israel

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Sheikh Qassem: akihutubia kwa woga na akitokwa jasho. Nadhani Israel sasa isitishe hii operation

    Maneno anayoyatoa na vitendo ni tofauti kabisa. Anaonekana kabisa akiwa ana khofu kubwa sana. Inasemekana hapo akiwa amejificha mbali sana. Hakuna AC na hakuna Ventillation. Anaishi kwa wasiwasi na mateso makubwa. Ukimtizama anaonekana kujawa woga,khofu na wasiwasi. Nadhani Dunia ikemee Israel...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Israel anajivunia akili na technologies anazouzia nchi nyingine. Ni ajabu kusema Israel haina nguvu bila Marekani

    Wayahudu ndio brain kubwa zinazofanya mambo makubwa huko US , Russia, Ukraine,Iran na nchi nyingine Hivyo sioni ajabu kwa US kumpa silaha Israel ,na ni lazima Israel ilindwe kwa manufaa ya wengi
  3. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Hezbollah wafanya shambulia la kuvizia kwenye jeshi la Israel mpakani. Sasa Firimbi ishapulizwa

    Press Tv live breaking news. Hezbollah wanasema Wamepiga direct hit Beit Saida, Yifta Kibbutz Zaoura Base then wamekimbia kusiko julikana.. naona wana mbinu kama za Hamas. Jeshi la Serikali ya Lebanon limeanza kuondoka maeneo ya Mpakani na Israel kuwafungulia njia IDF wao wanasema hawahusiki...
  4. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Israel inatumia sayansi na Palestine inatumia imani

    Ile habari ya kifo cha boss wa hezbolla ni habari mbaya na ya kusikitisha sana ila lazima ifike kipindi waarabu wajue ukweli sasa. Ni muda sasa wa kuacha kupeleka watoto wa madrassa wajipange kwenye sayansi zaidi maana mbinu zinatumika na israel ni za kisayansi zaidi kutoa kipigo...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Makomandoo wa Israel wavamia na kulipua mahandaki ya magaidi wa Hezbollah mpakani mwa Israel na Lebanon, uvamizi kamili muda wowote

    Wadau hamjamboni nyote? Makomandoo wa IDF wameanza kulipua mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hezbollah huko mpakani mwa Israel na Lebanon Ni maandalizi ya uvamizi kamili unaotarajiwa muda wowote kuanzia sasa. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Israeli troops have entered Hezbollah...
  6. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi huu wa Saa 2 na dakika 22 utakupa mwanga wa uwezo wa Israel dhidi ya Iran, Hamas na Hezbollah

    Ukiondoa itikadi za dini na mihemko, huu uchambuzi uliofanywa na kituo cha SNS unatoa mwanga halisi wa kinacho endelea. Bigup kwa huyu ostadh ambaye anajadili facts sio zile story za vijiweni za akina Ritz na FaizaFoxy Karibuni. https://youtu.be/Fi1gKQxxBJw?si=YqdIVGOKsjvGAkpi
  7. U

    JamiiForums Tanzania Naim Qassem Kaimu Kiongozi Mkuu Hezbollah atoa hutuba nzito, aionya Israel isithubutu kuivamia Lebanon watapambana nao vikali

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: In first address since killing of leader Hassan Nasrallah, Hezbollah deputy chief Naim Qassem says group is ready for any Israeli ground invasion, will select new head based on existing mechanism. https://aje.io/ohd77t
  8. U

    JamiiForums Tanzania Watu milioni moja wakimbia makazi yao kufuatia mashambulizi makali ya Israel dhidi ya magaidi ya Hezbollah nchini Lebanon

    1 hr 53 min ago Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: 1 million people displaced in Lebanon, prime minister says One million people in Lebanon have “moved from place to place in just a few days,” the country’s caretaker Prime Minister Najib Mikati said on Monday as...
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Magaidi wanaisha huko Lebanon. Hongera sana Israel kwa kazi nzuri

    Aisee huyu myahudi anatembeza kichapo mpaka Raha nimetoka kufuatilia hapa BBC News aisee magaidi yanaondolewa sio mchezo Mungu ibariki San Israel iendelee kutoa kichapo kwa haya magaidi na uzao wao wote Israel ni taifa teule viva Benjamin Netanyau wavaa kobazi hoi huko lebanon
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia kichapo kinachotolewa na Israel utagundua Russia ni overrated sana

