jaji

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Ndg Wakili, Mwanasheria, Hakimu na Jaji, Hebu Mtueleze Wananchi ni Sahihi?

    Ni sahihi polisi kupiga raia wakiwa ndani ya viunga vya mahakama?. Kama si sahihi mnanipa ushawishi gani kumwambia kijana wa kitanzania sheria ni msumeno na mahakama ni kimbilio kwa waliokosa haki?. Funguka ndg mtajwa hapo juu, usiogope wala kupata tashwishwi juu ya yote. Nawasilisha kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania Kiko wapi CHAUSTA Cha Jemsi Mapalala au alikufa nacho?

    Kiko wapi chama Cha CHAUSTA chama Cha Jemsi Mapalala Hayati Sasa?
  3. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju: Kitu mnachoweza kumaliza kwa siku 2 mnasema mpaka miezi 4. Kauli ya mbiu ya haki sawa kwa wote kwa wakati ifuteni

    Wakuu, Akizungumza jana Agosti 18 kwenye katika ufunguzi wa kikao kazi cha taasisi, zinazounda utatu Jaji Mkuu George Masaju ametaka mahakama kuwa na utaratibu wa kumaliza kesi zilizoko mahakamani mapema iwezekanavyo na kuacha kuahirisha ovyo bila sababu za msingi "Haki sawa kwa wote mapema...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati Dunia inamuomboleza Jaji Frank Caprio kutokana na hekima na busara zake za kipekee, Tanzania tunaomboleza kifo cha Mahakama

    Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi kutokea. Jaji huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa anahudumu kama Jaji kiongozi wa Mahakama ya...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Majaji na Mahakimu Tanzania Wametupwa Hadhi, Wamegeuzwa Vibarua wa Watawala

    Neno Jaji, lina heshima kubwa sana Duniani. Na watu wakisikia mtu ni jaji, wanatarajia utakatifu ndani ya huyu mtu. Huyu siyo mtu wa kusukumwa sukumwa tu au kuamrishwa na watawala. Kuna nchi, jaji mkuu na jopo lake wanao uwezo hata wa kumsimamisha kazi Rais, na kisha kusubiria hatua nyingine...
  6. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aliwaonya akina Lissu kuhusu No Elections, wakampuuza

    Kwenye link hii ya YouTube Jaji Warioba aliwaambia akina Lissu na CHADEMA kuwa madai yao kuhusu kuhusu kurekebisha mapungufu kwenye sheria/ Tume ya uchaguzi ni HALALI kabisa. Lakini aliwaqmbia kuwa HIWEZEKANI kuahirisha uchaguzi https://youtu.be/E2J9Cx7Nt0U?si=8ZRqGpGkAbA9pr1Q
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Mnyika huwa anamshambulia Jaji Mwanga na Mahakama kila shauri linapoahirishwa?

    Kwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu. Kwa nini wasifanyie makusanyiko maofisini kwao? Mahakama inahitaji utulivu, lakini mayowe ya pipoz, sijui no reform Hapo kuna wateja...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Mutungi: Mkafanye kampeni za kistaarabu, mtaambiwa uchaguzi haupo, msikate tamaa

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za matusi, kashfa au vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani na mshikamano wa kitaifa. Kwa hali ya...
  9. JamiiForums Tanzania Taarifa ya makubaliano kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na Jaji Mkuu wa Tanzania

    TAARIFA YA MAKUBALIANO Kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) Na Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju Tarehe: 11 Agosti 2025 Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Mwanga kuendelea na Kesi ya CHADEMA leo Agosti 7, 2025 baada ya kukataa kijitoa

    Leo, Agosti 7, 2025, Jaji Hamidu Mwanga anatarajiwa kuendelea kusikiliza Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho. Inatarajiwa leo mahakama itasikiliza...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Asina: Watendaji wa uchaguzi muithamini dhamana mliyopewa

    Watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Kata wametakiwa kuitambua na kuithamini dhamana waliyopewa ya kusimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwenye ngazi hiyo. Wito huo umetolewa na Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omari leo Agosti 06, 2025 alipotembelea na...
  12. JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi : Awamu hii Mahakama yenyewe imekubali Shauri la Mch Dkt Malisa dhizi ya CCM, hili tu la kukubali kusikiliza Kesi, Haliwatii Aibu?

    Tuachilie Mbali Hukumu itakayotolewa ambayo huenda Ikatolewa Kwa Maelekezo!! Hili tu la Jopo la Majaji Watatu kuona Mch Dkt Malisa ana Hoja, Je halitoshi Kwa nyie Majaji wasajili wa VYAMA vya SIASA kuishurutisha CCM kama ambavyo mnafanya Kwa CHADEMA??. NYIE WAZEE HAMNA AIBU WALA HAYA USONI...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Agizo la Jaji Mkuu George Masaju ladaiwa kuharibu kesi za polisi mahakama za Mwanzo

    Ni agizo alilolitoa mapema mwaka huu baada ya kuapishwa kuwa watuhumiwa wa makosa ya jinai mahakama za mwanzo waww wanajidhamini wenyewe Tatizo limekuja kuwa gumu baada ya wanaojidhamini mahakamani kutorudi tena na kutokomea kusikojulikana. Ingawa alielekeza kuwa kesi ziendelee upande mmoja...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Mwambegele: Kura ya Mapema kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 itapigwa Zanzibar pekee

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele anafafanua kuhusu Kura ya Mapema wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kusema: “Sheria ya Uchaguzi Zanzibar inaeleza kuwa kuna Watu wanaruhusiwa kupiga kura mapema siku moja kabla ya Uchaguzi...
  15. JamiiForums Tanzania Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

    Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple. Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Jaji Mwanga asikilize kesi anayolalamikiwa? Iko wapi Natural Justice?

    Dhana ya kanuni za haki ya asili (natural justice) kimsingi imejengwa juu ya misingi mikuu mitatu. Kwanza ni Nemo Judex in Causa Sua – "Hakuna mtu anayepaswa kuwa jaji katika kesi yake mwenyewe" Pili ni ni Audi Alteram Partem – "Sikiliza upande wa pili" Pia soma GE2025 - Jaji Hamidu Mwanga...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA imeahirishwa hadi Agosti 7, 2025

    Baada ya Jaji Hamidu Mwanga kusikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha Chadema kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni, uamuzi wake unatarajiwa kutolewa Julai 28, 2025. Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu...
  18. JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi, Msajili wa vyama vya Siasa, ulipo huoni Aibu wee Mzee? Tazama CCM wanavyokuumbua , umegeuka kua Muhuni katika Tanzania ya Wasomi!!

    Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa. Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA. Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
  19. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Jacobs amesema Sheria 2 mpya zimeketa mabadiliko. Ila naona bado hazijakaa sawa

    MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, amesema sheria mpya mbili za uchaguzi zimeanzisha mabadiliko muhimu, yakiwemo kuruhusu wapiga kura waliojiandikisha kupiga kura ya Rais nje ya vituo vyao vya kawaida, pamoja na kuweka utaratibu wa uchaguzi...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Mkuu Masaju ndio atamuapisha Rais Dr SSH kuongoza tena 2025-2030

    Endeleen kupiga makelele ya Wagombea wawe watatu, Mmoja au wawili ila ni Mheshimiwa Jaji Mkuu Masaju atakayemuapusha Mheshimiwa Dr SSH kuwa Rais wa JMT 2025-2030 baada ya ushindi mnono. Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable FaizaFoxy Mpwayungu Village
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…