jebra kambole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PostGE2025 Jebra: Mahakama imepanga kusikiliza kesi ya uteuzi wa Tume ya Jaji Chande kipindi ambacho muda wa Tume unakuwa umekwisha

    Wakili Jebra Kambole anasema: Mahakama imepanga kusikiliza kesi ya Kupinga Uteuzi wa tume tarehe 10/02/2026 baada ya muda wa Tume kuisha. Bila kujali maslahi mapana ya kesi na kuzingatia hati ya dharula, wakati wa likizo kuna Jaji huwa anabaki kwa kesi za dharula kama hizi. Baadae kikiwaka...
  2. W

    Jebra Kambole: Tunapenda sana kosa la uhaini na tumelifanya la kawaida

    Wakili Jebra Kambole ameoneshwa kusikitishwa na namna kosa la uhaini lilivyofanywa kama kuwa la kawaida na kuonya kuwa ipo siku litatokea kweli. Wananchi mbalimbali pia wameoneshwa kusikitishwa na namna kosa hili linavyotajwa mara kwa mara katika kipindi hiki hali inayopelekea kupoteza ule...
  3. W

    GE2025 Jebra Kambole: Mwanasheria Mkuu ajiulize kwanini wananchi walimsikiliza mtu mmoja kutoka nje na si viongozi wa ndani?

    Wakuu, Baada ya kauli ya mwanasheria mkuu wa serikali Johari kwamba kuna mtu mmoja nje ya nchi anahamasisha maandamano, wakili Jebra Kambole amemtaka pia ajiulize kwanini watu hao walimsikiliza mtu huyo aliye nje na si viongozi wao wa ndani ikiwemo Rais. === Kupitia ukurasa wake wa X, Jebra...
  4. MIMI BABA YENU

    Chadema kuzuiwa kufanya mikutano na shughuli zote kisiasa wamlaumu Jebra Kambole

    Katika hali ya kushangaza unajiuliza hivi wale Mawakili wanaojifanya kuwa ndiyo Mawakili bora Tanzania, imekuaje wameamua kukaidi agizo la Mahakama la kuitaka CHADEMA kutofanya shughuli yeyote ya kisiasa na kioparesheni. Mtakumbuka Juni 10, 2025 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  5. DuaZaMama

    PreGE2025 Wakili wa Lissu Jebra Kambole aweka wazi kuhusu ugumu wanaopitia mawakili kumuona Lissu gerezani

    Wakili wa Tundu Lissu Jebra Kambole kwa niaba ya mawakili wengine wanaomtetea amesema wamekuwa wakipta ugumu wa kuonana na kufanya mazungumzo ya faragha na kushauriiana na mteja wao pindi wanapokwenda kumtembelea Gereza la ukonga. Malamamiko hayo yalitolewa pia na Lissu kuwa hapati uhuru wa...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Wakili Jebra: Hatutegemei visingizio vyovyote Lissu kutoletwa Mahakamani Mei 19, 2025

    Wakili Jebra Kambole, mmoja wa mawakili wa utetezi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kesi ya mteja wao isikilizwe kwa uwazi kuanzia Mei 19, 2025. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Jumatano Mei 14, 2025, Jebra amesema: "Kama...
  7. W

    PreGE2025 Jebra Kambole: Sisi mawakili tumekuja mahakamani kwanini wananchi wasije?

    Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumanne Mei 06.2025 kesi mbili (2) zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu zinaendelea kwa njia ya mtandao Mahakamani hapo Mmoja wa Mawakili wa utetezi Wakili Jebra Kambole...
  8. W

    PreGE2025 Wakili Jebra Kambole ahoji kitendo cha polisi kutaka kwenda kupekua nyumbani kwa Lissu bila amri ya mahakama

    Wakili Jebra Kambole kupitia ukurasa wake wa X anaandika; "Polisi wamefika nyumbani kwa wakili Tundu toka Usiku wanataka kupekua uhaini wa maneno! Tumieni akili kidogo unaendaje kupekua nyumbani kwa mtu bila amri ya Mahakama na bila ya mmiliki wa nyumba kuwepo? Au mnataka kumuwekea vitu vyenu...
  9. Papaa Mobimba

    Wakili Jebra Kambole: CHADEMA inachafuka kwa tuhuma za rushwa

    "Rushwa ukiitazama katika mfumo wa kijinai tunasema unapaswa uthibitishe pasipo na shaka lakini mkija kwenye upande wa chama kama CHADEMA, kwanza tunapaswa kujuwa kuwa CHADEMA ni tumaini la Watanzania kwa hiyo wanapaswa kujuwa kuwa hawapaswi kutiliwa shaka hata kidogo, ni kama tunavyosema mke wa...
  10. B

    Jebra Kambole: Hatma ya CHADEMA sasa mikononi mwa wajumbe

    Hii ni baada ya mwamba kukomaa ki Yoweri Kaguta Museveni: Kwamba wajumbe hawa, ambao wengi wao nao ni watia nia kwenye ubunge na udiwani uchaguzi mkuu 2025, wajue bila watu, kura zao zinabeba hatima zao wenyewe. Maneno mazito kabisa haya kutokea kwake wakili msomi Jebra Kambole.
  11. B

    Akiwashangaa Mbowe na wafuasi wake, Anaandika Wakili Jebra Kambole: "Kwani nani Hayataki Haya?

    Ukweli mchungu: Labda tusaidiane kufahamu, hivi kweli ni nani hataki haya? Pia soma: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
  12. Mbangaizaji wa Taifa

    PreGE2025 Wakili Jebra Kambole: Jinsi ilivyo ngumu kumnadi Mbowe; sasa mpitisheni muone itakavyokuwa ngumu kuwanadi wagombea 2025. Mtapita kama mnaaga maiti

    Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo. Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha...
  13. benzemah

    UWT kumsaidia kukata Rufaa Maria aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kukutwa na nyama ya swala

    Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumuhukumu kifungo cha miaka 22 Jela, Maria Ngoda Mkazi wa Mtaa wa Zizi la ng'ombe, Manispaa na Mkoa wa Iringa baada ya kumkuta na hatia ya kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria, Kamati ya Utekelezaji ya...
  14. Roving Journalist

    Wakili Jebra Kambole asema Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kwa uchochezi akwama kupata dhamana Polisi

    Wakili Jebra Kambole amesema "Bado wanashikiliwa kituo cha polisi na hawajapewa dhamana Lakini tumeshapeleka kesi mahakamani kuomba waletwe mahakamani pamoja na wakili Philip Mwakilima, Boniface Mwabukusi na Nickson Kiliwa." Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye...
  15. Roving Journalist

    Mawakili wa DKT. Rugemeleza Nshala wadai Askari wamepekua maktaba ya mteja wao kinyume cha Sheria

    Siku chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumpa wito Wakili Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam, kuna mambo kadhaa yameibuka. Ikumbukwe kuwa Ofisi ya...
  16. BARD AI

    Mzee Pinda: Adhabu ya kifo ifutwe nchini

    Hoja ya kufutwa kwa adhabu ya kunyongwa inazidi kupata nguvu, baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kuungana na wadau wengine kutaka adhabu hiyo ifutwe na badala yake iwe kifungo cha maisha. Mapendekezo ya Pinda yanaungana na wadau mbalimbali, wakiwamo mawakili, watetezi wa haki za...
Back
Top Bottom