Yn 5:14 SUV
[14] Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi.
Matatizo mengine tunayafungulia mlango wenyewe, mlango ambao unaingiza kila tatizo la kutuumiza kiroho na kimwili.
Tunaweza...
Sheria za dunia na dini zipo kwa maskini tu.
Maskini unaweza kuwa na njaa ukaiba kuku hapo kuna mawili kuona 30 au kuona kifo.
Ila tajiri anaweza kuiba bilioni 30 tukaambiwa tumzomee.
Hivi mnajua hata hakimu anaangalia na usumbufu wa kesi.
Leo umeiba milioni 500 na kuendelea,kwanza kitendo...
Kocha wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihwelo 'Julio': “Sometimes napenda Kujilipua, singoji mpaka nife mje mnisifie, kazi aliyofanya Hemed Morocco, Juma Mgunda na mimi kuipeleka timu AFCON afu tukatolewa kiuhuni ni jambo baya sana.
Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku.
Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa miaka ya nyuma hadi tukafika hapa tulipo. Badala ya kujifunza, speed ya makosa imeongezeka maradufu...
Tuna tabia ya Kujidanganya Wenyewe kwamba hatuna matatizo ni kweli matatizo yapo tena makubwa Sasa hivi wale ambao walikua wanajificha kwenye amani kabla ya Maadamano...
Je yupo mtu anaweza kuwatukana wazazi wake....!?
Mama zake wadogo...!? Mama zake wakubwa...!? Baba zake wadogo na wakubwa...!? Mashangazi na wajomba...!?
Kwa utamaduni wetu wa kitanzania,Hawa wote ni kundi la wazazi.Hata wanapokuwa wamekwenda kinyume Kuna namna ya kuwashitaki kwa staha na...
https://youtu.be/pbWyJh60zWk?si=arsKsXtmfdkBEJf-
Huyu mzee amewahi kuwa kiongozi Mwandamizi wa serikali ktk awamu za u Rais wa Nyerere, Mzee Mwinyi na mpaka awamu ya Mkapa na anachokisema hapa ni wazi anakijua, habahatishi
Anashangaa kuwa, kuna watu (viongozi) ukiwaona wamevaa suti au kanzu...
Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo?
Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani akapata maisha akifa inamaana ameyapoteza maisha hayo sasa ni vipi mtu huyo aende mbinguni?
Kumekuwa...
Kwenye maisha kuna mambo ambayo mtu hawezi kuyapanga "Nature takes its course" hauwezi kupanga uzaliwe Taifa gani , Mkoa gani , Rangi gani , Kabila gani , familia ipi au hata Dini gani . Hakuna kitu kibaya kama kumukumu mtu kwa mambo ambayo hakupanga yatokee kwenye maisha yake.
Sabal kheri waungwana.
Nyakati fulani nilikuwa kwenye kijiwe kimoja tukibadilishana mawili matatu ya maisha na changamoto zake na kuangalia namna gani tunazikabili.
Katika maongezi hayo likaibuka suala mambo ya ndoa kama ilivyo kawaida kuwa na yenyewe ni sehemu ya changamoto kwenye maisha yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.