israel

  1. Jeshi la Israel IDF linajitayalisha Na "shambulio Ambalo Halijawahi Kushuhudiwa". Tangau Kuanza Kwa Vita

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameelezea kuwa Israeli itaendelea kudhibiti Gaza nzima licha ya shinikizo la kimataifa ambalo linaitaka kuondoa kizuizi cha vifaa vya misaada ambacho kimeiacha eneo hilo ukingoni mwa njaa. Jeshi la Israeli, ambalo limetangaza kuanza kwa operesheni mpya limewaonya...
  2. Waziri Mkuu wa Israel aruhusu tena misaada kupelekwa Gaza

    Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri la usalama mapema leo jioni. Katika taarifa ya kuthibitisha uamuzi huo...
  3. Nchi za kiarabu zakutana Iraq na kupiga picha ya pamoja siku moja kabla ya Israel kuanzisha operesheni ya kuiteka Gaza.

    Mataifa ya kiarabu yameendelea kujitusi yenyewe kwa kufanya kikao nchini Iraq na kuondoka bila matamo yanayoendana na wakati. Katika mkutano huo wa 34 mataifa hayo yamerudia azimio la kuijenga upya Gaza na kwamba wanapinga kuhamishwa kwa wapalestina kutoka ardhi yao hiyo. Mkutano huo...
  4. Mwarabu mmoja Amtemea mate Mwanajeshi wa kike huko Tel Aviv Israel

    Raia mmoja wa Israel mwenye asili ya kiarabu leo akiwa kwenye usafiri wa Umma wakati anashuka alimtemea mate Mwanajeshi wa jeshi la Israel IDF kisha kukimbia tukio hilo lilinaswa na kamera za cctv zilizomo kwenye basi hilo. Juhudi za kumtafuta zinaendelea baada ya wataalamu wa Forensic-lab...
  5. Hamas waona Mateka wa moto. Yataka Israel iwapokee, Israel yasema ikae nao tu haina shida nao kwa sasa

    Hamas wanasema wamechoka kushikilia mateka. Na wameshtuka Netanyau anawatumia hao mateka kuwachabanga Hamas. Hataki waachiliwe. Yenyewe imechoka nao kwa sasa. Inasema ipo tayari kuwaachilia hata nusu. Na inashangaa mbona kama Netanyau hana shida nao? Toka mwanzo Hamas wanahisi kama waliingizwa...
  6. Wahouthi wadai kufyatua makombora mawili kuelekea Israel.

    Houthi wa Yemen wanaoungwa mkono na Iran wamesema wamefyatua makombora mawili ya masafa marefu (ballistic missiles) kuelekea Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion usiku wa kuamkia leo. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limesema kombora moja la masafa marefu lililolengwa kuelekea Israel liliingiliwa kati...
  7. Israel yasema hata wakiachiwa mateka yenyewe itaendelea kuwagonga Hamas. Haicheki na wowote

    Netanyau huyu jamaa inawezekana ni muda mrefu alikuwa akitafuta sababu ya kuwachabanga Hamas. Hamas wakajichanganya. Wakajaa kwenye mfumo. Sasa kichaa kapewa panga. Anapasua roho zao. Hamas wanasema wapo tayari kukabidhi nusu ya mateka. Neta anasema hata mkitaka kaeni nao sisi hatuna haraka...
  8. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Jopo lake wakiangalia Ndege-Vita za Israel zikishusha kipondo kwa Wa-HOUTHI huko Yemen!!

    Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a.(BIBI) leo kabla ya SABATO kuanza hapo saa 12 jioni alishuhudia “LIVE” kipondo kilichokuwa kikishushwa kwa nguvu kwa Wahouth huko Yemen 🇾🇪 Inasemekana bandari zote tatu zinazomilikiwa na Wahouthi hao zimeshambuliwa vibaya sana. Hili ni jibu...
  9. Wahouthi sasa hivi wanapigwa na ndege vita za Israel

    Ndege-vita za Israel sasa hivi zinapiga kwenye bandari zinazomilikiwa na Houth hii inafuatia Jaribu lao la kurusha kombola la balestic huko Israel hata hivyo kombola hilo li lipo polewa na Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel!!!🇮🇱
  10. Magaidi wa Houth warusha kombola Israel tena!

    Magaidi wa Houthi wanaendelea kuchezea shurubu za SIMBA kwa kurusha kombola la Balistic nchini Israel na limepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
  11. Video: Hamas Al-Qassam vikiwalenga wanajeshi na magari ya Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam: "Picha kutoka kwa mashambulizi ya "Simba wa Al-Muntar", ambayo yalilenga askari na magari ya adui katika kitongoji cha Al-Shuja'iya, mashariki mwa Jiji la Gaza, Aprili 25, 2025. Kanda hii inaonyesha mapigano ya saa mbili huku jeshi la Israel...
  12. Kwa nini Israel inaendelea kushambulia Gaza wakati ni Mwaka Sasa hatujasikia kombora kutoka huko?

