Good Commons imejitolea kukusanya euro milioni 1.5 kusaidia jamii mbalimbali duniani ambazo zinaunda upya namna teknolojia inavyohudumia umma. Tofauti na kampuni kubwa za teknolojia na mifumo mikubwa ya akili bandia (AI) inayojengwa kwa misingi ya ufuatiliaji wa watumiaji na faida, jamii hizi...
Kutoka UN City: Jinsi mchango wa JamiiAfrica na JamiiForums unavyotambulika kimataifa
-
JamiiAfrica imewakilishwa na Mkurugenzi Mtendaji, Maxence Melo katika mkutano huu wa siku 2 (Novemba 11 - 12, 2025)
Position: Consultant for quarterly media monitoring: Data collection and preparation on mis-/disinformation, hate speech and OGBV
Location: Tanzania (Dar es Salaam)
Duration: 23rd July 2025 – 30th November 2027
Application Deadline: 17th July 2025
Required Languages: English and Kiswahili...
Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya amesema kuelekea katika Uchaguzi Mkuu 2025, taasisi yao imekuwa ikishirikiana na Wadau mbalimbali kutoa elimu ya masuala taarifa potofu ili kuhakikisha Jamii inapata taarifa sahihi na kuwasaidia kufanya...
Position: Consultant for quarterly media monitoring on mis-/disinformation, hate speech and online gender-based violence
Location: Tanzania (Dar es Salaam)
Duration: 10th July 2025 – 30th November 2027
Application Deadline: 9th July 2025
Required Languages: English and Kiswahili
Background...
Akizungumzia umuhimu wa kuwa na Watu wanaohusika na suala la uhakiki wa taarifa, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura amesema “Uwepo wa Wadau kama JamiiAfrica unahitajika kutumika kusaidia kutoa elimu ya Uhakiki wa Taarifa kama ambavyo wamekuwa wakifanya (kupitia...
Leo ni Siku ya Mwisho ya Mkutano wa Jukwaa la Utawala wa Intaneti Afrika (AfIGF) 2025, unaofanyika katika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam.
Kwa siku 3, wadau mbalimbali kutoka barani Afrika wamekutana kujadili mustakabali wa usimamizi wa intaneti kuanzia haki za kidijitali, usalama mtandaoni...
https://youtube.com/live/YybY9DT4-As?feature=share
https://www.youtube.com/watch?v=sS8BGd_1yRA&pp=ygUKbWFlbGV6byB0dg%3D%3D
Leo Mei 30, 2025 ni Siku ya pili ya Mkutano wa Afrika wa Utawala wa Mtandao ambapo JamiiAfrica itashiriki kwenye Mjadala utakaoangazia namna ya Kuitumia Akili Mnemba (AI)...
Kuanzia leo Mei 29 hadi 31, 2025, JamiiAfrica inashiriki katika Mkutano wa 14 wa Afrika wa Utawala wa Mtandao (AfIGF2025) unaofanyika Dar es Salaam katika Ukumbi wa JNICC.
Mkutano huu unawakutanisha wadau mbalimbali kutoka Serikalini, Sekta binafsi, Asasi za Kiraia na Vijana ili kujadili kwa...
Leo Mei 6, 2025, JamiiAfrica inazindua ushirikiano na IMS na UTPC wenye dhima ya “Kuwawezesha Wanahabari kwaajili ya Jamii yenye taarifa sahihi Tanzania.”
Kupitia ushirikiano huu, Wanahabari, Wataalamu wa Vyombo vya Habari, na Wahariri watashirikiana moja kwa moja na Jamii ili kubaini mahitaji...
Hata ukipress hio trend unaona vyombo vikubwa vya nigeria vikmzunguzia yeye.
Tangia mwamba amepata jiko kutoka nigeria, amekuwa talk of town karibia. Africa Magharibi nzima.
Sasa aitumie kama fursa, asikae kizembe
Tangu kuanzishwa kwa JamiiForums mwaka 2006 hadi ilipobadilishwa kuwa JamiiAfrica 2025, nguvu kubwa ya mtandao huu ipo kwenye usiri wa utambulisho wa members(anonymity).
Uchangiaji unakuwa bora zaidi maana members tunakuwa na uhuru wa kutoa mawazo yetu, kukosoa,kukejeli, kupinga, kupongeza n.k...
Mtandao unazidi Kukua Tanzania’s Jamii Forums transforms into Jamii Africa to bridge African voices
Na The Citizen,
Nchi za Afrika sasa zina jukwaa jipya la kuunganishwa kidijitali na kusikika kwa nguvu zaidi kupitia JamiiAfrica, Taasisi iliyozinduliwa rasmi kufuatia mabadiliko ya jina kutoka...
Kwa siku za hivi karibuni huenda, kupitia mitandao yetu ya kijamii umeona mwonekano wetu mpya kuanzia kwenye logo mpaka grafiki na ukapata maswali mengi kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye taasisi yetu.
Habari njema ni kwamba sasa taasisi yetu imekua zaidi, na ili kuendana na kasi yetu na ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.