Pichani, ni aliekuwa kiongozi wa kundi la wapiganaji TWIRWANEHO(TUJIRINDE), la wanyamulenge huko Kivu kusini.
Ameuwawa akiwa na wenzie wa 5,wanaosemekana kuwa walinzi wake, katika shambulio la drone, lililoandaliwa na jeshi la serikali ya Congo, FARDC.
M23, kwa sasa inaelekea katika maeneo ya...