jalalani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la CCM ni kuwa hakuna wa kudiriki kumwambia Mwenyekiti kuwa Hapa tunajielekeza vibaya tusifanye hivyo! Kibaya wengine ni toka jalalani

    Nadhani kama angetokea mtu jasiri akamwambia Mwenyekiti tusiende njia hiyo, huko si kwema kwa mustakabali wa taifa, maybe angeweza kuona ubatili wa yanayotokea. Shida ni kuwa wanamhakikishia kuwa all is OK and heading in the right direction
  2. E

    JamiiForums Tanzania Katika vitabu navyo visubiri kwa hamu ni Cha professor wa Kabudi

    Huyu Mzee nilivutiwa nae sana kabla ya kuingia serikalini. Nachotaka kujua ataandika nini kwenye kitabu chake jinsi alivyobadilika kutoka Kabudi yule mpaka huyu wa kutetema kama Mayele.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kawaje wa Jalalani?

    Au anasikia baridi ndiyo katoka Jalalani!
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Ali Kibao:Hatuwezi kulinda amani ya watu waliomteka, kumtesa, kumwagia tindikali na kuutupa mwili wake jalalani

    Hakuna amani kwenu, amani itakuwa kwa nchi yetu Tanzania pekee. Wote mliohusika kwenye hili, mtalipia
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimeota mzee wa ' jalalani' akiwa Makamu wa Chama fulani baadae nikasikia sauti za be 'ndiye' ndoto ikakata

    Usiku mmoja nilipata ndoto ya ajabu ,katika ndoto hiyo nilimuona mzee mmoja maarufu akiwa ni makamu wa Chama fulani. Baadaye nikasikia minong'ono kwa sauti ya chini sana sikufanikiwa kusikia kila neno lakini nilifanikiwa kusikia neno ' ndiye' nilipotaka kuuliza ndiye' Ina maana gani ndoto...
  6. Blender

    JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
  7. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Hawa "ma-pro pesa" wanaotoka jalalani wananifikirisha sana

    Wsalaam wana JF Hawa wasomi, wabobezi, wanaotumainiwa kuwa ni kielezo cha kuelimika na kusimamia yale waliyobobea wanakua ni laughingstock. Of cause adui wa kwanza ni njaa, na hii sometimes ni individual case, a case to case basis. Ila inapokua systematic, yaan the whole bunch of population...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Baba atupa maiti ya kichanga jalalani

    Baba mmoja asiyefahamika ameripotiwa kutupa mwili wa mtoto mchanga jalalani kando ya Uwanja wa CCM kalangalala mjini Geita, muda mfupi baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya mazishi. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita, Inspekta Edward Lukuba amethibitisha kupokea taarifa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Shairi: Hili Neno "Ukatili"

    Salaam! Utenzi huu unabeba dhima ya neno "Ukatili" ambalo limekuwa likitajwa sana, lakini watu wengi wameshindwa hasa kuelewa neno hilo lina maana gani. Shairi hili lipo katika mtindo wa masimulizi kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea ndani ya familia, ambapo mabinti yatima mapacha waliokuwa...
Back
Top Bottom