james mbowe

James Mbowe Nyondo (14 May 1968 – 17 July 2015) was a Malawian lawyer, development worker, and presidential candidate. He was born in Chitipa, Malawi.

View More On Wikipedia.org
  1. mirindimo

    James Mbowe amwaga pongezi kwa ATC 'Any Time Cancellation'

    Nichukue nafasi hii kipekee kuwapongeza Air Tanzania kwa namna wanavyo badili ratiba za ndege mara kwa mara. Mfano leo ndege ya Air Tanzania iliyokuwa iruke kwenda Kigoma saa 5:40 imesogezwa mpaka saa 9:30 sababu wanasema ni Operation yaani siyo hata kwamba hali ya hewa ni mbaya au ndege mbovu...
  2. Erythrocyte

    Wasaliti waanza kujuta, James Mbowe awa wa kwanza

    Kijana Huyo Tayari amejitokeza mitandaoni akikiri hadharani kwamba uamuzi wa Chadema wa kususia uchaguzi wa kizushi wa oktoba 29 ulikuwa sahihi. Taarifa zingine zinaeleza kwamba anayefuatia kuja kapiga goti hadharani ni Yerricko Nyerere ambaye inaelezwa kwamba huko Kigamboni aliambulia namba za...
  3. Dalton elijah

    Yeriko Nyerere, Peter Madeleka, Salim Mwalimu Na James Mbowe, Je Uchaguzi umeisha?

    Nauliza Mbona Hawasemi Kitu Hawa Wagombea Kwenye Uchaguzi Mkuu Wa 2025...kipi Kimewapata..?
  4. Mindyou

    GE2025 James Mbowe: Mkinichagua kila mmoja atanufaika na Mlima Kilimanjaro

    Wakuu, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai kupitia CHAUMMA, James Mbowe amesema endapo atachaguliwa kuwa Mbunge wa Hai, atahakikisha vijana wa kata zote 17 za Jimbo hilo wananufaika moja kwa moja na fursa zinazotokana na Mlima Kilimanjaro. Ameeleza kuwa atatenga fedha za asilimia 10 za Halmashauri...
  5. R

    GE2025 James Mbowe aahidi Vijana Jimbo la Hai kufundishwa Kiingereza wakafanye kazi Mlima Kilimanjaro

    Zingatia hizo sera za Mgombea Ubunge kutoka Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kisha zingatia Mavazi aliyovaa ni ya Makamanda wa CHADEMA Jamaa kahama chama lakini bado itakadi za CHADEMA anatembea nazo hadi kwenye kampeni za CHAUMMA hii ni dharau tosha kwa CHAUMMA Baasi tuendelee kuzingatia...
  6. G Sam

    Picha: Mkurugenzi wa Uenezi CHAUMMA bwana John Mrema akisalimiana na James Mbowe kwenye kampeni Jimbo la Hai

    Mkurugenzi wa Uenenzi na Mawasiliano CHAUMMA ndugu John Mrema (Pichani) akisalimiana na mgombea Ubunge kupitia chama hicho Jimbo la Hai ndugu James Mbowe kwenye muendelezo 2a kampeni za uchaguzi mkuu.
  7. R

    GE2025 James Mbowe achukua fomu ya ubunge jimbo la Hai

    Hata aibu hawana! Kumbe yalikuwa manyangau! Labda CCM watamuachia. Time will tell!
  8. MamaSamia2025

    Huyu James Mbowe anatakiwa ajue Mbowe alisajili vipaji vya siasa CHADEMA na sio kwamba aliwatengeneza yeye

    Huyu dogo James anakosea sana kusema kuwa Mbowe aliwasaidia kina Lissu, Lema, Msigwa kuwa wanasiasa wakubwa. Mbowe alichofanya ni kama Madrid inavyosajili mastaa wa soka toka timu mbalimbali. CHADEMA iliwahitaji kina Lissu na wenzake kuliko wao walivyoihitaji CHADEMA. Kwa mfano Lema hata...
  9. Mkalukungone Mwamba

