israel

  1. JamiiForums Tanzania Hizbullah waanza kuzipiga ndege za Israel

    Kwa mara ya mwanzo vikosi vya Hizbullah nchini Lebanon vimetoa tangazo la kuzirushia makombora ndege za kivita za Israel na kuzilazimisha kurudi zilikotoka. Kufuatana na taarifa ya aljazeera makombora ya kusaka ndege kutoka ardhini kwenda hewani yametumika kuzilenga ndege hizo ikiwa ni siku...
  2. JamiiForums Tanzania Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

    Wanaukumbi. 🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO. Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha mapigano kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar. Majibu ambayo yalikabidhiwa ni pamoja na...
  3. JamiiForums Tanzania Mlipuko kwenye gari Israel waua watatu ikidaiwa ni Iran

    Vyombo vya habari vya Israel vinachambua hili kuwa hii huenda ni mauaji ya kisiasa na ya kulipa kisasi. Inadaiwa ni Iran keshafanya yake. BREAKING 3 Israelis died in a car explosion in Ashkelon, Israeli media talks about assassination Iran imekua na majasusi wengi sana ndani ya mifumo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Uchunguzi unaendelea kufuatia taarifa kuwa Houthi wameanza ushirikano na Al Shabaab kupambana na Israel

    Hali inazidi kuwa tete katika mashariki ya kati na kwa Israel kufuatia taarifa kwamba wapiganaji wa Houthi wameanza mazungumzo ya kuwapatia wanamgambo wa Alshabaab silaha kama walizonazo wao ili kuongeza nguvu katika vita vya meli zinazopita bahari zilizo karibu nao zenye uhusiano na Israel na...
  5. JamiiForums Tanzania Shida iliyopata Israel kuokoa mateka wanne hawatajaribu tena. Ndio imewatia nguvu Hamas na raia wa kawaida kupambana zaidi

    Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto na hata kama kulikuwa na Hamas kadhaa tukio hilo limelaaniwa na mataifa kadhaa na kuliona...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Hezbollah inavyoitembezea kichapo Israel kimyakimya

    Siongei sana. Sina maneno mengi! Video yenyewe iliyosheheni operation za Hezbollah inajisemea. Tazama! https://m.youtube.com/watch?v=JpONxjW0X9Q
  7. JamiiForums Tanzania Kwa kupoteza hao mateka wanne, HAMAS hawatapata wafungwa 200 kutoka Israel

    Masharti ya HAMAS yalikua kwamba kwa kila mateka waliyemshikilia, watamuachia iwapo watapewa magaidi wao 50 walio kwenye magereza ya Israel, sasa hapo wamepoteza wafungwa wanne, hiyo ina maana magaidi 200 wataendelea kuozea Israel. Mpaka leo sijakaa nielewe faida gani HAMAS walikusudia kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

    Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi. Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu. Noa Argamani, ambaye utekaji nyara wake na Hamas mnamo Oct7 ulitisha ulimwengu, ameokolewa na IDF, pamoja na mateka wengine 3. Wote...
  9. JamiiForums Tanzania Israel vs Iran - 2

    ISRAEL vs IRAN - 02 Sehemu ya 2 Na Dr. Chris Cyrilo Mapinduzi ya mwaka 1979 yaliyoondoa utawala wa Shah, na kuifanya Iran kuwa chini ya utawala wa kiislamu wa dhehebu la Shia, yalifuta ndoto ya Iran kupata silaha za kinyuklia. Utawala wa kishia, uliokuwa chini ya Ayatolla Khomeini ulijikuta...
  10. JamiiForums Tanzania Israel: Tupo tayari kwa vita kamili na Hezbollah/ Israel yashambulia kusini mwa Hezbollah

    Leo Israel imeshambulia kusini mwa Lebanon kwa ndege vita zake kama kitendo cha kulipiza tukio la Hezbollah kushambulia kaskazini mwa Israel kwa drone kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine 10 leo mapema. Hezbollah walifanya shambulizi hilo kujibu kauli ya Netanyahu hapa juzi baada ya Netanyahu...
  11. JamiiForums Tanzania Israel Vs Iran

