java

  1. jikuTech

    Java: Utangulizi ! || SEHEMU 1

    Je, umewahi kujiuliza programu zinazotumika kwenye simu yako au kompyuta zinafanyaje kazi? Au unatamani kuunda programu zako mwenyewe? Basi kujifunza programu kwa kutumia Java ni njia nzuri ya kuanza! Kwa Nini Java? Rahisi kujifunza: Java ina muundo rahisi kueleweka, hivyo ni lugha nzuri kwa...
  2. jikuTech

    Java: Jifunze 'Variables' na Uandike Code Kama Mtaalamu! |SEHEMU 2

    Jinsi ya kutumia 'variables' katika Java! , usikose video hii muhimu! Iwe wewe ni Mpya au tayari una uzoefu, video hii itakufundisha: Maana na umuhimu wa 'variables' katika Java: 'Variables' ni nini? Katika Java, 'variables' ni kama vyombo au mahali pa kuhifadhi taarifa (data). Kila variable...
  3. jikuTech

    Datatypes, Operators, Strings na Numbers Kwenye Java | SEHEMU 3

    Kwa Nini Ujifunze Java Datatypes, Operators, Strings na Numbers? Hizi ni Kama blocks kwa ajili ya ujenzi wa Program yako. Vitakuruhusu kuunda programu thabiti na bora. Hapa kuna baadhi ya faida za kujifunza Java Datatypes, Operators, Strings na Numbers: Uwezo wa kutumia aina mbalimbali za data...
  4. jikuTech

    Java na Control Statements / Akili ya Programu

    SEHEMU 4 ||||| Unataka kujifunza programming na uwe na uwezo wa kutengeneza programu mbalimbali? Java ni lugha bora ya kuanzia! Na sehemu muhimu sana ya Java ni Control Statements (Kauli za Udhibiti). Java ni lugha bora miungoni mwa lugha za programu , na sehemu muhimu sana katika java ni...
  5. jikuTech

    Mafunzo Kwa vitendo SOMO la 10 java programming language

    Tazama mafunzo kwa vitendo upate uelewa mzuri kama ulikuwa unafuatilia mafunzo ya Java Video ya SOMO la kumi imekuwa ndefu sana kutokana na umuhimu wa kipengele katika Java Programming Language na mafunzo ya software development https://youtu.be/AqaUHU3imSE?si=ob7fOQ4SsyhCcDCX
  6. jikuTech

    Java syntax SOMO 1

    Somo 2 Java syntax Kwenye somo lililopita tulitengeneza faili ya java Main.java na tulitumia code hapo chini ku print " Hello World". public class Main{ public static void main( String [ ] args) { System.out.println("Hello World"); } } Maelezo ya mfano huu ni kama ifuatavyo. Kila mstari wa...
  7. jikuTech

    Utangulizi wa java SOMO 1

    Utangulizi wa java SOMO 1 Java Ni lugha ya compyuta maarufu iliundwa mwaka 1995. Hadi sasa inamilikiwa na Oracle na inatumika ndani ya zaidi ya vifaa Billion tatu (3). Java inatumika katika Programu za simu ( Hasa Android Apps) Programu za Kompyuta ( Desktop Application) Programu za wavuti...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ijue biashara ya vitenge kutoka Kigoma. Fahamu namna ya kutambua Java na Wax feki utajirike

    Watu wengi hawajui kwanini biashara ya vitenge hutokea Kigoma, pia wengi hawafahamu wapi watapata Vitenge halisi na original, post hii yenye urefu itakufungua zaidi ili uweze kufahamu kwanini sisi watu wa Kigoma tunahusishwa na biashara ya vazi la Vitenge. Nifuate kwa umakini mimi mkali wako...
  9. T

    Msaada wa utambuzi wa kitabu kutoka kwa java developer

    Kwa mtu aliesoma kitabu hicho chini naomba title. Nimekiokota mtandaoni chapter moja tu, hakina title book. Nimevutiwa nacho ninahitaji title na mwaandishi ili niweze kukidownload. Thanks
  10. M

    Programmer/ Mtaalamu wa java EE anahitajika!

    Habari zenu wana jamvi. Nahitaji programmer/ mtaalamu mbobefu wa Java EE kwa ajiri ya kunisaidia kwenye moja ya projects ambazo ninazo. Ni short term contract na tutalipana according to makubaliano. Kwa kifupi nature ya kazi ni ku-customize mfumo ambao upo na unatumika tayari na taasisi...
  11. YphNet

    Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

    Nataka niwakumbushe wale ambao wamesoma programming vyuoni lakini bado kwao programming imekuwa kama somo la nadharia tu. Njia pekee ya kujiendeleza katika programming ni uthubutu wa kutengeneza project ndogo ndogo. Wengi tunadownload games bure na tunaona kama wanaotengeneza vitu hivyo hawana...
  12. L

    Android Application Development.

    Wakuu natumaini mu wazima wa afya, karibu hapa tujadiliane kidogo kuhusiana na maswala ya Android application development. Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakihitaji kuingia kuna Android Development lakini wanakosa pa kuanzia sasa hapa nazani patawafaa sana. Natambua kuna nyuzi kadhaa zimewahi...
  13. Simeone

    Java Apps

    Kisimu changu Itel It6910 kuna uwezekano nikatumia Facebook Lite au WhatsApp? Je, kuna uwezekano wa ku-update Java Version? Je, kwanini Apps nyingi zinagoma ila kwenye simu za batani zinakubali? Java AppStore gani yenye apps ambazo nitaweza kuzitumia kwenye simu h it6910? Pia Browser gani...
  14. beth

    Indonesia kuchukua hatua za dharura kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Corona

    Kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ambalo limepeleka Sekta ya Afya kulemewa, Rais Joko Widodo amesema Indonesia itachukua hatua za dharura ili kukabiliana na hali ya mlipuko. Kirusi Delta ambacho kilisababisha ongezeko kubwa la maambukizi India mwezi Aprili na Mei kimetajwa kusambaa katika...
  15. Wisdom Flag

    Nahitaji kufahamu naanzia wapi kufanya programming kwenye lugha ya java na C

    Wakubwa natumain Kuna best IT's humu Kama sio programmers, Ninaomba mnisaidie nina maswali kadhaa kuhusu programming mimi binafsi napenda sana hi kitu ila sielewi naanzia wapi. Nimejarb kujfunza kwenye solo learn language ya Java na c++ lakini inapofika na mimi kutaka kufanya kwenye computer...
  16. Dr Orb

    Muongozo wa software developer anaeanza part-3 (WEB BASED APPLICATION)

    Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2 Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications. Kama tulivyoainisha hapo awali hizi ni program zinazotumia internet katika kufanikisha jambo lililokusudiwa mfano Kupatana...
Back
Top Bottom