jeshi la wananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi ashuhudia Jeshi la Wananchi na Jeshi la Marekani wakisaini Makubaliano ya Ushirikiano Kijeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 12 Machi,2026, katika ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na JKT, Upanga, jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Jimbo la Nebraska nchini Marekani (Nebraska National Guard)...
  2. W

    PostGE2025 Dorkasi: Anayeliambia jeshi lisichafue sifa yake, ndiye aliyeliingiza jeshi kwenye mambo ya siasa

    Bibi Dorkasi amehoji kauli ya Rais alipokuwa akiongea na Maafisa wa kijeshi Jijini Tanga kwa kulitaka lisichafuea sifa yake kwa kujiingiza kwenye mambo ya siasa, Bi Dorkasi amesema kuwa anayelionya jeshi ndiye aliyeliingiza jeshi kwenye siasa kipindi cha kampeni. Soma Pia PostGE2025 - Rais...
  3. R

    Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

    Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police. Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma. Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio...
  4. Waufukweni

    Kikosi cha tano cha walinzi wa amani kutoka Tanzania kuendeleza operesheni DRC

    Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
  5. Ma mbwa

    Kuna kila dalili Tanzania ndiyo ikawa nchi ya kwanza jeshi la wananchi kuingia vita na wananchi badala ya kuwatetea

    Kun mambo kadhaa sana yanafikirisha sana kuhusu jeshi letu la wananchi Raia anauwawa mbele yake bila hata kumlinda maana yake naye ni sehemu ya mauaji. Maelekezo yanatolewa zaidi na jeshi la polisi na wao kufuata mkumbo. Watu wanaandamano kudai haki yako mkuu wa jeshi CDF anajitokeza kwenye...
  6. U

    Tamko rasmi la Gen Z wa Tanganyika kuelekea maaandamano ya Disemba 9

    Bongo hakupoi mpaka kieleweke Tamko liko very clear na linasomeka na kujitosheleza lenyewe #Tutaelewana tu Soma pia: PostGE2025 Kuelekea D9: GenZ watoa Tahadhari ya kiusalama kwa wageni na watalii wanaotarajia kuingia Tanzania kuanzia 9/12/2025
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwa mara nyingine tena nakubaliana na watanganyika wengi kuwa hatuna Jeshi la Wananchi

    Muda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29. Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika Kama jeshi halijahusika kabisa na mauaji kwanini police wafanye hivyo ili hali jeshi lilikuwa mtaani siku hiyo? Tulijenga...
  8. M

    PostGE2025 Jeshi la wananchi, Jenerali Mkunda, mlikuwa wapi watanzania wakiuawa hivihivi mtaani kama kuku?-Watanzania tunataka majibu

    Hapana kwa kweli, Hapana Roho yangu inaumia, nimekufa ganzi ya mtima. Kila siku video na picha zinakuja, wananchi wanashare unyama na udhalimu uliokithiri waliofanyiwa na majeshi nchini. Naliuliza Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania. Je October 29 mpaka November 3 mlikuwa wapi?, Je ni...
  9. Kimbesa11

    Watanzania wote, migambo, scout, jeshi la Polisi, jeshi la Wananchi tuwakatae hawa vibaka wanaopanga vurugu nchini huu ndiyo uzalendo

    Watanzania wenzangu, wazazi, migambo, scout, jeshi la Polisi, jeshi la Wananchi, tusimame kidete Kuilinda amani yetu, pasitokee mtu wa kuhujumu amani na uchumi wa nchi yetu, tusimame kidete Halmashauri hakikisheni hakuna mtu wa kuhujumu maendeleo ya halmashauri zenu kwa vurugu mwageni ulinzi wa...
  10. UMUGHAKA

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania mko Tayari kwenda kulinda amani ya raia wa nchi ya Kongo lakini si kulinda Uhai wa Mtanzania,!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! "Jeshi la Wananchi wa Tanzania" mko bize kila mwaka kwenda kutuliza na kulinda amani ya wananchi wa Kongo lakini hamko Tayari katakata kulinda Uhai wa Watanzania wenzenu!Je Kuna uhalali wowote wa kutambulika kama "Jeshi la Wananchi wa Tanzania? au...
  11. K

    Jeshi la polisi, watafanyaje ili warudishe heshima na hadhi yao kwa wananchi?