    James Mbowe: Wanaoshangilia vifo wamrudie Mungu

    Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa. Akizungumza na Jambo TV leo, Agosti 9, 2025, alipofika kuhani msiba wa Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job...
  10. Waufukweni

    GE2025 James Mbowe: Kesi ya Lissu Watu 300 hawafiki Mahakamani

    James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
  11. Waufukweni

    GE2025 James Mbowe: Mbowe anatukanwa na Heche yupo kimya

    James Mbowe ambaye ni mwanachama mwaminifu wa chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA) anasema moja ya kitu ambacho kilikuwa kinamuumiza ndani ya CHADEMA ni Mheshimiwa Mbowe kutukanwa kwenye mitandao na viongozi ndani ya chama kuwa kimpya. "Hakuna kitu kibaya kama viongozi kuruhusu muasisi wa chama...
  12. R

    GE2025 James Mbowe kwenda CHAUMMA ni wazi ana baraka za baba yake, and this tells a lot!

    Ni wazi Mbowe is on the way to Chauma. Nitaandika zaidi as time goes on! Nimesikitika sana!
  13. DuaZaMama

    GE2025 James: Mlitaka Mbowe aseme nini wakati wajibu wake alishaamaliza

    Mtoto wa Freeman Mbowe, Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), James Mbowe,amesema anamuuga mkono Freeman Mbowe, kwa kitendo chake cha kutotoa maoni yake juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA Pamoja na Kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu. James, ameyasema...
  14. DuaZaMama

    GE2025 James Mbowe kugombea jimbo la hai kupitia CHAUMMA

    Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe baada ya kutangaza kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) amesema atachukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro. James amejiunga na chama hicho leo, Jumatano Makao Makuu ya Chama cha...
  15. JanguKamaJangu

    GE2025 James Mbowe: Aliyemuahidi kumtafutia fedha Lissu yupo Canada na familia yake anabonyeza simu tu

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
  16. Erythrocyte

    GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

    https://www.youtube.com/watch?v=d650ZU07JKQ Ameambatana na James Mbowe Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 James Mbowe alaani Kitendo cha Chadema kukaa kimya kushambuliwa kwa Mwenezi BAWACHA Bi. Sigrada Mligo

    Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA James Mbowe ameeleza kuwa Kitendo cha Chadema kukaa kimya kwa siku takribani saba tangu kushambuliwa kwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chadema BAWACHA Bi. Sigrada Mligo, sio kitendo cha kiungwana, akikosoa pia taarifa ya Chadema Taifa ya...
  18. J

    SI KWELI PreGE2025 Kwenye ukurasa wa Lema wa X (Twitter) ameandika Mbowe na mwanae wasusa CHADEMA, wagoma kumpa vifaa Lissu kwaajili ya mapokezi ya singida Februari 15

    MBOWE NA MWANAE WASUSA CHADEMA WAGOMA KUMPA VIFAA VYA MKUTANO LISSU. Mtoto wa Mbowe (James Mbowe) ambaye ana kesi ya Madai Mahakamani kwa kosa la kutowalipa Mishahara wafanyakazi wake zaidi ya miaka 3 leo ana muhujumu Lissu kwa kumnyima vifaaa vya Mziki na Jukwaa kwa ajili ya Mkutano wake wa...
  19. SSH2025_2030

    James Mbowe ana cheo gani huko CHADEMA?

    1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee. 2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA? 3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
  20. B

    Akemewe James Mbowe kwa kuitisha uungwaji mkono kwa mgombea kwa misingi ya kikabila!

    Yaonesha huyu bwana anadhani hiki chama ni kwa ajili ya matambiko: Ajulishwe James Mbowe, hiki chama hapendwi mtu bali msimamo wake. Soma Pia: James Mbowe: Tabia alizoonesha Lema sio tabia za Wachaga Zaidi sana huku matambiko si mahali pale. ========== Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Katavi...
Back
Top Bottom