israel

  1. U

    Marekani na Israel wanajiandaa kuishambulia Iran ndani ya kipindi cha wiki moja

    Mchambuzi wa runinga ya taifa ya Iran amesema Jumapili kuwa usitishaji wa mapigano uliopo kwa sasa ni kipindi kifupi tu kwa Israel na Marekani kujipanga upya, na kwamba wataendelea na mashambulizi yao dhidi ya Iran hivi karibuni. “Ushahidi uliopo unaonesha kuwa Israel, kwa msaada wa Marekani...
  2. Nchi hailindwi Kwa Bunduki ,inalindwa Kwa UMOJA na Mshikamano wa Wananchi kupitia Haki ! Wairan wameishinda Israel na Marekan si Kwa Uwezo wa kijeshi!

    Uwekezaji Mkubwa a Kijasusi alouwekeza Israel nchini Irani, ulifikia Hatua ya kudhani Operation ya Kumuua Kiongozi wa Iran, Ayatollah, na kuwaua Wakuu wa MAJESHI nchini Iran haraharaka kungepelekea Taharuki ambayo ingewainua Wairan na kuwafanya waingize Barabaran na kupindua Serikali yao kama...
  3. Awamu ya pili vita israel na Iran inanukia

    Ndani ya wiki moja baada ya kusitisha mapigano, israel imepokea zaidi ya tani 800 za silaha toka marekani, ujerumani na nchi za magharibi,bila shaka na makombora ya udunguaji ya iron dome Pakiwa na taarifa kwamba awamu ya pili ya mashambulizi itakua mzito zaidi na kuenea zaidi ndani ya iran...
  4. C

    Kumbe israel mwamba sana.........

    Niaje niaje.............irani huko Amezika majenerali na wanasayansi zaidi ya 60..........kwenye vita vya siku 12 tu..........hakika huu ni ushindi kwa bibi netanyahu kwenda kwa Israel bila kikomo.........wale wa Iran wa bonyokwa ,kipanda uso,jambiani kaburi moja ,itigi na mwana kelekwe karibuni...
  5. Papa Leo azitaka Iran na Israel kuwajibika na matendo yake

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya uwajibikaji katika matendo yao wakati mzozo kati ya mahasimu hao wawili ukizidi kufukuta. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya...
  6. Kumbe kilogram zote 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa na Iran kwa asilimia 60 ziliyeyushwa na mabomu ya Marekani na Israel

    Imeweza kuthibitishwa sasa kwamba yale mabomu ya Marekani na Israel yaliweza kuyeyusha kabisa kilogram 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa kwa asilimia 60 na Iran. Vyanzo vya kuaminika ndani ya nchi hiyo vimetoa taarifa ya siri kwa jarida la New York kuwa baada ya uchunguzi wa kutumia...
  7. U

    Breaking news magaidi wa kihusi wa Yemen wanaosaidiwa na Iran warusha makombora ya masafa marefu kuelekea Israel

    IDF says missile fired by Houthis apparently downed; no reports of injuries By Emanuel Fabian Follow Today, 7:29 am A ballistic missile launched at Israel by the Iran-backed Houthis in Yemen was likely intercepted by air defenses a short while ago, the military says. The IDF says attempts were...
  8. U

    Maelfu wahudhuria Mazishi ya majenerali wa Iran waliouawa na Israel kwenye mapambano ya siku 12

    Thousands line streets to mourn Iranian generals, nuclear scientists killed during war with Israel By AP Today, 8:34 am Mourners gather in Enghelab Square to attend the funeral ceremony of the Iranian army generals, nuclear scientists and their family members who were killed in Israeli strikes...
  9. W

    Iran hawana jeshi, wana mgambo, ona orodha ya viongozi wakubwa wa jeshi waliouawa kwa siku chache na marubani wa kike wa Israel

    Vita ya siku chache zilizopita Israel walitoa kipaumbele kikubwa kwa marubani wa kike, Hivi ni vichwa vilivyoliwa na marubani wa kike kwa siku 12 tu. Jenerali Mohammad Bagheri – Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Iran Aliyesimamia vikosi vyote vya kijeshi vya Iran na ulinzi wa kitaifa. (hapa kwetu...
  10. Mahakama Israel yakataa kuahirisha kesi dhidi ya Netanyahu

    Mahakama moja nchini Israel imekataa ombi la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kuahirisha kusikilizwa kwa kesi yake dhidi ya rushwa, baada ya rais wa Marekani Donald Trump kutaka kesi hiyo ifutiliwe mbali. Wakili wa Netanyahu alimuomba jaji katika mahakama hiyo kuahirisha kesi hiyo kwa wiki...
  11. H

    Wizara ya IranYasema Mashambulizi Ya Israel Nchini Iran Yaliua Watu 627.

