israel

  1. JamiiForums Tanzania Askari 17 wa Israel wameuawa katika mashambulizi ya Hizbullah

    Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetangaza kuwa, wanajeshi 17 wa utawala wa haramu wa Israel wameangamizwa katika mashambulizi ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon. Shirika la habari la Palestina la Sama limenukuu ripoti ya kanali ya Kan TV inayofadhiliwa na Tel Aviv inayosema kuwa, askari 17 wa...
  2. JamiiForums Tanzania Bandari ya Eliat kusini mwa Israel hatarini kufungwa kutokana na mashambulio ya Houth

    Bandari ya Eliat kusini mwa Israel inakusudia kuwapunguza wafanyakazi wake zaidi ya nusu baada ya mamlaka ya bandari hiyo kupata ukata mkubwa uliotokana na kukosekana kwa meli zinazotumia bandari hiyo kulikosababishwa na mashambulizi ya wanamgambo wa Houth wa Yemen. Bandari hiyo kikawaida...
  3. JamiiForums Tanzania CPJ: Wanahabari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 wameuawa katika vita vya Israel na HAMAS

    Kufikia Machi 20, 2024, uchunguzi wa Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) unaonesha kuwa takribani waandishi habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 ambao ni miongoni mwa zaidi ya watu 32,000 waliouawa tangu vita vilipoanza Oktoba 7—ambapo zaidi ya Wapalestina 31,000...
  4. JamiiForums Tanzania Jaribio la Israel kuitawala Gaza limeshindwa na vita vinaendelea eneo lote katikati ya njaa kali

    Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze. Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo pande zote mbili zimepata hasara.Vita hivyo vimepiganwa karibu na hospitali ya Alshifaa eneo ambalo...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa haya Majibu ya Israel, Watafungwa miaka mingi sana hawa jamaa gerezani

    Ritz ulikuwa unatuletea mwendelezo wa kesi ya kuwafunga israel wote iliyokuwa ikiendelea South Africa? Vipi umepotea tena? Unakata tamaa mapema dogo. Tulisema hakuna kulala. Naona siku hizi umeshalegea kabisa huna moyo tena. Turudi kuliamsha. Malaria 2 nawe umelege legea tena. Shida nini? Gaza...
  6. JamiiForums Tanzania Alquds wadondosha ndege ya Israel jijini Gaza. Mapigano bado yaendelea katikati ya jimbo hilo

    Ndege isiyo na rubani au droni imedondoshwa leo kwenye jiji la Gaza ambalo jeshi la Israel lilitangaza zamani kulidhibiti eneo hilo. Habari hizo zimetolewa na msemaji ya kundi la Alquds ambalo ni tawi la kijeshi la harakati za Islamic jihad. Droni hiyo kwa mujibu wa aljazeera iliyowanakili...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

    Hamas yavamia kikundi chenye msimamo mkali Doghumosh Clan Gaza city (13/3.2024) na kuua idadi kadhaa ya wapiganaji wao akiwemo kiongozi wao. Hamas walichukua hatua hii baada ya kikundi hicho kushutumiwa kuwa na mazungumzo na Israel. Hamas imeshawahi kuonya kuwa kikundi au mtu yeyote ndani ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Houth atoa takwimu ya meli walizozipiga na kusema wanakusudia kupanua wigo wa kuzuia meli za Israel zisipite bahari ya hindi yote

    Abdel-Malik al-Houthi ambaye ni kiongozi wa juu wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mpaka sasa wamefanikiwa kuzishambulia meli zenye mafungamano na Israel zipatazo 73 tanguj waanze operesheni yao ya kuwatetea watu wa Palestina. Kupitia televisheni inayomilikwa na wanamgambo hao Abdel Malik...
  9. JamiiForums Tanzania Hamas na Houth wakutana kuratibu mapigo yao dhidi ya Israel

    Kwa mara ya mwanzo wapiganaji wa Houth walio kusini ya Israel waktenganishwa na nchi ya Saudi Arabia wamekutana na wenzao,Hamas ambao wako karibu na katikati ya Israel upande wa magharibi wamefanya mktuano wa pamoja ili kuratibu mapigo dhidi ya adui yao. Mkutano huo haukutajwa eneo ulipofanyika...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza ibada yafanywa kwa utulivu kwenye msikiti wa Al-Aqsa, baada ya Israel kuwa makini

