jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi Mahakama Kuu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kusikilizwa leo. Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika Mahakamani kufuatilia Kesi ya uhaini ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi La Polisi: Wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii tutawasaka na kuwachukulia hatua kali za kisheria

    Ndugu zangu Watanzania, Jeshi la Polisi Nchini limetoa onyo kali sana tena sana kwa wale wote wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii Kuhamasisha Vurugu na uchochezi Nchini. Limesema ya kuwa halitasita kuwakamata na kuwachukulia hatua kali sana za kisheria watakao jaribu kuharibu amani ya Taifa...
  3. JamiiForums Tanzania Ongezeko la ajali Kemondo - Bukoba lawaingiza Mtaani Bwanku na Jeshi la Polisi kutoa elimu

    Ndani ya kipindi kisichozidi miezi miwili Kata ya Kemondo imeshuhudia ajali 3 za barabarani zilizoua watu watatu, kufuatia matukio haya ya ajali Afisa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku, Ijumaa Oktoba 3, 2025 ameongozana na Polisi Kata wa Kemondo Afande Huruma...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro laungana na majeshi mengine kufanya mazoezi ya pamoja

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limeandaa mazoezi ya pamoja ya utayari kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ulinzi na usalama mkoani humo. Mazoezi hayo yalilenga kuimarisha mshikamano, mawasiliano, na uwezo wa pamoja katika kutekeleza majukumu ya kulinda raia na mali zao.
  5. JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa sana jeshi la polisi linalojinasibu lipo kwa ajili ya Watanzania wote kufungia maoni ya watu, wanapaswa kujitafakari sana

    Hili ndilo jeshi la polisi ambalo wanasema wapo kwa ajili ya Watanzania wote, Wamekula kiapo kusimamia haki na kila mara wanajinasibu kwamba wako tayari kupokea maoni mbalimbali iwe hasi au chanya, pia kama maoni mengi ni hasi wanapaswa kujitafakari Je, wapo kwa ajili ya watanzania au kwa...
  6. JamiiForums Tanzania DMZ: Kwanini sasa kuelekea uchaguzi jeshi la polisi wanasema matukio ya sasa kuwa umewamaliza ?

    Hapa kushusha presha za watu kuna watu wanaweza kupoteza haki zao au kuwekwa sehemu ya serikali ya CCM kuonekana kuwa utekaji ni wananchi. Hii ripot ya Mbeya, Iringa na sasa kuna watu washawekewa kifo ambavyo vitasemwa kuwa biashara,madeni,mapenzi na n.k. Usalama naomba DMZ mtakuja kujutua...
  7. JamiiForums Tanzania Mwananchi alipongeza Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri, ashukuru kwa walichomfanyia

    Nalishukuru jeshi la polisi linafanya kazi vizuri sana tena bila majungu, naongea umri wangu ni kiwa mtu mzima wa miaka 60 kasoro. Jeshi la polisi linafanya kazi vizuri, kituo cha polisi Mburahati nilifika tarehe 23 siku ya jumanne kwa ukarimu wa mkuu wa kituo hicho cha polisi na amenisikiliza...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Paul Chuwa (Kiduku) tunamshikilia kwa tuhuma za makosa ya Kimtandao

    Haya Polisi wanachekesha sana! Yani mpaka watu wapige kelele wao ndio wanatoa kusema wamemchukuwa wao Na hayo makosa ya kimtandao mbona kama yamekuwa mengi au kisa wanaikosoa serikali? ================ Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa taarifa ya kumkamata mtuhumiwa mmoja...
  9. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latangaza uchunguzi wa video ya Askari kulala chini, madai ya rushwa na mateso

    Video inayoonyesha askari polisi akiwa amelala chini imezua taharuki mitandaoni, huku ikidaiwa imerekodiwa katika kituo cha polisi bandari. Katika ujumbe ulioambatana na video hiyo, askari wanaodai kuwa wa kituo hicho walieleza kuwa wanakabiliwa na unyanyasaji mkubwa kutoka kwa viongozi wao...
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Padre aliyedai ametekwa, hakutekwa. Alisafiri mwenyewe kwa basi na kwenda Mbeya

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia padre Jordan Kibiki wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, kwatuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa, SACP Allan Bukumbi, amethibitisha kukamatwa kwa padre huyo na kueleza kuwa uchunguzi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Rukwa lakabidhiwa mbwa 3 kwa ajili ya kukabiliana na uhalifu pamoja na doria