    ISRAEL vs IRAN -01 Nimetamanani kuleta makala hii kutoka kwenye kitabu changu cha ISTILAHI ZA UHALIFU NA USALAMA, ili watu wajifunze na kujadili wakiwa na taarifa ambazo naamini awaki hawakuwa nazo. Dr. Chris Cyrilo Sehemu ya I Ndani ya jengo la makao makuu ya shirika la kijasusi la Mossad...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hamas kafanya tena, amevuka mpaka wa Israel na Kushmbulia Camp ya Jeshi

    Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu na maneno ya Israel hayo majumba ya Gaza aliyo yavunja Israel, mashule, masajidi, mahospital...
  13. JamiiForums Tanzania Hizbullah wameipiga Iron dome yenyewe inayoilinda Israel dhidi ya makombora

    Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza. Mwezi uliopita Hizbullah walifanikiwa kuipiga rada kubwa ya jeshi la Israel ambayo kazi yake ni...
  14. JamiiForums Tanzania Iran imetangaza kulipiza tena Kisasi kwa Israel baada ya shambulizi huko Syria

    Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar. Shambulizi hilo la anga ambalo limetokea Aleppo juzi June 3 limeua watu 17 ambao inaelezwa ni wapiganaji...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Israel kutangaza vita na Hezbollah muda wowote kuanzia sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Mungu ibariki Israel Shmona, June 4, 2024. (Ayal Margolin/Flash90) IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Tuesday that Israel is close to making a decision regarding Hezbollah’s daily attacks on northern Israel amid the Gaza war. “We...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Israel yaua Jenerali mwingine wa Iran nchini Syria

    Shambulizi linalodaiwa kufanywa na Israel karibu na mji wa Aleppo nchini Syria mapema jana Jumatatu, lilimuua jenerali wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Saeed Abiyar, chombo cha habari cha Tasnim cha Iran kinaripoti. Tasnim inamuelezea Abiyar kama mshauri, neno ambalo hutumia...
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laanza kukumbwa na ukata wa askari mfano yaliyoikuta Ukraine. Ndio sababu wanashambulia na kuhama maeneo. Askari wote 15000 wametumika

    Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina upungufu mkubwa wa askari. Kwa mujibu wa mtandao huo wa ufuatiliaji vita imeelezwa kuwa askari wote...
  18. JamiiForums Tanzania Yafahamu yaliyomo ndani ya mpango wa Biden kumaliza vita vya Gaza ambayo Israel wameyakubali na Hamas hawaoni shida kuyatia saini.

    Mpango wa raisi Biden ili kumaliza vita vya muda mrefu vya Israel na Hamas una hatua tatu muhimu. YA KWANZA Ni kusitisha vita kwa muda wa wiki sita(mwezi unusu) ili mateka wa Israel hasa wa kiraia,wanawake na wagonjwa waachiwe sambamba na kuachiwa kwa wafungwa wa kipalestina. Hatua hii...
  19. JamiiForums Tanzania Israel: Mawaziri Wawili watishia kujiuzulu na Kuvunja Serikali ikiwa Israel itasitisha Mapigano Gaza

    Waziri wa Fedha Bezalel Smotrich na Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir wametishia kujiuzulu na kuvunja serikali iwapo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atakubali pendekezo la kusitisha mapigano Gaza lililotolewa na Rais Joe Biden, wakisema wanapinga makubaliano yoyote kabla ya Hamas...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Chile yaungana na Mexico, Indonesia, Brazil na Afrika Kusini kwenye kesi dhidi ya Israel

    Nchi ya Chile imeamua kuungana na nchi za Mexico, Columbia, Brazil, Indonesia na South Africa kwenye kesi dhidi ya Israel kwenye mahakama ya kimatiafa. Rais Chile amesema inachofanya Israel kuua watoto na wanawake haikubaliki kwa mtu yeyote mwenye akili timamu. Chile joins developing nations...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…