israel

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel wameshindwa na Iran, wameelekea Rafah.Wameharibu mazao mashariki ya eneo hilo

    Harakati za kijeshi za Israel eneo la Rafaha zimeongezeka sana katika siku mbili zilizopita. Hilo linatokea wakati dunia ilihofu sana kwamba angejibu kwa nguvu shambuio la Iran lililopiga kambi zake mbili kuu za kijeshi hapo Jumamosi iliyopita. Taarifa zinaonesha kuwa idadi ya vifo katika eneo...
  2. Jesus Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Iran Kutengeneza Slaha za Nuclear Kujihami dhidi ya Israel

    Kwa sasa Iran ipo na kila sababu ya kuwa na slaha za Nuclear kwa lengo la kujihami. Kila Israel wanavyozidi kuwashambulia wenye wanazidi kuwa na sababu ya ku milki silaha hizo. Israel anazidi kupunguza ushawishi dunianyi kila siku. Kuna taarifa hii How close is Iran to having nuke weapons...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kwa shambulio hili la Israel basi vita baina yao ndio basi. Kila mmoja atamuheshimu mwenzake

    Lengo halisi la Israel inaonekana ni Rafah na ile kurusha droni tatu Iran ambazo zimedunguliwa ilikuwa ni kuzubaisha ulimwengu lengo halisi likiwa ni kuingia Rafah ikijua Iran haitaiuliza kitu. Huku watu wamecharuka kujadili shambulio la Israel lililotangazwa na US kwa upande wake Israel ndio...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati kama vile jeshi lililoko vitani serious na sio kama michezo ya kidali poo anayojaribu kufanya Iran...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Sikutarajia Israel Wajibu kinyonge hivyo, wenda maombi yetu ya amani yamesaidia

    Inaonekana wametumia vidrone vya kawaida sana, picha zinazoonyeshwa ni kama zile drone za kwenye maharusi au wanazotumia kurekodia kwaya. Pia nimeshangaa gazeti la Jerusalem post kuweka picha ya mashambulizi ya Gaza kuonyesha ndio picha ya shambulizi lake Iran. Kuna matatu 1: Amewaogopa...
  6. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Habari za muda huu. Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq. PIA SOMA: - LIVE - UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel - Mafuta kupanda bei baada ya israel kurusha makombora Iran ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia, Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki'

    Wanaukumbi. Afisa mkuu wa Iran ameonya kuwa Iran inaweza "kupitia upya" mafundisho yake ya nyuklia iwapo itashambuliwa na Israel. Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki' - Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia "Mapitio ya mafundisho yetu ya...
  8. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Israel yapanga kumalizia hasira zake kwa watoto, wakina mama na walemavu huko Rafah

    Niaje waungwana Baada ya kipigo cha makombora madogo tu yalioshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 zinazojifanya super power duniani, Israel imeamua sasa kujibu kipigo hicho kwa kupanga mipango ya kwenda kuvamia mji wa watoto, wanawake na wazee wasiojiweza ili kuhadaa umma na kuitoa dunia katika...
  9. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Iran na Israel nani Mwamba

    Habari JF Ili mjue nani mwamba Kati ya Iran na Israel fuatana na mimi twende pamoja. IRAN NA ISRAEL,NANI MWAMBA? Tarehe 13/04/2024,Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) ambayo ni tawi la kijeshi la nchi ya Iran,ikishirikiana na kikundi kutoka nchi ya Iraq(Iraqi Popular Mobilization...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran. Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya...
  11. MUMU THE DON

    JamiiForums Tanzania Kwanini India inaikubali sana Israel?

    Katika muda huu wa Israel kupata maadui wengi duniani maana amefanya mauaji Gaza lakini haijatosha kuvunja mahusiano mema kati ya nchi hizo mbili India na israel Katika social media post za Israel zimekuwa zikipata upingamizi kwa mataifa mengi ila India wao wameomesha bado mahaba na Jews katika...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Majaribio mawili ya Israel kulipiza kisasi kwa Iran yameshakwama ndani ya wiki moja. Hasira zake zinaishia Gaza

    Tangu Iran iishambulie Israel haijafika wiki moja. Ndani ya muda kwa hasira ilizokuwa nazo Israel na namna ilivyovuliwa nguo hadharani tayari imejaribu kutaka kurudisha kipiga lakini hatimae ikashindikana.Sasa inatarajiwa itakuwa siku ya Jumatatu ijayo. Katika kipindi hicho cha ndani ya wiki...
  13. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 18 wa Israel wauliwa na Hezbollah leo

    Naona maji yanazidi kuzidi unga huko Middle East Shambulizi la Hezbollah limeondoka na roho za wanajeshi 18 wa Israel papo hapo na huku makumi wakiwa majeruhi Hii inaitwa kujitumbukiza kwenye kinamasi cha vita. 🚨🇱🇧🇮🇱 HEZBOLLAH statement on ISRAEL BOMBINGS: “After careful monitoring and...
  14. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania The decision has been made by Israel to attack Iran

    The decision has been made by Israel to attack Iran. Timing is now the issue for the attack 17 APRIL 2024 An Israeli strike against Iran and their Nuclear facilities may be just hours away. Word out of Israel is "the Decision has been made." Iran on it's part has activated all defense...
  15. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

    Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Ehud Barak amesema Israel ilifanya makosa ya kimahesabu kwa adui zake ,hivyo haoni kuna haja ya kufanya vita na Iran, na anajua tayari kuna upinzani kutoka Hamas, Hezbolla,Houthis na sasa Iran na itachukua muda mrefu sana katika operesheni zake katika miji ya...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel imekubali 3% ya makombora ya Iran yalipiga kambi mbili za jeshi. Yaliyodunguliwa sasa ni 97% tu

    Kilichoipata Israel kutokana na kipigo cha Iran ni siri kubwa japo kidogo kidogo ukweli unaanza kujitokeza. Marekani imesema makombora 9 ya ballistic hayakushikika na yalitua kwenye kambi mbili nyeti za jeshi la Isreael. Kati ya hayo makombora matano yalipiga kambi ya Nevatim kwenye jangwa la...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    1. Hajatokea Natanyahu kutia neno hadharani tokea kipigo cha jumapili. 2. Inafahamika amekuwa na vikao vya baraza la vita kila siku tokea siku hiyo. 3. Ziarani Israel David Cameron kaliweka wazi: 4. Kwamba kama alivyofanya Iran, mwendo ni calibration ya mapigo kutoleta madhara sana: 5...
  18. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Mamia ya raia wa Israel waikimbia nchi yao ,hofu ya vita na Iran

    Kutokana na mgogoro mkubwa ulioibuka kati ya Iran na Israel pia uvamizi wa makombora na drones za Iran ndani ya ardhi ya israel kumekua na hofu kwa raia wa Israel hivyo kuikimbia nchi yao
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel imeshambuliwa kwa aibu na uzito wa kujibu ndio huu hapa

    Kutokana na taarifa za ukubwa wa jeshi la Israel na umiliki wa silaha za kisasa,haikutarajiwa kwamba kungetokea nchi yoyote ile ikajiamini kuirushia makombora kulenga maeneo yake muhimu hasa ikizingatiwa kuwa iliwahi kuyashinda mataifa kadhaa ya kiarabu mwaka 1967 katika vita maarufu vya siku 7...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kama Israel imeweza kushawishi mataifa makubwa Duniani kuwa upande wao naona wana akili kubwa sana

    Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani zinaweza kusaidiana Au nchi zenye mrengo wa dini Fulani zikisaidiana Pia matajiri kwa matajiri husaidiana...
Back
Top Bottom