jamal

Jamaal (Arabic: جمال Jamaāl/Jamal ) is an Arabic given name and surname meaning meaning "beauty." It is popular in the Arab and Muslim worlds and among African Americans. Though is usage is typically as a masculine name, it has been used as a given name for women.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF imemfungia Jamal Bakhressa lakini hawajaufungia ukweli aliousema.

    Alichosema Jamal Bakhressa kinasemwa na wengi, na huo ndio ukweli wenyewe. Ukweli huo ndio uliosababisha hata TFF kukubali kuleta waamunzi kutoka nje kuchezesha mechi za ligi, kufungia waamuzi na kuleta Football Video Support (FVS) msimu huu. Ni kweli waamuzi ni mali ya TFF na bodi ya ligi ni...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi Salem Jamal Abd al-Rahman Abu Labad AANGAMIZWA huko Gaza!!

    Jana IDF ilishambulia kusini mwa Gaza na kumuua gaidi Salem Jamal Abd al-Rahman Abu Labad, kamanda wa seli ya Hamas Nukhba. Gaidi huyo alijipenyeza Kibbutz Nir Oz wakati wa mauaji ya Oktoba 7. Katika shambulio la ziada mwishoni mwa wiki (Ijumaa), katikati mwa Gaza, IDF ilimuua gaidi Muhammad...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Tuwakumbuke George Arnaoutoglou, Sadiki Patwa na Amir Jamal

    Vyanzo vinaelezea mchango wa watu wasio Waafrika na wengine waliosahaulika katika harakati za TANU: George Arnautoglo: "Huyu alikuwa ni mgiriki... mimi nilikuwa napokea pesa kutoka kwa Joja Anatog kusaidia TANU",. Said Kipatwa (Tanga): "Huyu alikuwa muhindu... Mwalimu alimwambia baba sema...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: SSB wachukizwa na kauli ya Ahmed Ally kwa Mzee Jamal

    Chanzo cha kuaminika kimenipa taarifa kuhusu uongozi wa SBS kuchukizwa na kauli za Msemaji Simba Ahmed Ally kwa Mmiliki wa AZAM FC Mzee Jamal baada ya Mzee kudai TFF haiwatendei Haki. Chanzo kimeniambia Mzee Jamal alitoa malalamiko kwa TFF ila wameshangazwa Ahmed kumkejeli Mzee Jamal ili hali...
  5. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Leo nimewakumbuka Dionis na Jamal Malinzi. Na kampuni yao ya Cargo Star

    Magufuli kweli ni nyoko. Aliwaondoa kabisa kwenye ramani hawa jamaa. Jamaal na Dioniz Malinzi ambao ndio walikuwa wamiliki wa kampuni ya clearing and forward iitwayo Cargo star. Walitamba enzi hizo kabla ya Rais Magufuli kufuta na kufungia kampuni nyingi za clearing & forward. Tangu wakati...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jamal Kassim amechukua fomu ya Ubunge Jimbo la Magomeni visiwani Zanzibar

    Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Jamal Kassim Ali amechukua fomu ya Ubunge Jimbo la Magomeni visiwani Zanzibar, akiwa na dhamira ya kutetea kiti chake hicho cha ubunge kwa mara ya pili. Zoezi la uchukuaji wa fomu za kugombea nafasi mbalimbali ndani ya CCM limeanza Juni...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Vipers SC ya nchini Uganda yaahidi kumsomesha mtoto Jamal

    Klabu ya Vipers SC ya nchini Uganda imemzawadia Mtoto Jamal Ssenyondwa aliyetokwa na Machozi katika uwanja wa Nakivubo wakati Vipers ilipopigwa goli la pili na klabu ya Express United na kufanya Mechi kuwa 2-1 katika dakika ya 90+3 kisha akaonekana kushangilia kwa furaha baada ya Vipers...
Back
Top Bottom