jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

    Mwamba na hoja asikilizwe.
  2. JamiiForums Tanzania Kama umewahi sikia wimbo wa msanii billnas unaosema "Zingatia maokoto" basi ukifika serengeti national park huyu jamaa ndiye huzingatia maokoto😜😜😜

    KAMA UMEWAHI SIKIA WIMBO WA MSANII BILLNAS UNAOSEMA "ZINGATIA MAOKOTO" BASI UKIFIKA SERENGETI NATIONAL PARK HUYU JAMAA NDIYE HUZINGATIA MAOKOTO😜😜😜😜😜😜😜
  3. JamiiForums Tanzania Mwanachama Proton Pump huyu jamaa ni Hazina ya Taifa

    Wakuu hii nchi ingekuwa na watu kama huyu proton pump aisee nchi ingesonga mbele itoshe kusema huyu jamaa ngoja nimpe maua yake hata kabla hajafa mwisho nakaonekana mnafiki jamaa ana madini sana Aisee hatari kiukweli kupitia yeye 90 percentage ya matatizo yangu yanaenda kupona! Shukrani Sana...
  4. JamiiForums Tanzania Sijui jamaa alikuwa anakwenda kutoa pesa akanunue nini mpaka akavurugwa hivi

    Sijui jamaa alikuwa anakwenda kutoa pesa akanunue nini mpaka akavurugwa hivi 🙄🙄🙄🙄🙄🙄
  5. K

    JamiiForums Tanzania Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?

    Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu. Issue yangu iko hivi. Kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart, so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale...
  6. JamiiForums Tanzania Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones

    Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones, ambaye alikwama kichwa chini miguu Juu ndani ya pango kwa saa 28 kabla ya kufariki dunia. Alikwama mahali ambapo hakuweza kutoka alikuwa hawezi kwenda mbele wala kurudi nyuma. Baada ya...
  7. JamiiForums Tanzania Toka akutane na mwenza wake ni siku 11 sasa uume umegoma kulala? Anasema hajapita sehemu nyingine, tunamsaidiaje?

    Ni dereva wa malori ya mchanga. Ni takribani siku kumi na moja zimepita tangu kutokewa na hili janga. Kwa mujibu wa maelezo yake, baada ya kutoka kwenye mishe zake moja kwa moja alirejea nyumbani bukheri wa afya. Usiku wakati yupo kwenye mapumziko na mwenza wake,ndipo tatizo lilipomuanzia. Ni...
  8. JamiiForums Tanzania Tusipende kuwahukumu watu tuwanao wamefanikiwa kama hatujui kwa nini wako hivyo kwa ndugu au jamaa zao

    TUSIPENDE KUWAHUKUMU WATU TUWANAO WAMEFANIKIWA KAMA HATUJUI KWA NINI WAKO HIVYO KWA NDUGU AU JAMAA ZAO Wapo watu tunawatazama wamefanikiwa sana katika maisha yao ila ndugu zake wako nyuma sana kimaisha ukamhukumu katika ubaya tu Yawezekana hata hao wanaolalamika juu ya huyo mtu hata hapo...
  9. JamiiForums Tanzania Jamaa wa "nyuma mwiko" mnataka nini haswa?

    Naskia jamaa wa nyuma mwiko wanahamisha makao , haya ndo madhara ya kuwa na fikra za kishirikina , Kila muda unahisi unarogwa tu na kufitiniwa. Tabia za nyuma mwiko ni kama nyuki, Kila siku wanahama tu. Viwanja vyote vilivyopo Tanzania hii mpaka muhamie KMC!?. Kama sio choko choko ni nini...
  10. JamiiForums Tanzania Jamaa alichokikuta Honeymoon hana furaha kabisa...

    Tumeozesha majuzi tu Sasa leo tunamwuliza bwana Harusi vipi honeymoon umeserereka mpaka mwisho? Ila jamaa hana furaha kabisa Ametutumia picha hii
  11. JamiiForums Tanzania Jamaa kampa talaka mke wake

    Habari wakuu. Nilileta andiko hapa la mchizi wangu wa Italy kufuma meseji kwenye simu yake akichati kimahaba na mwanaume mwingine. Jamaa baada ya kukaa kikao cha familia ili ipatikane suruhu lakini mchizi wangu alishindwa kuvumilia. Siku ya Leo jumapili amempa TALAKA tatu yaani sio Mke wake...
  12. JamiiForums Tanzania Jamaa kimya sana toka Aoe, yupo wapi?

    Ben!
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tarime: Mke aliyepotea miaka 3 akutwa ameandikishwa kupiga kura

    Mwenge Chacha Ghati, mkazi wa wilayani Tarime akielezea kushangazwa kwake baada ya kukuta jina la mke wake kwenye daftari la wapiga kura wakati amepotea miaka mitatu iliyopita Pia soma: LGE2024 - Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi...
  14. JamiiForums Tanzania Una mtazamo gani juu ya mtu ambaye anataka kuwaridhisha sana wengine ili apendwa na watu wasimtenge?

    Jamaa poa sana ni mtu ambaye anataka kuwaridhisha sana wengine ili apate kupendwa na watu wasimtenge, lakini je ni sahihi kwa mwanaume kuwa "mtu poa sana"? Leo acha nikupe kisa cha 'JJ' jamaa poa sana na mke wake 'HH' JJ alitoa kipande cha karatasi mfukoni mwake na akaanza kukifungua...
  15. JamiiForums Tanzania Unahisi ni kwanini huyu jamaa ameweka kijiko pembeni ya screen ya laptop yake?

  16. JamiiForums Tanzania Ama kwa hakika, jamaa aliye kwenye hii gari anakula maisha sana

    Yani Kwanza jamaa unaonekana hela ipo, demu mkali anae, halafu demu mwenyewe bado mdogo Mali mpya kabisaaaaa. Na demu mwenyewe yupo romantic kuliko mademu wengi Sana hapa nchini Natamani wanawake wengine mngekua kama huyu
  17. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa anaitwa Kuringe kaingia mjini

    Kuna jamaa anaitwa Kuringe, kaingia mjini Dar es Salaam na shoka. Na ana kata kulia na kushoto akiwanunua watu na viwanja vyao kama hana akili nzuri. Ukienda wilaya ya Kinondon i utamkuta yupo tele kila mahali. Mitaa ya Goig Mbezi Beach kanunua mtaa mzima. Kama utafika Mbezi NSSF road ile...
  18. JamiiForums Tanzania Kuzaliwa familia za kiafrika ni adhabu

    Famili za kiafrika ni Kulogana, Ujinga mwingi, Umaskini yaani daaaah!
  19. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa wa kujiita "and 100 others" aki-like uzi unaweza fikiri watu zaidi ya mia wame-like 😂😂

    and 100 others taratibu mkuu ahaha
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tupe experience yako! Siku ulipomuazimisha au ulipoazimishwa gari na Rafiki au jamaa yako nini kilitokea?

    Wakati kazi inaendelea kule kwingine ni people's power Tushuke kwenye mada Nini kibaya kiliwahi kutokea Ile siku ulipomuazimisha au ulipoazimishwa mchuma/mkoko/dinga na Rafiki yako au jamaa yako
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…