    Hakuna kitu kibaya katika utumishi wa umma kama kupoteza "trust" kwa watu unaowahudumia. Hili ni jambo linaloumiza na wakati mwingine kumpunguzia muhusika "confidence" Jeshi la polisi limechafuka, limepoteza mvuto na hadhi yake imeshuka sana mbele ya wananchi. Hali hii ilianza muda mrefu sana...
  12. R

    Kosa watalolifanya wakuu wa Jeshi la Wananchi

    Wakuu habari. Nimewaza na kuona kuwa kosa atakalo fanya kwanza CDF na wakuu wengine wa jeshi la wananchi ni kutotumia nafasi hii kuwakomboa watanzania kutoka kwenye uongozi usiofata sheria na wenye wizi wa kura nk. Kwani tujikumbushe jinsi Mkuu wetu MABEYO alivyosimama kuhakikisha Samia anakuwa...
  13. Mchalinze

    Wanachofanya waandamanaji ni kuligombanisha jeshi la wananchi na askari

    Kuna video nimeiona waandamanaji wapo nyumba ya gari la jeshi huku kwa mbele askari wakiwatupia mabomu ya machozi waandamanaji
  14. tonicimmobility

    Inauma sana vijana wadogo wanauawa kikatili na Polisi akili zao zipo kulinda wanasiasa na si raia

    Tuna Vyombo vya Ulinzi na Usalama ambavyo suala la Usalama wa Raia kwao siku hizi halionekani kuwa ndo msingi mkuu Jeshi la wananchi mpaka mmeitwa jeshi la wananchi maana yake mkisema muwatoe wananchi ninyi sio jeshi tena, hamjaitwa jeshi la wanasiasa, hamjaitwa jeshi la serikali, hamjaitwa...
  15. Lord Denning

    JWTZ: Kosa kubwa mtakalofanya sasa ni kuacha kusimama na Wananchi na kuegemea kwa watesi wa Wananchi

    Kosa mnalotaka kulifanya litawagharimu milele. Kimbilio la mwisho la Wananchi ni Jeshi lao na pale Wanasiasa wanapokengeuka Jeshi huwa ndo linasimama na Wananchi. Kosa kubwa mtakalofanya sasa ni kuacha kusimama na Wananchi na kuegemea kwa watesi wa Wananchi. Wananchi wamewachoka watawala...
  16. H

    Jeshi la Wananchi ni muhimu sana liliishi jina lake

    Mwalimu Nyerere wakati anabadilisha jina la jeshi kutoka East Africa Rifles na kuwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, alisema kuwa jeshi hili ni Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Jukumu lake la msingi ni kuwalinda Watanzania na kuilinda katiba ya nchi. Kwa nyakati kama hizi ambazo dhuluma dhidi ya...
  17. McLaren

    GE2025 Mzee Butiku amjibu Kapteni Tesha: Yeye sio askari na kama ni askari atakuwa na jeshi lake jingine

    Wakuu, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amewataka Watanzania kupuuza taarifa zilizotolewa jana Oktoba 4, na mtu aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), aliyetoa wito wa jeshi kuchukua hatua dhidi ya Serikali. "Nilimuona ana ndevu...
  18. DuaZaMama

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) latoa ufafanuzi kuhusu yanayoendelea mtandaoni

    Zingatia: "Hoja hizo zinatolewa na watu waliopo mazingira ya kijeshi" Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linautaarifu umma wa Watanzania kuwa kumejitokeza baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuweka maudhui yanayochochea kuingiza Jeshi katika...
  19. M

    Kazi kuu za Jeshi la Wananchi ni mbili tu kulinda mipaka ya nchi na kulinda Katiba

    Katika nchi yetu kuna chombo kikuu kilichopewa majukumu makuu mawili yaani 1. Kulinda mipaka 2. Kulinda Katiba Katika kutekeleza majukumu hayo chombo hiki hakiwezi kurelegate majukumu yake kwa yeyote yule. Mfano wa jukumu la kulinda mipaka ni pale Iddi Amin alipovamia nchi yetu na kutangaza...
  20. Damaso

    JWTZ ni kwamba mnafanya maigizo ama?

    Wakati dunia inazungumza kuhusu vita vya kisasa vinavyotumia teknolojia ya hali ya juu, jeshi la Tanzania bado limebaki nyuma likifanya mazoezi yasiyo na tija. Badala ya kuwekeza kwenye zana za kivita za kisasa na mbinu za kijeshi zinazolingana na zama hizi, mara nyingi wanajeshi huonekana...
Back
Top Bottom