israel

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza taifa mwanachama UN kumpiga Maarufuku Katibu wa UN , Alipaswa akemea uvamizi wa Iran kwa Israel, Hongera Israel no unafiki

    Katibu wa UN Kama kiongozi wa umoja wa mataifa yote alipaswa akemea hadharani uvamizi wa Iran nchini Israel. Ila naamini Israel wanaweka rekodi sawa ili siku akivamia Iran katibu wa UN usiingize mdomo Pia Israel inaendelea kutengeneza ushahidi wa kuonyesha anavyochokozwa na mataifa mengine na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dakika 5 za mashambulizi ya makombora ya Iran ndani ya Israel!!

    Mods msiunganishe huu Uzi tafadhali ili kuweka mizani sawa ya kile kilichojiri kwenye mashambulizi ya Iran ndani ya Israel, hii ni kuonyesha uhalisia baada ya Israel na vyombo vya habari vya magharibi kudai kua 90% ya makombora yalidunguliwa. Tutazame dakika 5 za maeneo yaliyopigwa,yakijumuisha...
  3. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Tuwafahamu washirika muhimu wa Israel na Iran duniani

    Washirika muhimu wa haya mataifa mawili hasimu[ Israel na Iran ] hapo mashariki ya kati ambao wapo bega kwa bega nao katika ushirika muhimu wa kiuchumi, kiulinzi na kiushawishi leo tuwafahamu kidogo in case huu uhasimu ukizaa vita kubwa tegemea kuona kishindo kikubwa sana mashariki ya kati...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ninaamini asilimia 80% ya watu duniani wanafurahi Israel inaposhambuliwa

    Serikali nyingi duniani haziwezi kuonyesha waziwazi support yao kwa kuwahofia wakubwa wa Ulaya na Marekani
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wanne wa Israel wauawa kwenye mapigano

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limethibitisha kuwa askari wake wanane wa wameua katika makabiliano na wapiganaji wa Hezbillah kusini mwa Lebanon IDF inasema watatu walikuwa wa kitengo cha Egoz, Awali ilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon...
  6. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Picha: Wanamagambo wa Israel walioangamizwa leo na Jeshi la Hezbollah

    Picha: hawa ndo Wanamagambo wa Israel walioangamizwa leo na Jeshi la Hezbollah Hawa ndo magaidi na wanamgambo walioangamizwa na Hezbollah leo Captain Eitan Itzhak Oster, Captain Harel Etinger, Captain Itai Ariel Giat, Sergeant First Class Noam Barzilay, Sergeant First Class Or Mantzur...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Iran yatoa onyo kwa nchi za kiarabu zitakazoisaidia Israel kwa namna yoyote dhidi yake

    Waziri wa mambo ya nje wa Iran amezionya nchi za kiarabu zitakazojitia kiherehere kuisiaidia Israel kufanya ugaidi dhidi yake. Bila kuzitaja majina bila shaka Waziri huyo anamaanisha nchi kama Jordan ambazo hata kwenye shambulio la jana ilijifanya kimbelembele kujaribu kutungua makomora ya...
  8. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Athari za mashambulizi ya makombola ya Iran dhidi ya Israel

    Sulbakheri Tehrani...Shkamooni Dar es salaam......Asalam aleykum Tehran, Baghdad na Syria... Mpaka jioni hii Kwa majira ya Africa Mashariki hakuna tunachoweza kuficha kuhusu athari zilizojitokeza kuhusiana na makombora yaliyofurushwa na iran. Iran ilirusha takribani makombora 180 kuelekea...
  9. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Ukifuatilia sana yanayojiri huko Israel, Lebanon, Iran, Palestina, Russia na Ukraine unaweza fikiri Dunia itawaka moto usiku huu na Kuteketea kabisa

    Wakuu, Kichwa cha thread chahusika. Yaani ukijifanya kuwa mfuatiliaji sana wa kinachojiri huko kwa wenzetu unaweza pata wasiwasi na kuhisi dunia itafikia mwisho usiku wa leo. Kumbe maisha yapo tu na yataendelea kuwepo sana. Mwanzoni wakati nasikia Russia ikiwapiga beat Ukraine pamoja na...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Breaking news, wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon

    Wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon kufuatia shambulizi la kushtukiza yaani ambush lililofanywa na Hezbollah, Hezbollah waliwavamia wanajeshi wa Israel ghafla na kuanza mashambulizi ya kurushiana RISASI kitu kilichopelekea kuuwawa Kwa wanajeshi hao, Israel Bado haijatoa taarifa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kifo cha mwanajeshi wake wa kwanza tangu uvamizi wa Lebanon

    Mwanajeshi wa kwanza wa Israel amethibitishwa kuuawa ndani ya Lebanon tangu uvamizi wa ardhini kuanza. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon siku ya Jumatano. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 alikuwa katika...
  12. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Yemen yatangaza vita na israel (Yemen Declares War with Israel)

    Yemen rasmi wametangaza vita na Israel na wamewataka wakazi wote wa Tel Aviv kulihama hilo jiji la mashoga tel aviv, kwa kuwa lipo ndani ya uwezo wao kulibamiza na wameshaonesha hilo nara mbili tatu. Wameendelea kusema kuwa "hauliwi Myemeni na yeyote yule duniani bila damu yake kulipwa, tupo...
  13. ITR

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 8 wa Israel wauawa kwenye shambulizi la Hizbullah

    Wanajeshi zaidi ya 8 wa Israel wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya ambush ya kushutukiza ya wapiganaji wa hizbullah wakati wa jaribio la wanajeshi hao kuingia kwenye kijiji cha mpakani cha Odaisseh nchini Lebanon ,wanajeshi wa Israel walirazimika kurudi nyuma baada ya shambulizi hilo...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Antonio Guterres apigwa marufuku kukanyaga Israel kwa kushindwa kulaani shambulizi la Iran na kuunga mkono magaidi

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Israel imempiga marufuku personal non grata Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa Antonio guterres kwa kushindwa kulaani shambulizi la makombora ya masafa marefu ya Iran dhidi ya Israel. Israel pia inamtuhumu kuwa na sera zenye uelekeo wa kutetea na kuunga...
  15. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

    Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia! Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika (huu ni mfano), ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Umewahi jiuliza kama Israel akirusha Mabovu 200 kwenda Irani nini kitatokea ?

    Kama moja tu lilichimba mpaka handaki
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran asema mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome wa Israel ni mwepesi na laini kama glasi

    Wadau hamjamboni nyote? Mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome ni laini mno na upo sawa tu na glasi ya maji au juice Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: . October 02, 2024 at 08:45 Pezeshkian calls Iron Dome 'fragile,' warns of stronger response if Israel retaliates...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuzima mashambulizi ya Irani Israel imeendelea na mshambulizi huko Lebanon

    CNN, wanarepoti kuwa Israel imeendelea kufanya mashambulizi makali ya anga usiku wa kuamkia Leo. Haya yanajili baada ya jana Iran kufanya mashambulizi kama sehemu ya onyo kwa Israel kuacha kuendelea kushambulia Lebanon na Gaza na kuua viongozi wa ngazi za juu wa vikundi hivyo. Source: CNN
  19. G

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Israel Itapotezea kulipa Kisasi kwa Iran mpaka imalizane na Hizbola kwanza. Iran itawekwa kiporo kama Hizbola wakati wanashambulia Hamas

    Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa Kwa Sasa sababu...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Iran ijipange upya. Walichoweza ni kuua Mpalestina moja wakati Israel inalipua viongozi, maghala ya silaha, pagers zikiwa mifukoni n.k

    Seriously !! Iran walichoweza hadi sasa ni kuua mplestina 1, Kupania kote kule kurusha makombora 200+ wameua mpalestina moja ? Israel Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi, wataalam wabobezi wa Iran na Uturuki walihangaika sana kuitafuta siku nzima wakaja kuipata usiku wa...
Back
Top Bottom