Baada ya kubaini ukubwa wa tatizo la ukataji wa miti ovyo na kuchambua sababu zake pamoja na wajibu wa wahusika, swali linalobaki ni moja: Je, Tanganyika ina uwezo wa kuokoa misitu yake au itaendelea kushuhudia uharibifu hadi rasilimali hii itakapopotea kabisa?
Uchunguzi unaonyesha kuwa pamoja...
Katika makala iliyopita, uchunguzi huu uliibua hatari inayolikabili eneo la Tanganyika mkoani Katavi, ukataji wa miti ovyo unaotishia si mazingira pekee, bali pia mapato ya zaidi ya shilingi bilioni 29 yatokanayo na biashara ya kaboni.
Lakini nyuma ya miti inayokatwa na mashamba yanayopanuka...
Katika kukabiliana na uhaba mkubwa wa maji safi na salama unaoikumba Kata ya Mkwajuni pamoja na kata nyingine za Saza na Mwambani wilayani Songwe, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mkwajuni (MKUWASA) kwa sasa inatekeleza mpango haraka wa kuongeza upatikanaji wa maji kupitia mradi wa...
Katika wodi za uzazi, sauti za uchungu na matumaini hukutana. Wakati mwingine, dakika chache ndizo hutenganisha uhai na mauti. Ndipo upasuaji wa dharura unapokuwa tumaini la mwisho. Lakini nyuma ya kila uamuzi huo, kuna swali lisiloepukika: je, hatua hiyo imechukuliwa kwa sababu sahihi za...
Kilio cha mama kinapochanganyika na sauti ya kwanza ya mtoto, mara nyingi huleta faraja na furaha isiyoelezeka. Lakini nyuma ya pazia hilo la matumaini, kuna nyakati ambazo maisha ya mama na mtoto huning’inia kwenye uamuzi mgumu wa kitabibu; uamuzi wa kufanya upasuaji wa kujifungua ili kuyaokoa...
SAFARI ya uzazi, ambayo kwa familia nyingi hutarajiwa kuwa ya matumaini na furaha ya kumpokea mtoto imeanza kugubikwa na hofu, mashaka na maswali yasiyo na majibu katika baadhi ya hospitali nchini.
Kwa baadhi ya wazazi, chumba cha kujifungulia kimegeuka kuwa eneo la shinikizo, maamuzi ya haraka...
Licha ya kuwepo kwa sheria, kanuni na mifumo ya usimamizi wa sekta ya madini nchini, simulizi kutoka migodi ya wachimbaji wadogo mkoani Shinyanga zinaonyesha taswira tofauti usalama bado ni kitendawili kisichopata majibu.
Katikati ya hali hiyo, sauti ya mtaalamu wa jiolojia, James Kibiti Muiko...
Utangulizi
Baada ya kuangazia ukubwa wa tatizo, vyanzo, na athari za ukataji miti hovyo katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kupitia makala mbili zilizopita, sehemu hii ya tatu na ya mwisho inajikita katika kuchambua hatua za kuchukua ili kudhibiti hali hii.
Hatua hizi ni muhimu...
Wakazi wa Kata ya Chamwino, Manispaa ya Morogoro, wameendelea kuishi katika mazingira yenye hatari kubwa za kiafya, kiusalama na kimazingira kufuatia kutofanyiwa usafi wa mara kwa mara maeneo yaliyopitiwa na miradi mikubwa ya serikali ikiwemo Bomba la Mafuta la TAZAMA na Grid ya Taifa ya Umeme...
“Hawa ni sehemu ya watoto wa jamii, na ulemavu siyo kikwazo, ulemavu ni sehemu ya aina ya uwezo tofauti, na jamii yetu lazima itambue uwezo wa aina tofauti,”
Ni sauti ya msisitizo ya Makumba Mwemezi, Mkuu wa Idara ya Utafiti, Ubunifu na Uchambuzi wa Sera kutoka Shirika la HakiElimu, akieleza...
KATAVI: Licha ya vijiji vinane vya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kujiingizia zaidi ya Sh bilioni 29 kupitia uuzaji wa kaboni, biashara hiyo ipo hatarini kutokana na uwajibikaji usioridhisha wa waliopewa dhamana ya kulinda na kuhifadhi misitu na kukithiri kwa shughuli za kibinadamu...
Licha ya kuwapo kwa sheria, sera na miongozo mbalimbali zinazolenga kuhakikisha watoto wanatimiziwa mahitaji yao ya msingi, utekelezaji wake umekuwa hafifu na hivyo kuchangia kuwapo na idadi kubwa ya watoto wanaoishi mitaani mkoani Shinyanga.
Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 iliyofanyiwa...
Ukisikiliza simulizi za watoto wanaoishi katika mazingira magumu Shinyanga unaweza kujiuliza Serikali iko wapi na inafanya nini kulinda ustawi wao kisheria, kanuni na miongozo mingi mizuri iliyopo kwa ajili yao.
Utafiti uliofanywa na NIPASHE kwa miezi mitatu umebaini sio ongezeko tu la watoto...
Machi mwaka 2019, maisha ya Bi. Mwajuma Rajabu mkazi wa Tubuyu, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro yalibadilika ghafla. Akiwa anauza samaki pamoja na wafanyabiashara wenzake pembeni ya barabara ya Boma, gari lililokuwa likipita lilipoteza mwelekeo na kuwavamia.
Ajali hiyo ilimjeruhi vibaya...
Katika shule za msingi na sekondari mkoani Mwanza, watoto wenye ulemavu bado wanakabiliwa na mazingira ya kujifunzia yasiyo rafiki, kutoka vyoo visivyofikika hadi madarasa yasiyo na njia salama za kupita. Hali hii imeendelea kujitokeza licha ya uwepo wa sera na sheria zinazotambua haki ya watoto...
Mwanza. “Changamoto ya ngazi na vyoo, halafu kuna mawe, kwa hiyo ukienda vibaya unaweza kujikwaa. Katika ufaulu mtu asipofikisha wastani wa 64, anapata viboko, wakati huku mwanzo hajapata vitabu vya kutosha.”
Kauli ya Joasen Julius, mwenye ulemavu wa miguu na kuzungumza, ikiweka wazi uhalisia...
Makala👇🏼
Simulizi za akina mama Waliojifungua kwa Upasuaji (Dar);
Licha ya Serikali kusisitiza kuwa wajawazito hawapaswi kutozwa gharama wakati wa kujifungua, hali ni tofauti kwa baadhi ya wanawake wanaojifungua kwa upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili pamoja na baadhi ya hospitali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.