Hongereni na kz ndugu zangu!
Lema kumpa pole Rais Samia, ni jambo jema na la kibinadamu kabisa. Kosa lake Lema ni kutumia na kujificha kwenye nafasi ya mwenyekiti Tundu Lisu .
Protokali yeye hana mamlaka ya kumsemea mwenyekiti Tundu Lisu. Kusema eti Lisu alisema mahakamani wapeleke pole...