Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na mwanasiasa January Makamba. - Mkutano huo wa Tume na Makamba, ambaye amepata kuhudumu nafasi mbalimbali ikiwemo uwaziri katika awamu tofauti za...
Kuna maneno aliyachapisha January Makamba kuelekea uchaguzi wa kumpata mgombea Urais wa chama chake CCM kwa mwaka 2015 yamenitafakarisha Sana.
Hivi haya maneno ya Makamba yalikuwa yamelilenga kundi lipi ndani ya chama chake?
Jee CCM kuna kundi ilikuwa likishinda uchaguzi wa mgombea Urais wa...
liyekuwa Mbunge wa Bumbuli Mkoani Tanga Mhe. January Makamba ameelezea mapokezi ya Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Tanga ambapo amesema kuwa wingi wa wanatanga katika Mikutano ya Dkt. Samia ni ishara Tosha itakapofika Oct 29,2025...
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Bumbuli, January Makamba leo Jumatatu ya Septemba 08, 2025 amepokelewa kwa shangwe na wananchi wa jimbo hilo baada ya kuwasili katika uzinduzi wa kampeni za udiwani kwenye Kata ya Mponde.
Makamba ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
Kuna picha inamwonesha mwanasiasa Nape Nauye aliyemwita mwendazake mshamba, akamla kichwa, Leo anachonga vinyagooo.
Leo hii NASIKIA Makamba amefungua Madrassa je nikweli?
WALIOKUWA makampeni mastamind Leo hii wako benchi.
Mungu sio Athumani, na wala Mungu hadhihakiwi, ipo siku mbichi na mbivu za michezo michafu ya wizi wa kura inahusishwa kufanywa na January Makamba, Nape Nnauye na Kinana itawekwa wazi na wao wenyewe huku wakitubu kwa machozi.
Nipo paleeee!
Mbunge wa Bumbuli anayemaliza muda wake, January Makamba alipokuwa kwenye mahojiano na kituo cha Radio 1, April 2019 kwenye kipindi cha kumepambazuka alieleza kuwa madara ni kama koti la kuazima.
"Madaraka uliyobeba ni kama koti la kuazima na ukiwa na mbwembwe na nyingi ukiwa umelivaa lile koti...
Mimi binafsi
Naamini huko serikalini JANUARY NA BIABATO kuna kitu cha ajabu sana walifanya wakiwa mawaziri wa Mambo ya njee
Na aliyemponza Biabato ni JANUARY hakuna mwingine
Na walijua fika hawatarudii Bungeni hata iwejeee .
Sasa Biabato anapoteana akati January' anasindicate kubwa ...
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January Makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME maana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli anayemaliza muda wake, January Yusuph Makamba, amesema amepokea kwa moyo mkunjufu na utulivu maamuzi ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya kumuengua kwenye orodha ya wanachama wanaowania kuteuliwa kugombea ubunge katika jimbo hilo kuelekea uchaguzi mkuu wa...
Jina lake limekatwa huko Bumbuli.
Aanze kula pensheni yake aliyoichota akiwa Waziri wa Umeme
Pia soma
1. > Pre GE2025 - Kutoka Jimboni Bumbuli tunasema Rais Samia mitano tena, Januari Makamba hatumtaki
2. > Pre GE2025 - Wanaodai kuwa Wananchi wa Bumbuli wamtaka Makamba ajiuzulu Ubunge, wadai...
Mbunge wa Bumbuli na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwasabahi Wajumbe wa Mkutano wa CCM uliofanyika Jijini Dodoma ambapo yeye pia amehudhuria Mkutano huo Maalumu.
Hivi hawa watu huwa wamepangwa ama huwa wanaongea kwa akili zao timamu kabisa?
===
Wananchi wa Bumbuli wakati wakizungumza mbele ya Mbunge wao January Makamba wameeleza kuwa wanamshukuru kwa uchapa kazi wake na watasimama naye 2025-20230 huku wengine wakienda mbali zaidi wakisema wanamtaka...
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na wazee wa Jimbo la Bumbuli, Mkoani Tanga, wameibuka na ahadi ya kumchukulia fomu ya kugombea ubunge kwa Mbunge wao wa sasa, January Makamba kwa kutumia fedha zao binafsi kama ishara ya kutambua mchango wake mkubwa katika maendeleo ya jimbo hilo kwa...
Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemtaka Mbunge wao, January Makamba kujiuzulu nafasi hiyo kwani ameshindwa kutekeleza aliyowaahidi wakati wa kampeni.
Wamesema, Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kura zote za Urais watampa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, lakini ubunge hawatampa January...
Mbunge wa Bumbuli na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, Mhe. January Makamba amesema kuwa Wana-Bumbuli wana vitu kwa kujivunia sababu wametoka mbali sana kimaendeleo ukilinganisha na miaka ya nyuma ilivyokua kwenye jimbo hilo.
Makamba ameyasema hayo wakati wa mikutano mbalimbali aliyoifanya...
Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemshukuru Mbunge wao, January Makamba, kwa juhudi zake za kutatua kero mbalimbali zinazowakabili, huku wakieleza kwamba watamchagua tena wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Wakizungumza wakati wa ziara ya Mbunge huyo ya kusikiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.