jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Epuka jambo hili kama gari yako imeibiwa masega(Catalytic converter)

    Jambo la kuepuka ni kuweka masega ya kuchomelea iwapo engine ya gari yako itakuwa na EGR. EGR huwa inarudisha kiasi fulani cha moshi kwenda mahali ambako mafuta yanaungua(combustion chamber), kwa ajili ya kupunguza joto(combustion temperature) hivyo kupunguza pia kutengenezwa kwa Nitrogen Oxide...
  2. Tafadhali nidanganye kwa jambo lingine sio hili

    Peace upon you all Kings and Queens, Maisha yana mengi ya kujifunza ila kuna ukweli ulio wazi hauhitaji darasa. Maisha yana mengi tusiyojua ila kuna mambo yako wazi na watu wanafiki pekee ndio hujifanya wawaoni uhalisia, shame to them all, fake fellas. Nevertheless, nitasema hivyo hivyo...
  3. Niliwahi kosea jambo hili kwa Mwanamke, leo sitaki rudia. Naombeni msaada

    Mwaka jana nli kutana na dada mmoja ambaye mtu wangu wa muda kidogo. Actually mimi ni mtu ambaye nazingatia sana masuala ya usafi kwa mpenzi. Shida ya kwanza ikawa mdada amekuja Hotel ananuka jasho. Hili suala likawa limeanza kunipa changamoto. Pia ana bad breath. So obvious siwez mkiss...
  4. Mch. Msigwa alisema kufanya jambo lilelile kwa njia ile ile utarajie matokeo tofauti ni uwendawazimu

    CDM wamejaribu sanaa ya maandamano si jana si leo. Wameshakuwa na slogani nyingi, ukuta, katiba, M4C. Hakuna hata moja iliyowahi kufanikiwa. Mchungaji Msigwq alisema kwamba unapofanya jambo lilelile kwa njia ile ile, utarajie matokeo tofauti, ni uwendawazimu. Njia ya majadiliano imeleta...
  5. Wakati mwingine huwa sio busara kukaa kimya hasa kwa jambo linalokushutumu

    Kuna wakati mtu anaweza kukutendea ubaya na ukajikuta umejibu mapigo kwa kugomba na kuropoka maneno mengi makali, kwa wakati huo unaweza usitambue na nafsi yako kuridhika kwa maneno hayo, lakini baadae maneno hayo yakawa mabaya na kukuharibu kiasi cha kujutia. Ila Kama unadhani ukikaa kimya...
  6. Call Center ya Airtel Tafadhali acheni jambo hili

    Mmekuwa na tabia ya kuwapigia simu wateja. Binafsi ni mteja ambaye sipendi usumbufu kabisa. Calls zenu za kuniambia promotions sina interest nazo. Sitaki promotions Na pia nikihitaji kitu si kuna menu yenu na website? Sasa kwa nini mnipigie simu kila mara? Sitaki usumbufu line ni yangu na simu...
  7. Kijana usijaribu kumsaidia binti jambo lolote au kiasi chochote cha pesa kama huyo binti si ndugu yako

    Kichwa cha habari kinahusika. Ni nature ya Dunia wanawake ni watu wabinafsi, hasa hawa wadada. Hawana cha kukupa zaidi ya UTI Hawana shukrani Wakikutana na msaada mwingine anaanza kuusahau msaada wako anaanza kumwazia yule wa pili, tatu n.k Saidia wazazi wako au ndugu zako wa damu, huo ndio...
  8. Mkiambiwa Mungu hapendi Kulazimishwa Jambo kwani hutupa kila Kitu kwa Kipimo hatusikii tu

    Na kaniambia hii Mvua isiyoisha Koki yake ataisahau wa Makusudi kwa muda mpaka tushike Adabu kisha atarejesha Jua lake na Joto. Ndani ya Wiki Mbili nzima kila Mtu anamlaumu tu Mwenyezi Mungu kwa Joto na Jua Kali na Wengine hata Kumchukia wakati Yeye alikuwa na lengo lake Jema tu na sasa baada...
  9. Jijengee mfumo wa kutompa mtu ahadi yoyote kuhusu jambo au kitu chochote

    Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu. Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje. Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi. Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokitaka...
  10. Mshukuru Mungu kwa kila jambo

    Habari wadau wote Kuna nyakati mbalimbali tunazopitia katika maisha yetu ziko nyakati za furaha , huzuni, kicheko, kupata na kukosa kuwa na kitu ama kutokuwa nacho, kuwa pekee au kuwa na watu, kuwa mtu wa juu ama wa chini yote katika maisha yapo hivyo huna budi kupambana na kujifunza na...
  11. Kuna jambo gani la maana umelibeba toka hapa Jamii Forums kwa 2023?

