Jerry William Silaa (1982) ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi, August 2023 aliteuliwa na Rais Samia Suluhu kuwa Waziri wa Ardhi, Nyuma na Maendeleo ya Makazi.
Kama kusema kuwa wabunge hawalipi kodi ndio sababu ya wewe kuitwa kwenye Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge, nakushauri uweke hadharani salary slip yako kabla ya kufika mbele ya kamati ili umma ujue ukweli halisi ni upi.
Unaweza kuficha taarifa ambazo sio sahihi kwenda kwenye public...
Spika wa Bunge amewaita Mbunge Josephat Gwajima na Jerry Slaa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya bunge
Wanatakiwa kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya bunge
Gwajima ametakiwa afike Dodoma Agosti 23 saa saba mchana, Slaa ametakiwa afike...
Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi.
Silaa ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia...
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa, ameitaka Serikali kuweka Utaratibu mzuri wa kufanya uthamini na kulipa Wananchi kwa wakati akisisitiza lazima Fedha ziwe zimeshatengwa wakati uthamini unafanyika
Wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, amesema "Mara nyingi uthamini unafanyika...
SIKU moja baada ya Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kuamuru mabango yaondolewe barabarani, Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa amemtaka waziri huyo kuacha ubabe katika utekelezaji wa majukumu yake badala yake atumie vikao rasmi kutoa matamko yake.
Juzi wakati akizindua kituo cha daladala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.