itv

ITV - Independent Television Limited (ITV) ni kampuni shirikishi ya IPP Limited. ITV ilianza shughuli zake mwaka 1994 ikiwa na kituo kimoja cha televisheni na kituo kimoja cha redio ambacho ni ITV na Radio One.

Mwaka 2009 kampuni ilizindua kituo kingine cha Capital Television na Capital Radio.
  1. Y

    VIDEO: David Kafulila kuunguruma Machi 16 kwenye kipindi cha DK 45 ITV, Sikiliza hiki kionjo

    Huenda huu ukawa ndio mjadala mkali zaidi wa kiserikali tangu kuanza Kwa Mwaka mpya wa 2026. === Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila atazungumza na Watanzania kupitia Kipindi maarufu Cha runinga Cha ITV kinachorushwa kila siku ya jumatatu kuanzia saa 3 Usiku.
  2. K

    ITV: Waliopigwa risasi na kuuwawa mnamo tarehe 29 Oktoba 2025 hawakuwa waandamaji - Tume ya Jaji Chande

    Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande imekutana na wahanga na waathirika wa vurugu baada ya uchaguzi, na waathirika hao wamemwambia Jaji Chande...
  3. Superbug

    ITV kwanini hamtumii HD?

    ITV hivi kwanini hamtumii HD mi siwaelewi mjue japo na nyie Sasa ni ITVCCM ila jitahidini muwe HD bana. Mnashindwa na pacha wenu TBCCM?
  4. Tindo

    ITV mnatumika kibwege sana, kinachoendelea hapa nchini ni wananchi kuchoka box la kura kuchezewa

    Hicho kipindi mlichokiweka usiku huu cha kipima joto mtawaokota wasiojitambua. Hakuna vita yoyote ya kiuchumi, bali ni Rais na chama chake cha ccm kulazimisha kukaa madarakani kwa shuruti. Kama mlitumia mbinu hizo za propaganda za kichovu zamani mkafanikiwa, jueni kwa sasa mko nje ya muda...
  5. Bila bila

    GODFREY MONYO (ITV): Serikali ina mpango gani kuwafidia walioharibiwa au kuibiwa Mali zào Oct 29?

    Akiuliza swali kwa Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa, mwandishi wa ITV Godfrey Monyo amehoji mpango wa serikali kuwafidia waliopotelewa Mali zao. Kitendo cha kutogusia waliopoteza maisha kutokana na Uzembe wa vyombo vya Dola kunatujengea picha kwamba walio upande wa serikali hawathamini...
  6. R

    Wananchi wampongeza Rais Samia kwa hatua ya Maridhiano

    Wakuu, Naona ITV wameona hii ndo habari muhimu zaidi, tena wameweza kupata uhuru wa vyombo vya habari kwenda mtaani kuhoji watu kuhusu hotuba ya Samia ya kutaka maridhiano, lakini walishindwa kuripoti habari kuhusu mauaji kama walivyofanya BBC, kwao habari muhimu ni pongezi ----------- Baadhi...
  7. Lord Denning

    Tukimaliza Ikulu tunaenda kwa machawa wote. Tunaanzia Ofisi za Azam, Efm, Clouds Tv na ITV

    Machawa wote lazima wafundishwe kusema kweli daima na kusimamia ukweli siku zote. Machawa wote na vyombo vyao vya propaganda lazima tuwafundishe adabu
  8. Superbug

    ITV futeni kipindi cha Malumbano ya Hoja, hakina manufaa kwa jamii

    Hiki kipindi nashauri ITV katika kipindi hiki ambácho uhuru wa maoni umefungwa hata kipindi hiki Cha muda huu kilichoko online hakina maana.
  9. Just Pray

    GE2025 ITV Kipindi cha 'Aibu yako hata wewe' hamuyaoni malori yakibeba wananchi kama mizigo kwenye kampeni za CCM?

    ITV mna hiki kipindi kinaitwa "AIBU YAKO HATA WEWE" ambacho mmekuwa mkikitumia kukemea ukiukwaji wa taratibu na sheria za barabarani unaofanywa na madereva wa vyombo mbalimbali vya usafari kutoka na hatari ya usalama wa watu na vyombo hivyo. Kwenye kampeni za CCM tumeona malori yakitumika...
  10. Jidu La Mabambasi

    ITV mmeshuka viwango, mna waandishi makanjanja- Mkutano wa wahandisi umewaumbua!