    Najaribu kujiuliza. Aliposhambuliwa na Hamas aliwapiga Hadi Sasa hawewezi kabisa kujibu na hawajajibu chochote. Aliposhambuliwa na Hesbullah aliwapiga sana na kiongozi wao ambaye walikuwa wanamfuatilia miaka yote wakaamua kuumoteza. Hesbullah imepigwa kiasi cha kunyimwa kabisa uwezo wa kurusha...
  13. Kwa nini Mwandishi wa habari wa Ki-Palestina Hassan Aslih Majeshi ya Israel yalitaka sana auliwe?

    Ni kweli kabisa Majeshi ya Israel yalijaribu mara moja kutaka kumuua Mwandishi huyo wa Kipalestina Hassan Aslih na kumjeruhi vibaya sana akalazwa Hospitali ambako jana waliamua kumfuata huko huko na kumuangamiza bila huruma yoyote. Swali linarudi kwa nini Israel ilitaka sana hasa kuwaua...
  14. Mwandishi wa habari wa Palestina Hassan Aslih aliyeandamana na Magaidi wa Hamas Oct 07,2023 kuvamia Israel aangamizwa.!!!

    Kulingana na ripoti kutoka Gaza, mwandishi wa habari wa Palestina Hassan Aslih, anayejulikana kwa kuandika shambulio la Hamas la Oktoba 7 na kuwa na uhusiano wa karibu na Hamas, aliuawa katika shambulio la anga la Israel katika Hospitali ya Nasser huko Khan Younis. Alikuwa amelazwa hospitalini...
  15. Houthi wachekelea ndege zao kulipuliwa na Israel yasema Ndege zao zote zina Bima kubwa

    “Yemenia”: Our Aircraft are Insured Against War Globally Except for Yemen’s Airports Due to “International Classification” Yemen Airways imepinga kwa nguvu taarifa "zisizo kweli na zisizo sahihi" zilizosambazwa na baadhi ya mashirika ya habari ya kimataifa, ambayo yalidai kwamba ndege za...
  16. U

    Jordani yakataa kumzika mfungwa aliyeachiliwa huru aliyefariki kwa saratani

    Maajabu Jordan yagoma kupokea mwili wa gaidi mfungwa wa kundi la kipaleatina Islamic jihad na kuurudisha misri aliachiwa huru na Israel Wadau hamjamboni nyote? Moatassem Radad ni mpalestina mwenye asili ya Jordan na alikuwa gaidi hatari wa kundi la kipaleatina la Islamic jihad na Alikuwa...
  17. G

    Israel ukitupa jiwe pembeni ya nyumba yake yeye anakubomolea nyumba yako kabisa. Sasa ni zamu ya Yemen na Iran

    Waarabu waliokutana na kisasi Cha Israel wamenyamaza kimya hawatamani hata kuwasikia Gaza kupitia magaidi wa hamas 7october walichokoza kidogo tu Israel Leo miji yao ni magofu wanagombea CHAKULA Cha misaada Misri ilipigwa imetulia kimya hata kuwafungulia ndugu zao mlango wa Rafah wakimbilie...
  18. Hamas kumuachia mateka Mmarekani, Israel haikujulishwa juu ya mazungumzo

    Hamas wamekubaliana na marekani kumuachia raia pacha wa israel na marekani hapo kesho,baada ya mazungumzo ya Hamas na marekani Marekani hivi karibuni imekua ikiingia makubaliano na makundi hasimu ya mashariki ya Kati bila kuihusisha israel,yakiwemo makubaliano na houthi ambayo yalipiga pande...
  19. U

    Amani itapatikana Mashariki ya Kati kwa Wapalestina kukiri Israel ni Familia teule, takatifu yenye baraka zote za Mungu wao aliye wa kweli

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa ndugu zetu Wapalestina na waarabu kwa ujumla wao Njia pekee ya kumaliza vita Mashariki ya kati na kuishi kwa amani ni kutambua na kukubali kuwa Mayahudi ni taifa teule lenye baraka zote za Mungu Watambue kuwa kushindana na wsteule hao...
  20. Marekani kuongoza ugawaji misaada Gaza ikiitaka Israel isisogelee karibu.Hamas na UN wanawasi wasi na mpango huo.

    Mwanadiplomasia wa Marekani nchini Israel amefichua mpango ambao utaanza hivi punde wa kuingiza misaada eneo la Gaza ili kuokoa maisha. Huckabee amesema mpango huo utashirikisha makampuni binafsi na kwamba Israel haitohusika isipokuwa kwenye ulinzi tu kwani hilo ni eneo la vita bado.Mpango huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…