    Israel hana kelele ni kipigo tu Russia kelele Nyingi mara atishie kutumia nyuklia na mambo mengi .. Tunataka atoe kichapo .
  11. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Israel: Tutawafikia popote mdhanipo ni mbali

    Waziri wa Ulinzi wa Israel ametamba kwa kusema kwamba, wao kama Israel halipo eneo la mbali kwao wakiamua kukufikia ama kukushughulikia.
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Hezbollah wathibitisha kuuawa kwa kamanda wao, Ali Karaki ambaye ameuliwa na Israel

    Hezbollah imethibitisha Jumapili kwamba kiongozi wake wa juu Ali Karaki aliuawa katika shambulio la anga la Israeli kwenye kitongoji cha kusini mwa Beirut, shambulio ambalo pia liliua kiongozi wa kundi hilo, Hassan Nasrallah. Israel ilisema ilimuua Nasrallah katika shambulio la anga kwenye...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya jinsi Israel inavyoshambulia

    Haya ni sehemu ya maelezo ya jinsi jeshi la Israel linavyoshambulia. @ Maelezo haya ni kama yanaleta maana fulani hivi.
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Lebanon lawahamasisha raia kwa vita, wananchi waapa kutokimbia nchi yao

    Siku moja baada ya Israel kumuua kiongozi wa Hizbullah, Hassan Nasrallah jeshi la nchi hiyo limekuja juu na kutoa matamko ya kuwahamasisha raia kujiandaa kwa vita na Israel. Katika tamko lake hilo jeshi limewataka wananchi kuhifadhi vyakula na matumizi ya lazima na kuwa wamoja kuliko muda...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Makomando wa Israel huwa ndani ya Lebanon, tena ndani haswa

    Idadi kubwa ya makomando wa Israel huishi Lebanon ndani na hamna wasichokijua au kukifanya humo tena kimya kimya.....ndio hutoa taarifa za wapi pa kupiga, husaidia sana kwenye mapigo dhidi ya magaidi wa waislamu. ================= The New York Times says that Israel has worked since the...
  16. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Israel kwa viongozi wa makundi yaliyopo mashariki ya kati yanafanana na mauaji kwa wakomunisti wakati ukomunisti unasambaa.

    Mauaji haya yanayo tekelezwa na Israel kwenda kwa viongozi wa makundi hasimu yanayo washambulia na kuharibu mipango yao yanafanana na mauaji yaliyokuwa yakifanywa na serikali mbalimbali dhidi ya viongozi wa vyama vya kisiasa vya kikomunisti vilivyo kuwa na vikundi(jeshi la mapambano) dhidi ya...
  17. Bams

    JamiiForums Tanzania Wasichokijua wengi kuhusu Israel

    Wayahudi ni jamii iliyopigana vita vingi kuliko jamii yoyote. Kabla ya Masiha, Wayahudi walitumia vita kama uthibitisho wa Mungu kuwa pamoja nao. Walipotenda sawa na mapenzi ya Mungu, waliwapiga maadui zao, tena kwa irahisi. Walipokengeuka, walipoenda vitani, walipigwa, na hata kuchukuliwa...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Israel intelligence ijue Walipo viongozi wa Lebanon na Hammas lakini haijui Mateka walipo. Israel ni washenzi Sana.

    Habari za jioni! Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi. Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa. Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa! Hiyo vita hapo...
  19. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Jeshi la israel wafanikiwa kumiliki anga lote la lebanon hakuna ndege kutua bila idhini yao

    BREAKING: Ndege ya mizigo kutoka Iran inayotakiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Beirut imegeuka baada ya Israel kufahamisha udhibiti wa usafiri wa anga katika uwanja huo kwamba Israel itaanzisha mashambulizi dhidi ya ndege hiyo iwapo ingetua Beirut. Israel haitaruhusu silaha za IRGC...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa jeshi la Iran auliwa na Israel, kule Beirut

    Naye hakusazwa, alikua kwenye harakati za kuratibu shughuli za magaidi wa Waislamu, Hezbollah. Kawahishwa kwa mabikira. Aise Myahudi namba mbaya. -------++ Iran Revolutionary Guards' deputy commander Abbas Nilforoushan was killed in the Israeli strikes on Beirut on Friday, Iranian media...
Back
Top Bottom