Leo tarehe 11 Januari 2026, Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limetangaza mechi ya kirafiki itakayochezwa majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Manispaa ya Kinondoni (KMC), Mwenge. Mchezo huo unawakutanisha timu ya Tanzania Sport Influencer—iliyoundwa na mashabiki wa Azam, Simba na...
Kila kitu kiko sawa’: Msemaji wa Serikali
Bado hakuna habari rasmi kuhusu mahali alipo Rais wa Benin Talon, lakini Wilfried Houngbedji, msemaji wa serikali ya Benin, ameiambia AP kwamba “kila kitu kiko sawa.”
Houngbedji hakutoa maelezo zaidi, kulingana na shirika la habari la AFP...
Katika hotuba yake kwa wazee wa Dar esSalaam Rais samia amegusia juu ya lilioitwa "Jaribio ovu" dhidi ya Serikali halali ya Tanzania ambalo lilifanyika siku muhimu ya uchaguzi oktoba 29 - 2025.
Ametaja makundi matatu katika mpango huo
1- Wapanga Mipango(Wapo nje)
2- Washitiri/Wafadhili(Wapo...
Hii idara huenda haipo huwa tunadanganywa kama taifa, inawezekana vipi idara ilishindwa kuona hatari iliyopo wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020, then 2024 serikali za mitaa na mwaka huu wakapuuza security alert iliyokuwa imeshaonekana mapema? Hii idara ivunjwe kama ipo kweli maana naona mambo mengine...
Na. M. M. Mwanakijiji
Tanzania tuliyoijua kabla ya Oktoba 29, 2025 haipo tena, haiwezi kuwepo tena, na hata tukiitaka kwa machozi hatuwezi kuipata tena. Tanzania iliyojivunia “umoja na mshikamano” na “amani na utulivu” imetoweka kama ukungu wa alfajiri na kama umande wa asubuhi imeyeyuka. Siyo...
Hivi vitu vyote utekaji, mauwaji, ubambikiwaji wa kesi, uhalifu kwa viongozi wa dini na kufungiwa kwa JamiiForums ni jaribio la kutaka kutoa vitisho ili waiteke nchi kila mtu hawaogope.
Sasa kuna wahaini wanajaribu kujimilikisha hii nchi wanajaribu kupata control ya kila kitu, nchi bado haija...
Maaskofu wa Kanisa Katoliki ambao Katibu wa Baraza la Maaskofu na waumini wao, wataipa CCM kura?
Kanisa Katoliki ndo Baba Mlezi wa Imani zote za Kikristo. Si moja kwa moja, ila by implication! Kwa kifupi, Wakristo madhehebu mengi yametoka Kanisa Katoliki. Sisi Wakristo ni familia moja
Maaskofu...
Ikumbukwe kuwa mwezi March Trump alitamba kuwa Suez Canal itakuwa chini ya control ya Marekani:
"China inaendesha Mfereji wa Panama, na hatukuipa China - tuliipa Panama - na tunaurudisha."
– Trump (March, 2025)
Hapo Trump alikuwa anazungumzia bandari 2 muhimu zinazomilikwa na kampuni ya...
MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amevunja ukimya baada ya kusema kuwa anashangazwa na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Antipas Lissu.
“Upinzani wa fikra sio uadui. Kuwepo kwa mitazamo tofauti si kosa, bali ni utajiri wa mawazo unaopaswa...
Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.
Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.
Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza...
Amani iwe nanyi wanabodi.
Mwaka huu naenda kutimiza miaka 10 ya membership kwenye jukwaa hili kwa Id hii. Hata hivyo, kwa ujumla nina miaka mingine 4 nyuma ya 2015 ya membership nikiwa na id nyingine ambayo kwa sasa siitumii.
Mimi ni mwanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI ninayependa Demokrasia...
Naomba nisiwekemaneno sana. Pitia video hii ujue nini kimejiri Kinsasha DRC.
Miongoni mwa waliouawa hadharani ni raia wawili wa Marekani na mmoja wa Uingereza
Afrika ni mwendo wa kuuana. Anayewini ni yule mwenye timing kali
Baadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni...
https://www.youtube.com/live/SVGXG6yMBgM
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia...
Polisi inawashikilia Wanaume Wawili, Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri waliokamatwa huko Lusaka, wakituhumiwa kuwa Waganga wa Kienyeji waliokuwa na jukumu la kujaribu kumroga Rais Hakainde Hichilema
Taarifa ya Polisi imesema Candunde na Phiri walikuwa wameajiriwa na Nelson Banda, mdogo...
Baraza la vita la Israel limepitisha azimio la kuishambulia Iran kutokana na shambulio la mauaji kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Haya yanajili baada ya picha za satellite zilizoonesha kushambuliwa kwa ulinzi na mifumo ya ulinzi ya Iran
Je kwa sasa Israel itafanya kile ambacho...
Mtu mmoja aliyekuwa na silaha amesababisha maafisa wa usalama wa Donald Trump kupiga risasi
Hata hivo walinzi maalumu wa Trump walijibizana Kwa Risasi, haijafahamika mpaka Sasa ikiwa Wamemuua Mdunguaji huyo!!.
Soma Pia:
Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa...
Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda...
Hatuwezu kaa Kimya huku Democrasia ikiwa kwenye majaribu makubwa sana, tunaitaka Serikali kupitia Balozi wake au kupitia waziri wa mambo ya nje watoe tamko rasimi la kulaani Jaribio la kutaka kumuua Trump na kuitaka Serikali ya Marekani kuheshimu misingi ya Democrasia.
Ni kwa bahati mbaya hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.