    Wizara ya afya ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 627. Taarifa hizi zinatisha ukizingatia vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Tushukuru vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Kama ingedumu hata kwa miezi mitatu tu ingekuwa ni maelfu ya vifo. Ili kuondoa vifo hivi ambavyo...
  12. Serikali yawarejesha Watanzania 42 kutoka nchini Iran na Israel

    SERIKALI YAWAREJESHA WATANZANIA 42 KUTOKA NCHINI IRAN NA ISRAEL. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea...
  13. Serikali ya warejesha Watanzania 42 kutoka nchini Iran na Israel

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
  14. Serikali yawarejesha Watanzania 42 kutoka nchi Iran na Israel

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
  15. Kwa nini Israel iliishambulia Iran je Malengo yametimia??

    Nyota zilijipanga': Kwa nini Israeli ilianza vita dhidi ya Iran, na nini ilichopata. IDF iliona kuongezeka kwa tishio la nyuklia, pamoja na kuanguka kwa vikundi vya Hamas,Hezbollah na Houth, na utayari wake wa kuchukua hatua kufikia kilele; ‘tishio lililopo’ limeondolewa, lakini Iran itaendelea...
  16. Sajil-2: Kombora hatari la Iran linalofika Israel kwa 'dakika 7'

    Mzozo wa hivi karibuni wa kijeshi kati ya Israel na Iran umekuwa jaribio la uwezo wa mapigano wa nchi zote mbili, pamoja na silaha zao. Wakati Iran ilipoishambulia tena Israel wiki moja na nusu iliyopita, ilidai kwa mara ya kwanza kwamba kombora la Sajil-2 la Iran lilitumika katika shambulio...
  17. Urusi na ututuki zaingiwa na hofu baada ya Israel kutawala anga la Iran na kuangamiza kila walichotaka

    Nchi hizi mbili zimeanza mchakato wa kupitia upya tekinolojia wanazotumia kwenye ulinzi wa anga baada ya Israel kuiangamiza Iran kwa kiwango kikubwa mno. Jamii nzima ya kimataifa imepatwa na mshituko mkubwa kutokana na umahiri wa Israel kwenye medani za kivita na katika kuchukua anga la nchi...
  18. Iran yawakamata na kuwanyonga washukiwa kufuatia mzozo wa Israel

    Mamlaka ya Iran imewakamata na kuwanyonga watu kadhaa wanaoshukiwa kuwa na uhusiano na mashirika ya kijasusi ya Israel, kutokana na vita vya hivi majuzi kati ya nchi hizo mbili. Hatua hiyo inawadia baada ya kile maafisa wanaelezea kama kuingiliwa kwa huduma za usalama wa Iran na maajenti wa...
  19. Shambulizi la Israel katika soko la Gaza laua Wapalestina 18, madaktari wanasema

    Takriban Wapalestina 18 wameuawa baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani za Israel kulenga kitengo cha polisi cha Hamas kilichojaribu kudhibiti soko katika mji wa Deir al-Balah katikati mwa Gaza, madaktari wameiambia BBC. Walioshuhudia tukio hilo walisema ndege zisizo na rubani za Israel...
  20. N

    Lijue kombora la Iran linalofika Israel kwa dakika 7 tu

    Sajil-2: Kombora hatari la Iran linalofika Israel kwa 'dakika 7' Chanzo cha picha: Getty Images Maelezo ya picha: Jaribio la kwanza la mafanikio la kombora hili lilifanyika mwaka 2008 Mzozo wa hivi karibuni wa kijeshi kati ya Israel na Iran umekuwa jaribio la uwezo wa mapigano wa nchi zote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…