israel

  1. JamiiForums Tanzania Kabla ya vita vya Israel vs Palestina, Russia vs Ukraine hili jukwaa mijadala ilikuwa inahusu nini?

    Ukisoma nyuzi za humu unaweza kuogopa. Utajua world war 3 ipo karibu siku mbili nyingi, Palestina/Israel itakuwa umeangamizwa ndani siku tatu zijazo. Hivi Ukraine ime survive vipi hadi leo, je watu wanaendelea na maisha kama kawaida?
  2. JamiiForums Tanzania Mungu Hailindi Israel Tena, Israel inalindwa na Marekani na Mataifa ya Ulaya

    Leo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu.. anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israel🤬🤬 Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani nimeishia kusema amina ila... Mchungaji wangu nimemsamehe tu kwa sababu ana Elimu ndogo sana na siwezi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Marekani na Uingereza zaanza kuondoa raia wake Lebanon na sisi Afrika Mashariki tusizubae tena

    Kufuatia viashiria vya vita kuibuka wakati wowote huko Mashariki ya Kati UK na US wameanza kuwaondoa Raia wa Lebanon na Iran Afrika Mashariki tuungane Ili nasi tuwaondoe Raia wetu kwa haraka Credit: BBC Soma Pia: Hezbollah yawahamisha haraka maofisa wake waandamizi kutokea kambi yao kuu kusini...
  4. JamiiForums Tanzania Ujerumani yasema kuilinda Israel si suala linalohitaji mjadala. Wafalme wa mashariki ya kati bado wamelala

    Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa. Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Irani na Israel sio Maadui. Tulidanganywa

    Kuna uvumi Iran inawasaidia Israel kwa kujifanya adui wao ili awaingize mkenge adui wa kweli wa Israel, amesema Noah mahakouf Hammed wa Lebanon Ameshikilia point Tatu kwamba 1. Iran Ana play part ya kupoteza maboya kwa watu Huku Aki side na israel kwa kuvujisha Siri za kambi, Anatuhumu kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

    Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja. Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Marekani yasema inabadilisha Vifaa, Mikakati na Mbinu za Ulinzi Mashariki ya Kati Ili Kuilinda zaidi Israel

    Marekani yasema kufuatia viashiria vya Amani kutoweka Mashariki ya Kati imelazimika kubadili Vifaa, Mikakati na Mbinu za Ulinzi Ili kulinda Israel. Mabadiliko hayo yanahusu kupeleka vikosi hatari zaidi vya Kijeshi. Hata yanafuatia tishio la Ayatollah Khamenei anayejipanga kuishushia Kitu kizito...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Msafara wa magari makubwa ya Kijeshi uliobeba silaha nzito kutoka Syria kwenda Lebanon wasambaratishwa na ndege za kijeshi za Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Haiishi Hadi iishe mayahudi wamechefukwa na wameamua kufanya kweli Muda mfupi uliopita wameshambulia na kuteketeza Msafara wa magari ya kijeshi uliobeba silaha kuelekea Lebanon Mungu ibariki Israel Hezbollah claims convoy of trucks struck by Israel on Syrian-Lebanon...
  9. JamiiForums Tanzania Israel hawanaga mambo mengi! Wao ni show tu! Inakula vichwa!

    Mnakumbuka Iran ilivyojaribu kuishambulia Israel kwa makombola ya ndege za drone zaidi ya 300 ambapo karibu 99% yalizuiliwa na kuharibiwa angani isipokuwa machache sana yalitua na kusababisha madhara hafifu? Israel ilisema hivi "tutalipiza kisasa muda utakapofika". Sasa angalia kisasi: Kwanza...
  10. JamiiForums Tanzania Israel yavuna ilichopanda, Raia wote watakiwa kusafisha mahandaki ili wakimbilie humo na Mawaziri wapewa simu za satelite

    Kwa kuhofia kipigo cha Iran kinachokuja serikali ya Netanyahu imewaamuru watu wote kujiandaa kupokea kipigo kutoka Iran na kwamba wasafishe mahandaki yao tayari kuishi humo. Wakati huo huo Mawaziri wote nao wamepewa simu za satelite ambazo hazitumii minara ya simu kwa kujua minara hiyo ni...
  11. JamiiForums Tanzania Israel ajiandae kunyolewa kama anavyonyoa

    Karma itamrudia Israel atapigwa vifo vitakuwa vingi itakuwa kilio na kusaga meno.hii sio chai but unabii .
  12. JamiiForums Tanzania Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

    Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Israel yaua kwa mpigo Viongozi watano wa Hamas waliokuwa wamejificha chini ya handaki huko gaza

    Wadau hamjamboni nyote Ama kweli IDF na Mossad wako kazini na hawatanii linapokuja suala la kuwasaka Viongozi wa magaidi ya Hamas na Hezbollah. Shambulizi moja tu chini ya ardhi laua magaidi 5 ambao waliamini wapo salama chini ya mahandaki Taarifa kamili hapo chini: Israel recently...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mwingine Hezbollah auawa kwa drone, aliongoza kurusha maroketi Israel, yote yametunguliwa angani na kudondokea Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za muda mfupi uliopita Gaidi mwingine wa Hezbollah ameuawa kwa drone ya IDF baada ya kuongoza kurusha maroketi ya kadhaa kuelekea kaskazini mwa Israel. Hata hivyo hakuna roketi hata moja lililofanikiwa kutua Israel kwani yalitunguliwa yote yakiwa hewani na...
  15. JamiiForums Tanzania Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

    Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel. Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja. Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa kundi la Hezbollah Dokta Nassan Nasrallah aagiza Jeshi lake kuanza kuishambulia Israel kuanzia kesho Agosti 2, 2024

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha na amri imeshatolewa kwa magaidi kuanza kuichakaza Israel kesho kulipa kisasi mauaji ya Ismael haniyeh Muda wa mashambuluzi ni baada ya maziko ya Ismael haniyeh/ sala ya ijumaa, hivyo ni takribani kuanzia saa 7 mchana na kuendelea kwa saa za kwetu Afrika...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

    Muda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East! A senior Pentagon official confirms.
  18. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani Israel mpaka kila mtu anaiogopa?

    Naam wakuu, karibia kila idara inaiogopa Israel, hata hapa JamiiForums kuna member alipost uzi akiomba ushauri Jinsi ya kukabiliana au kukomesha udhalimu wa Israel dhidi ya majirani zake. Uzi uliondolewa mara moja wala haukuwa na maisha marefu. Ina maana hata hapa jukwaani inatakiwa kuwa makini...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MOSSAD wa Israel wanatumia aliens?

    Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao, Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao, Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh, Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje...
  20. JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kumuua Mkuu wa Kijeshi wa Hamas mwezi Julai

    Jeshi la Israel leo limethibisha kuuawa kwa mkuu wa jeshi la Hamas bwana Mohammed Deif kilichotokea 13 July 2024. Hamas wamekaa kimya kuhusu kifo cha huyu kamanda wao Mkuu. --- Israel's military says it has confirmed that Hamas's military chief Mohammed Deif was killed in an Israeli air strike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…