    Ilizoeleka kila wakifanya ibada huwa wanaingiwa na mzuka fulani hivi wanaliamsha amsha, ila kipindi hiki Israel imekua makini na kuzuia vijana na kuachia akina mama na wazee tu ndio waliingia pale kwa maelfu kufanya ibada zao kwa utulivu....... Yaani mapolisi yalijaa pale na kusubiri mmoja aseme...
  11. JamiiForums Tanzania Hezbollah watoa hakikisho kwa maskini Iran kwamba kwa vyovyote vile hiyo Iran haitapiganishwa na Israel

    Imebidi Iran wawaagize hao Hezbollah waje kutoa hakikisho kwamba huo uchokozi wao kwa Israel haitokuja siku waburuze Iran kwenye vita na Israel, wayafanye huko huko na wakipigwa wapokee tu kama HAMAS wanavyopokea...... ====================== Hezbollah has reportedly told its main backer Iran...
  12. JamiiForums Tanzania Gaidi la HAMAS lajaribu kutijoa uhai kwenye gereza Israel

    Magaidi yaliyokamatwa lazima yapata cha moto na show kali kali hadi hili liliamua kujitoa uhai likawahi mabikira.... Hamas Nukhba terrorist who took part in the October 7 massacre attempted to end his own life in an Israeli prison, Israeli media reported on Thursday afternoon. The terrorist...
  13. JamiiForums Tanzania Israel imekamilisha ujenzi wa barabara Gaza

    Jeshi la Israel limekamilisha ujenzi wa barabara mpya inayopita katitaki ya eneo la kaskazini mwa Gaza kutoka mashariki hadi magharibi mwa eneo hilo. Haya ni kwa mujibu wa picha za satelaiti zilizodhibitishwa na kitengo cha uchunguzi cha BBC verify. Jeshi hilo limeiambia BBC kuwa linajaribu...
  14. JamiiForums Tanzania Houth ilivyobadili mbinu kupambana na US,UK na France na huku Hamas wakiua komando mkubwa wa Israel

    Kuanzia majuzi wanamgambo wa Houth wameanza kuzipa onyo meli zinazokatiza maeneo yao kabla ya kuzirushia makomboa. Wakitumia meli yao ya wanamaji wiki iliyopita walimuonya kapteni wa meli ya True Confidence kwamba alikuwa akikatisha njia ambayo si salama kwake. Kwa mara nyengine akaelekezwa...
  15. JamiiForums Tanzania Raia wa Iran waomba Israel ilianzishe dhidi ya uongozi wa Ayatollah, wao watamaliza

    Ikumbukwe juzi kwenye uchaguzi wa Iran, waliojitokeza kupiga kura ni wachache sana, yaani makundi ya watu wachache sana, watu wamechoka uongozi wa kikatili wa kidini, wanataka demokrasia ya kweli, hata timu yao ya taifa ilipofungwa walishabikia sana. Wameomba Israel ianzishe vita dhidi ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania HAMAS wayakataa mapumziko uchwara ya vita, Ramadhani

    1. Kwamba Israel na Marekani walihitaji mapumziko uchwara ya wiki 6 kurejelewa vita baada ya Ramadhani. 2. Kwamba katika kipindi hicho waachiliwe mateka wao wote nao wataachia mamia ya wafungwa. Mpango gani huo? Truce maana yake vita kusimama, Israel kuondoka Gaza, kuwajibishwa kwa mvamizi...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

    Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions Dondoo muhimu: vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel.. Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina...
  18. JamiiForums Tanzania Jordan yaomba kuuziwa maji na Israel

    Mtakubali tu nyie ni mizembe na mnategemea hako kataifa miaka yote hata kama mnakatupia mabomu.... On November 16, Jordanian Foreign Minister Ayman Safadi – whose anti-Israel rhetoric since October 7 has been strident – took to Al Jazeera to say the planned signing a month later of a three-way...
  19. JamiiForums Tanzania Osama bin Hamdan wa Hamas asema hakuna kuachia mateka kabla Israel haijatekeleza matakwa yao

    Msemaji mkuu wa Hamas anayeishi Lebanon ameweka wazi kuwa kundi lake la Hamas limefuta mpango wa kubadilishana mateka wa Israel na wafungwa wa kipalestina kabla Israel haijaacha vita na kuondosha vikosi vyake vyote Gaza. Sharti jengine ni jeshi la Israel liondoe vizuizi vyote vya watu kurudi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Mungu wa Israel!

    Ghadhabu yake Haina huruma hata kwa wanawake na watoto. Rejea wakati wa NUHU katika Ile gharika wanawake na watoto wa waovu wote waliangamia kwa maji. Sodoma na Gomora wanawake na watoto wote waliteketezwa Kwa moto na kiberiti. Ni Mungu ambaye hatamwesabia mtu mwovu kwamba hana hatua Bali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…