Java Apps

Simeone

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
672
628
Kisimu changu Itel It6910 kuna uwezekano nikatumia Facebook Lite au WhatsApp?

Je, kuna uwezekano wa ku-update Java Version?

Je, kwanini Apps nyingi zinagoma ila kwenye simu za batani zinakubali?

Java AppStore gani yenye apps ambazo nitaweza kuzitumia kwenye simu h it6910?

Pia Browser gani nzuri ukitoa Uc Browser?

Wataalamu wa hayo mambo nahitaji msaada wenu.
 
Mbadala wa browser ni opera.

Ingia m.opera.com

Na Facebook tumia hizo hizo browser kuingia. Whatsapp ya Java ilishafungwa.

Facebook lite Sina uhakika kama bado server za Java zipo active utapata hapa

Pia waptrick bado ipo active kama una shida na apps nyengine.

Agree with you//
Hivo na 👉 wapdam.com bado IPO active👀
 
Back
Top Bottom