    Pamoja na JF kuwa platform ya kutuondolea stress ila pia imekuwa na mambo mengi ya kutujenga kwenye maisha yetu.Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya 2023 kuisha, Binafsi nimejibebea mambo yafuatayo kwa mwaka huu 2023 toka hapa JF; 1. JF ndo sehemu pekee kwa sasa ninapoweza kupata ushauri mzuri...
  12. M

    Naomba kujua jambo

    Habarin ndugu zangu kwemah!!? Najua watu wengi huenda kwa waganga mbalimbali wengine wanawaganga wao binafsi au wengine utasikia kwetu nimeata au wamejizindika miili yao , swali langu mm ni ivi kwa watu kama ao huo wanaMuomba Mungu pia katika mambo mengine mengi yanayomuhitaj Mungu mfano labda...
  13. M

    Naomba kuuliza Jambo ndugu zangu

    Habarin ndugu zangu kwema? Najua watu wengi huenda kwa waganga mbalimbali wengine wanawaganga wao binafsi. Swali langu mimi ni hivi kwa watu kama hao huwa wanaMuomba Mungu pia katika mambo mengine mengi yanayomuhitaj Mungu? Mfano labda kuota ndoto mbaya katika maono
  14. Makamanda wenzangu, Mbowe hajafurahiswa na hukumu ya jaji Mkeha. Anachowaza ni ruzuku tu. Pia nyuma ya pazia ana jambo..

    Ill will ya mtu huonekana kwa vitendo tu. Tokea hawa Covid 19 wawekwe Bungeni kwa nguvu na Ndugai. Mbowe anaonekana kufurahia jambo Ndio maana hata hukumu ya jana kimtindo hajaifurahia. Mimi nimeona demeanor yake. Anachowza ni ruzuku tu.
  15. Nawezaje kutuma jambo moja kwa moja kwa Rais au Wasaidizi wa Rais?

    Nina mawazo kuhusu mambo ya kuwekwa katika mpango mpya wa maendeleo wa Taifa. Mawazo yangu siwezi kuyaweka humu maana inaweza yakaibwa na nchi nyingine hivyo kupelekea mambo hayo kwenda kufanya na nchi nyingine na sisi tukaendelea kubaki nyuma. Nawajua watendaji wetu wengi, hawasomagi meseji...
  16. Je, Hypersexualism ni jambo la kawaida kwa teenagers wa siku hizi?

    Habari zenu. Kiufupi, Kuna kitu kinanichanganya sana kuhusu maisha ya sisi vijana, haswa tuliopo kwenye age ya 20-30, nahisi kuna kitu hakipo sawa, either kwa upande wangu au kwa upande wa wenzangu. Unakuta vijana wenzangu(rika langu) wapo extremely active kweny masuala ya sex, mfano kuna...
  17. msaada kwenye blog yangu jambo hili linanichanganya

    Habari zenu wanajamvii, Mimi ni blogger mchanga, namiliki blog yangu hii www.binruwehy.co.tz kwaajili ya habari za michezo lakini ninashangazwa na jambo hili kwenye upande wa views kuna wakati nilikuwa natumia template fulani inaitwa korve ka siku nimekuwa nikipata views elfu 20 mpaka 50...
  18. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  19. Hivi wakatoliki wenzangu zile ndoa za wengi za misa ya usiku bado zipo? Nataka nifanikishe jambo langu

    Ukweli huyu ninayemuita mke wangu, hatuna ndoa kamili ya kanisani, pamoja na kuishi miaka 8 na kubahatika watoto wawili (Miaka 7 na miaka 3). Sasa msukumo wa ndoa umekuwa mkubwa sana kutoka pande zote, na yeye mwenzangu naona hii kukosa ndoa inampa sononeko maana wazazi wake wanaogopa nisije...
  20. Iran kwa mara ya kwanza imefanya jambo kwa US ambalo China na Russia hawajawahi kuonyesha uwezo wa kufanya

    Iran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani. https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20 Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe wa US kwenye maji. Kama drone zimekaribia na kuchukua picha kwa kuzoom karibu muda mrefu, basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…