    Wafipa si wakorofi jamaani hadi kuwaletea mbwa ila ukizingua wanakupiga radi ya 200 kwenye jua kali ==================== Katika kuimarisha ulinzi na usalama mkoani Rukwa, Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Mbwa na Farasi kinakabidhiwa mbwa watatu kwa ajili ya kukabiliana na uhalifu pamoja na...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Mkuu wa Polisi Mtwara: Tuache kuangalia wengine wanafanya nini. Mtwara iko moja tu mambo yakichafuka hakuna nyingine

    Wakuu Kila mtu atalinda kitu anachoona kina faida. Watanzania endeleeni kulinda amani wakati ma-burgeoisie wataendelea kulinda malambogini na maferari ambavyo yamejazana kule Masaki. ======================== Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mtwara SACP Issa Suleiman amewataka wananchi wa Mkoa wa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Jeshi la Polisi hamjafanya juhudi zozote za kunitafuta| Mawasiliano yangu rasmi yanajulikana

    Polepole: Jeshi la Polisi hamjafanya juhudi zozote za kunitafuta| Mawasiliano yangu rasmi yanajulikana Nimekuwa nikitafutwa kwa mtindo wa KUWINDWA. Pia soma wito wa Polisi kwa Polepole: Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Msomi, Maduhu: Jeshi la Polisi ni chombo cha usalama, lazima liheshimiwe. Wananchi msiwashambulie

    Wakili Maduhu ameonya dhidi ya vitendo vya wananchi kujaribu kushindana na askari polisi, akirejea baadhi ya video zilizozagaa mtandaoni. “Nimeona video, sijui kama ni ya kweli au imehaririwa, ikimuonesha mwananchi akijaribu kumrushia askari ngumi. Hili haliwezi kukubalika. Jeshi la Polisi ni...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Sasa ni heri upambane mwenyewe na Mungu wako juu ya Usalama wako na sio kutegemea Jeshi la Polisi!!

    Natumia kisa Cha Mh Polepole kuhusu Ndugu yake kufatiliwa na Watekaji , kujenga Hoja yangu. Mh Polepole anasema, Baadae alimshauri Ndugu yake kurepoti suala Hilo Polisi. Bahati mbaya sana, Kwa Mujibu wa Polepole, Kila Kituo Cha Polisi alichoenda, akawa anaambiwa Nenda Kituo fulan, suala lako...
  16. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Singida lapokea magari mapya manne aina ya Toyota Hilux Double Cabin ili kuimarisha ulinzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida kupitia kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camillus Wambura, limemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari mapya manne aina ya Toyota Hilux Double Cabin yatakayotumika kuimarisha ulinzi na usalama mkoani...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Rc Ruvuma atoa shukrani kwa rais Samia kutoa magari mapya 24 kwa ajili ya shughuli za jeshi la polisi

    Rc Ruvuma atoa shukrani kwa rais Samia kutoa magari mapya 24 kwa ajili ya shughuli za jeshi la polisi
  18. JamiiForums Tanzania Matendo yanofanywa na jeshi la polisi wa raia yaonyesha mapungufu makubwa yaliyopo kwenye Chuo cha polisi Moshi

    Matendo ya kikatili ya kupiga raia na kuwajeruhi au kuwaumiza ikiwemo kuwapa majeraha ya kudumu au wakati mwingine majeraha yaitwayo "Life changing injuries", yaonyesha mapungufu makubwa yaliyopo katika mafunzo ya polisi hususan chuo cha Polisi Moshi. Matendo ya kinyama ya askari polisi ya...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yakabidhi magari 24 kwa Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma kuimarisha ulinzi na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025

    https://youtu.be/JBthEm_5Myc?si=xtKNiW05D4y7m1CG Serikali imetoa magari 24 kwa Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuongeza nguvu ya ulinzi na usalama katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo, hususan katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
  20. JamiiForums Tanzania FFU wakabidhiwa Magari 8 na Mkuu wa Mkoa Mwanza kuimarisha Utendaji wa Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekabidhi magari 8 aina ya Toyotaland Cruiser 2 Hardtop na Toyota Hilux Double Cabin 6 kwa Jeshi la Polisi mkoani humo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3. Magari hayo yaliyokabidhiwa katika Viwanja vya Polisi Mabatini Jijini Mwanza, yatatumika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…