jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama jeshi la Polisi halijui Public figure kama Askofu Gwajima alipo basi kuna mapungufu makubwa

    Kwamba hayupo nchini?.Yupo nchini? Jeshi la Polisi lenye dhana na askari polisi wenye mafunzo ya hali ya juu hawajui Askofu Gwajima yupo wapi? Kwamba hawana uwezo wa kupata taarifa mtu maarufu kama huyu yupo wapi? Hadi leo wanamtafuta kwa uchochezi? Je wataweza kujua vibaka na wavuta bangi...
  2. JamiiForums Tanzania Samia kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute?

    Kama MTU ana Mamlaka ya kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute Gwajima !!. Nadhani swali la, Nani Kiongozi wa Genge la Watekaji? Je ni Akina Mafwele, Muliro ? Jibu ni Moja, NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN .
  3. JamiiForums Tanzania Tz jeshi ni moja tu, Jeshi la polisi

    Kwa hali inavyo onekana Tanzania jeshi ni moja tu Jeshi la polisi wengine wote skauti
  4. JamiiForums Tanzania Natoa elimu fupi kupitia picha hii. Tujielimishe!

    Tanzania tuna vyombo vya ulinzi na usalama takribani 6 na tuna idara saidizi za ulinzi na usalama kadhaa. Kila chombo kiko huru kujisimamia ingawa vyombo hivi hutegemeana. Wakati mwingine chombo kimoja kinaweza kufanya majukumu ya chombo kingine lakini kwa kushirikiana na chombo husika. Yaani...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aunty Lulu: Niliomba msamaha kwa jeshi la polisi kwa kufanya uchochezi na ndio maana sijakamatwa

    Kwahiyo wewe Lulu unataka kutuambia kwamba kila mtu angeomba msamaha angesamehewa? Lakini pili wewe si unajifanya mpambania wananchi kama ulikuwa unasema vilivyo na maslai ya wananchi kwanini uombe msamaha na kusema uchochezi? Embu tuache kidogo kuna kitu kimejificha hapo =========== Aunty...
  6. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi lilipofikia Polisi akimtaka mke wako na ukimuuliza anakumiminia risasi na IGP anasimama na kusema polisi wangu alikuwa anajihami

    Kuna visa ukivisikia unadhani ni story lakini jeshi hili la Polisi Tanzania ni jeshi la ovyo na hasa kwa unyanyasaji na ubabe usio na kichwa wala miguu. Asakari polisi anaweza kukufanyia lolote atakalo na kama huna pesa na huna watu basi haki ndio inapotea. Nadhani nchi nyingi za Afrika zina...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwananchi: Napongeza Jeshi la Polisi kwa kudhibiti ugaidi. Hongereni

    Wakuu, Hivi hawa Watanzania wanaoshangalia "juhudi za polisi kwenye kile kipindi cha maandamano wana ubinadamu kweli Hapa ni Mwanza na inasikitisha sana kuona kwamba badala ya media na wananchi wanaunga mkono kichototokea Uchawa na kikomo wakuu. Sio kila kitu ni cha kusifiwa
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuhuma za Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Gwajima kwa Jeshi la Polisi zinaweza kupelekea kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu

    Kutuhumu Jeshi la Polisi au chombo chochote cha usalama kwamba kimeiba mali au fedha, hasa bila ushahidi wa moja kwa moja, ni jambo lenye uzito mkubwa na athari kubwa. Baadhi ya athari hizo ni kama: Kupoteza Imani ya Wananchi kwamba Jeshi la Polisi linajihusisha na wizi. Kuharibu Taswira...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi wakanusha taarifa ya Marufuku ya Kutoka Nje Kuanzia Saa 12 Jioni Desemba 5, 2025 kutokana na maandamano yanayokuja

    TAARIFA KWA UMMA Polisi wa Tanzania wanawaonya wananchi wote kuepuka kutoka nje wakiwa katika vikundi au peke yao baada ya saa kumi na mbili jioni (6:00 PM) kuanzia tarehe 05 Desemba 2025 kutokana na maandamano yanayokuja. Jeshi la polisi kupitia taarifa hii, lingependa kuwahakikishia wananchi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mwanza limewakamata wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi, waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume na sheria kwa kutumia usafiri wa magari Mawili tofauti ya abiria Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana, Novemba 23 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbroad...
  11. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mmefeli sana

    Taarifa zilizotolewa kuhusu madai ya “mwanajeshi wa Marekani” kukamatwa Tarime zimeibua maswali mazito kuliko majibu. Kutaja jina lisilo la kawaida kama Onkuri Ongeta. Pamoja na picha zinazomuonyesha mtu huyo akiwa amejipamba kwa pete kama Mganga wa Kienyeji na mavazi yasiyoendana na mafunzo ya...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 "Jeshi la Polisi, hawa tukiwapoteza msiwatafute", Odemba ampelekea moto Faris kwa kauli yake Tata

    https://www.instagram.com/reel/DRXwUPxDA6x/?igsh=NzVlODN0Y3ZydDVq
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

    NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization. Makundi ya kigaidi huteka, huua. Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la polisi wakiri kumshikilia Swebe wa CHADEMA na wenzake 3 kwa tuhuma za uchochezi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za uchochezi, akiwamo Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kyela, Victoria Swebe mkazi wa Lubele na wengine watatu ambao ni Bryson Kamembe, Asajile Mwasalemba na Elia Mwalumbu wakazi wa Wilaya ya Kyela. Kamanda wa Polisi Mkoa huo...
  15. JamiiForums Tanzania Utata kifo cha MC Pilipili: Wauaji hawajajulikana. Polisi wasema alishambuliwa, uchunguzi unaendelea

    Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma likithibitisha kushambuliwa kabla ya kifo cha aliyekuwa mchekeshaji na mshereheshaji, Emmanuel Mathias maarufu MC Pilipili, suala la kuwatambua waliomshambulia, limebaki kuwa giza nene. MC Pilipili aliyekuwa mkazi wa Swaswa Jijini Dodoma, alifariki dunia...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania

    Wakuu Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68. Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  18. B

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi - Rasmi jeshi la polisi ni jumuiya chini ya mwamvuli wa CCM

    14 November 2025 Rais wa chama cha mawakili Tanganyika msomi Boniface A.K Mwabukusi pia asema bora jeshi la Polisi likapewa usajili na msajili wa vyama vya siasa Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=UMmGpqh9Ask
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania wote, migambo, scout, jeshi la Polisi, jeshi la Wananchi tuwakatae hawa vibaka wanaopanga vurugu nchini huu ndiyo uzalendo

    Watanzania wenzangu, wazazi, migambo, scout, jeshi la Polisi, jeshi la Wananchi, tusimame kidete Kuilinda amani yetu, pasitokee mtu wa kuhujumu amani na uchumi wa nchi yetu, tusimame kidete Halmashauri hakikisheni hakuna mtu wa kuhujumu maendeleo ya halmashauri zenu kwa vurugu mwageni ulinzi wa...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi: Maandamano ni biashara na wachache ndiyo wanufaika

    Kupitia page ya Instagram ya Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa nasaha wakiwaasa wananchi kuepukana na maandamano kwani ni biashara ya wachache ambao ndiyo hunufaika zaidi, na wengi wa raia huumia zaidi kwa kupoteza kazi, biashara na madhara mengine mengi! "Maandamano ni biashara, wachache...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…