kwa Ukraine' Anasema afisa mstaafu wa jeshi la Marekani, ambaye pia amfananisha Zelensky na 'Mdoli'

    Afisa mstaafu wa jeshi la Marekani Colonel Macgregor ambaye pia amewahikuwa mshauri ktk Department ya Ulinzi ya Marekani amesema kuwa Zelensky kupambana na majeshi ya Russia ni 'upuuzi' na kuwa Zelensky si shujaa. Zaidi ya hapo akasema, Russia walikuwa wapole sana ktk ingwe ya kwanza ya uvamizi...
  17. Jeshi la Urusi kuwapokea Wanafunzi Watanzania waliopo Ukraine, wapewa maelekezo maalum ili warudishwe Tanzania

    Ubalozi wa Tanzania uliopo Urusi umetoa taarifa juu ya njia ambazo wanafunzi Watanzania walipo katika Chuo cha Taifa cha Sumy Nchini Ukraine wanazotakiwa kutumia pamoja na namba za simu kwa ajili ya mawasiliano wakati watakapokuwa wanaelekea sehemu salama kupokelewa. Wanafunzi wanatakiwa...
  18. I

    Inawezekana jeshi la Urusi sio tishio sana kama dunia inavochukulia

    Ukraine ambayo jeshi lake kwenye makaratasi linashika nafasi ya 22 kidunia limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka sasa kudhibiti mashambulizi kutoka Russia kwa takriban siku kumi sasa. Kumbuka Russia inashika nafasi ya 2 kwa jeshi bora duniani kwenye makaratasi. Kutokana na Russia kuogopeka na...
  19. Urusi: Wanaosambaza taarifa za uongo kuhusu Jeshi kufungwa hadi miaka 15

    Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine unaweza kusababisha wimbi kubwa la wakimbizi karibu milioni 10 wanaokimbia nchi. Taarifa hiyo imetolewa na msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephane Dujarric, aliyedai watu milioni 4 kati yao wanaweza kuingia katika nchi jirani Kamishna wa Umoja wa Mataifa...
  20. Burkina Faso: Jeshi lateua Waziri Mkuu wa Mpito

    Albert Ouedraogo (52) ametangazwa kuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo kwa kipindi cha Mpito. Uteuzi wake unakuja siku chache baada ya Jeshi chini ya Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba kuidhinishwa kuongoza kwa miaka mitatu Ouedraogo ambaye ni Raia wa kawaida ana jukumu la kuunda Serikali Mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…