Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, James Mbatia, ametoa wito kwa taasisi za kikanda kuwatuma viongozi wastaafu wenye ushawishi barani Afrika kusaidia kuratibu mchakato wa kuweka ukweli hadharani na kuhakikisha haki inapatikana kufuatia matukio ya siku na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025...
Mwanasiasa na Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia akizunguzma leo Novemba 5, 2025 ametoa Pole kwa Taifa kwa vifo vya kikatili vilivyotokea Oktoba 29, 2025 wakati wa Maandamano nchini.
Pia amesikitishwa na hali ya kisiasa inayoendelea nchini ambayo imekuwa ya kumwaga...
Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, James Mbatia amesema hali iliyojitokeza siku na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 nchini Tanzania, si suala la kisiasa pekee bali ni “maumivu ya wananchi walio wengi dhidi ya wachache”, kutokana na hali hiyo kugubikwa na maumivu, vifo- miongoni mwa mambo...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia, ameibua mjadala mzito kuhusu historia ya mageuzi ya kisiasa nchini Tanzania, akisisitiza kuwa chama hicho ndicho kilichokuwa chimbuko la mfumo wa vyama vingi.
Akizungumza na mtangazaji Wilberforce Ngoto katika kipindi cha Maswali na Majibu...
Akiwa kijana wa miaka 31 tu, alishinda Jimbo la Vunjo kwa kishindo cha kura 83%.
Baada ya miaka kupita ikaibuka migogoro ya kisiasa, chama chake kupoteza nguvu, na kimya kizito kilichoacha maswali.
Je, kimya chake ni tamaa iliyokufa, upepo aliokuwa akipima, au mapumziko ya kimkakati?
Bado ana...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa kuweka kando tofauti zao na kukutana kwa mazungumzo ya pamoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025...
MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amevunja ukimya baada ya kusema kuwa anashangazwa na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Antipas Lissu.
“Upinzani wa fikra sio uadui. Kuwepo kwa mitazamo tofauti si kosa, bali ni utajiri wa mawazo unaopaswa...
Mwenyekiti wa wa zamani wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema yanayofanyika na akina Polepole, Gwajima na wengine ni baraka ndani taifa letu, hali inayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu ni hatari kwa taifa letu.
Mwana siasa nguli na Mwanachama wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa Watanzania kuenzi misingi ya majadiliano yenye hoja badala ya kuendeleza chuki na mifarakano inayotokana na tofauti za kimtazamo.
Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Mbatia amesema kuwa hali...
Mwanasiasa James Mbatia amesema hakukuwa na haja ya Jeshi la Polisi kutumika kwenda kuzingira Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kwa kuwa walitakiwa kumuita Askofu huyo badala ya kutumia nguvu.
Ameongeza kuwa amekutana na viongozi kadhaa wa Dini ngazi ya Askofu...
Mwanasiasa James Mbatia ametoa wito kwa Serikali na Viongozi mbalimbali kupata utulivu wa kutatua changamoto mbalimbali zilizopo nchini ili kupata majibu badala ya vuta nikuvute zinazoendelea huku akidai suala la Askofu Josephat Gwajima linapaswa kushughulikiwa kwa hekima ili kupata ufumbuzi...
James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari Juni 5, 2025 ameeleza kuwa kilichofanyika kwa Askofu Gwajima si kitu sahihi na kama walikuwa wanamuhitaji Gwajima wangemuita na siyo kumfuata kwa mitutu.
"Niombe hekima itumike hapa, pamoja na yote yaliyotokea tuvuke salama hapa. Ukumbuke...
"Huyu amemwaga damu, huyu yupo gerezani kina Tundu Lissu wapo gerezani wana wafuasi. Kila siku hamaki inatokea Juzi hapa tumeona mchungaji Gwajima matatizo yemapata ya kusema, hofu imetokea kanisa limefungiwa. Sasa huyu ni mtu mmoja aliyekosea kama Gwajima sasa unamfungia yeye kama yeye kama...
https://www.youtube.com/watch?v=iuttjJJLxG0
Pia soma Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani
James Mbatia ameanza kuzungumza na waandishi wa habari, itakumbukwa hivi karibuni alishinda rufaa yake aliyokata dhidi ya chama cha NCCR Mageuzi.
Ameanza kwa kueleza kuwa amepanga kuzungumzia migogoro...
Kwa hukumu iliyotolewa na mahakama, Je, Mbatia "Jumatatu" anaingia ofisini kama Mwenyekiti NCCR?
James Mbatia ameshinda kesi aliyoifungua dhidi ya chama hicho, akipinga kuondolewa kwenye uongozi na kuvuliwa uanachama wake.
Mbatia aliemnguliwa madarakani kufuatia mkutano mkuu wa NCCR Mageuzi...
Mwanasiasa mkongwe nchini James Mbatia, amevunja ukimya kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, ambaye ameelezea pia ni baba yake mlezi wa kiroho ambapo amesema kuwa tukio hilo lililenga waziwazi kuondoa uhai wa padri huyo.
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu...
Kwa sisi tunaomjua mbatia ni mwanasiasa Nguli na anapenda sana haki, mbona yupo kimya sana na haonekani kwenye media.
Tulitarajia hili suala la Bandari na bajeti ya kipumbavu iliyopitishwa bungeni na wasiojitambua angekuwa kawapa vidonge vyao ila no any information about him
Je, yu Wapi Mbatia...
Jamani wa afrika sijui nani katuloga? Tunaullooo sanaa
na ubinafsi uliozidi.
Kwa upepo ulivyo ndani ya chadema Mbowe hawezi kuachia uwenyekiti wa chadema.
Maana kuna chawa wengi wamepewa pesa kwa ajili ya kumnanga lisu. Tayali wakina NYERERE na wenzie wameanza na propaganda, wapo tayali...
Hawa viongozi wazoefu upinzani, ndio pekee turufu muhimu iliyobakia Tanzania, kuunusuru upinzani dhaifu sana uliopo na uliogawanyika pakubwa na kupoteza dira na uelekeo kabisa.
Muungano wa aina yoyote baina ya hawa waungwana unaweza kuleta ahuweni na pumzi mpya upinzani na pengine kuchochea na...
1. 𝗞𝘂𝗸𝗮𝗺𝗮𝘁𝘄𝗮
Mnamo usiku wa manane tarehe 12 august 2023 siku ya ijumaa usiku tukiwa safarini tulikamatwa na askari polisi maeneo ya mikumi check point karibu na mizani. Askari hao walituambia wamepata maagizo kutoka juu ya kutushikilia Mimi pamoja na wezangu Emmanuel Godfrey Masonga pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.