    Nimekaa hapa nafuatilia habari za siku katika channelinpendwa ya ITV. Wenywe wanajiiter SUPER BRAND : EAST AFRICA. ITV hawana usuper brand wowote, na sasa wana waandishi wa habari wameanza kuwa makanjanja. Dunia ya leo waandishi wa ITV hawajui tofauti kati ya Engineer( mhandisi) na...
  11. Mhaya

    Mmiliki wa ITV na Mfanyabiashara REGINALD MENGI aliwahi kutaja kundi Mtandao la Mafisadi 5 Bora na ROSTAM AZIZI akiwemo kama Fisadi

    Aliyekuwa Mmiliki wa ITV, Radio One and Capital TV na Capital Radio aliwai kuwataja mafisadi 10 nchini, huku ROSTAM AZIZI akishika kwenye 5 bora ya mafisadi nchini. Hii ni video enzi za kikwete kabla ya Magufuli hajawai Rais... na Hawa mafisadi ndio kundi mtandao alilokuwa anazungumzia Humphrey...
  12. chiembe

    Nashauri CCM iteua mwandishi kutoka kila chombo wa kutembea naye

    Haya mambo ya na hujuma kila mahali. Jana nadhani yule ni Idda Mushi, ndiye alipewa kazi ya kuripoti ziara ya kampeni.! Naongelea taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku Kwa kushirikiana na Mhariri wa ITV walikuwa wanaonyesha sehemu ambazo watu hawakukaa kwa sababu ya jua kali, mwisho kabisa...
  13. Fbn

    ITV mnapata tuzo za super brand africa mashariki anayetoa achunguzwe

    Ivi hawa jamaaa wanatumia CCTV Camera😂😂
  14. D

    ITV kweli Super Brand asante kwa kuturushia mubashara kesi ya Lissu, sio waoga kuzidi hata tv za dini. Pumzika kwa amani Mzee Mengi

    ITV mnasitahili hata kutuwekea akaunti namba tuwachangie pesa ya uendeshaji hata kama mnajiendesha kibiashara hata wale jamaa wa dini wanatuwekea akaunti za michango wakati ni wafanyabiashara 100%.
  15. musicarlito

    ITV imeandaa maigizo kipima joto CCM na watawala wanaogopa nini wakati maigizo ya uchaguzi watafanya wao

    Kipindi kinaendelea sasa ukiwa makini unaona kabisa hawa wazee wanafanya maigizo na ITV kupitia kipindi Chao cha kipima joto
  16. S

    PreGE2025 Serikali iwe makini sana na hivi vyombo vikubwa vya habari km ITV na Mwananchi, hasa Mwananchi kipindi hiki cha uchaguzi wadhibitiwe, not friendly

    Watanzania huwa tunafuatilia hotuba za kiongozi wetu mkuu wa nchi, from A-Z tunajua Rais alichozungumzia. Jana Rais alikuwa kwenye ibada ya Iddi Kinondoni-Dsm, mashehe walisisitiza amani, utulivu wa nchi, umoja wa kitaifa, kaangalie gazeti la Mwananchi leo "BAKWATA yataka haki uchaguzi mkuu"...
  17. Raia Fulani

    ITV shida nini?

    Le super brand Afrika Mashariki. Nini kimekutokea? Wewe tunayekutegemea kwa habari za hakika. Mbadala wa tbc, leo mitambo yako haina viwango. Satelait zako vipi? Zinahujumiwa? Leo hii kweli naangalia taarifa ya habari lakini nalazimika kubadili stesheni kutokana na taarifa na vipindi...
  18. inamankusweke

    ITV na shida ya kukatika matangazo DStv

    Wakuu,nikiwa kama mtu nipendaye kuifuatilia habari za ndani,hupendelea kutazama ITV kutokana na mfumo wa taarifa yao ya habari Lakini linalochosha kwenye kisimbusi cha DStv ni kukatika mara kwa mara kwa matangazo na kuonekana ujumbe 'technical difficulties'...ninachojiuliza ni ITV hawajui hili...
  19. Five55

    VIDEO: Ona mtangazaji wa ITV alivyombana Kafulila Studio Live 'unafanya siasa na maisha ya watu?'

    Hapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?! Huyu dada anaitwa nani?
  20. Tindo

    Kesi ya Tundu Lissu mubashara ITV

    Muda huu kesi ya Tundu Lisu inarushwa na ITV Mubashara.
Back
Top Bottom