israel

  1. Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amedai kuwa Israel inataka kumuua!!!

    Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amedai kuwa Israel inataka kumuua. Katika mahojiano na mchambuzi wa Marekani Tucker Carlson, Pezeshkian alisema, "Walijaribu, ndiyo. Walitenda ipasavyo, lakini walishindwa," bila kutoa tarehe maalum ya jaribio la madai. Alidai kuwa Israel, sio Marekani, ndiyo...
  2. Israel yaanzisha mashambulizi katika maeneo lengwa ya Wahouthi huko Yemen

    Israel inasema imeanzisha mashambulizi kwenye bandari tatu na kiwanda cha nguvu za umeme katika maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi ya Yemen. Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alithibitisha wanacholenga ikiwa ni pamoja na meli ya kibiashara ya Galaxy. Meli hiyo, iliyotekwa nyara na kikundi...
  3. Meli ya tatu yazamishwa na Houth sambamba na kuipiga Israel makombora mawili yaliyotua shabaha yake Tel Aviv na Jerusalem

    Meli moja kubwa ya mizigo ikielekea Israel kupitia Red Sea imepigwa kwa njia tofauti kulazimsiha mabaharia wote kujiokoa wakiicha meli hiyo ikiwaka na kunywa maji. Njia zilizotumika ni kutumia droni za baharini ambapo mbili zilifanikiwa kuigonga meli hiyo wakati moja iliwahi kuharibiwa na...
  4. A

    Hezbullah haitasalimisha silaha zake chini ya vitisho vya Israel

    Mkuu wa Hezbullah anasema kundi la Lebanon bado liko wazi kwa amani, lakini halitasalimisha silaha zake , hadi pale Israel atawacha mashambulizi yake ya anga na kuondoka kusini mwa Lebano, pia walio ahidi USA na Saud Arabia kuijenga Lebanon na kuwachiwa mateka wote wa Lebanon Mkuu wa Hezbullah...
  5. Mwanajeshi wa Israel aliyeshiriki kuua halaiki huko Gaza ajiua kutokana na msongo wa mawazo

    Mwanajeshi wa Israel Daniel Edri, ambaye alishiriki katika mauaji makubwa ya halaiki huko Gaza na Lebanon, alijikuta katika msongo mkubwa wa mawazo (PTSD). Kiasi cha kuchukua maamuzi ya kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake, ambalo liliungua katika msitu karibu na mji wa Safed uliokaliwa kwa...
  6. Hezbollah imesema hawatasalimu amri kwa vitisho vya Israel

    Kiongozi mpya wa Hezbollah, Naim Qassem, amesema kundi lake halitoweka chini silaha wala kujisalimisha licha ya vitisho vya Israel. Akihutubia maelfu ya wafuasi wake wakati wa maadhimisho ya Ashura mjini Beirut, Qassem alisisitiza kuwa, "vitisho hivyo havitatufanya tukubali kusalimu amri.”...
  7. Netanyahu: Israel haiyakubali mapendekezo ya Hamas

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema Kundi la Wanamgambo wa Kipalestina la Hamas linatafuta mabadiliko "yasiyokubalika" kwa pendekezo jipya la kusitisha mapigano huko Gaza Ukanda. Netanyahu amenukuliwa na Shirika la Habari la DPA, akisema mabadiliko ambayo Hamas inataka kuyafanya...
  8. Kampuni ya teknolojia ya nVidia kuwekeza kiwanda kikubwa Israel

    Haka kainchi kanazidi kuneemeka ndio maana Waarabu wamekubali yaishe wanatia Saini mkataba wa Abrahams accord, sasa itabaki makobaz Waafrika na chuki zao walizoaminishwa. Kubwa lao Iran lilishakalishwa linaugulia tu ----++ Nvidia is actively seeking land to build a massive multibillion-dollar...
  9. Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: Abwabwaja kuishambulia Israel bila kusita!

    Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: "Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu." “Mytake” Ikiwa kweli walirusha makombora 2,000 na UAV, ambayo ni karibu 1% tu iliyotua katika eneo la Israeli. Basi...
  10. Gesi Kali Aina ya Benzene Imevuja Na Kutanda Mji wa Haifa, Israel Baada ya Makombora ya Iran Kupiga Kituo Cha Usafishaji Mafuta

    Gesi kali aina ya Benzene imevuja na kutanda mjini Haifa, Israel baada ya Iran kulipua kituo cha usafishaji mafuta mjini humo Uvujaji wa gesi hiyo imerikodiwa kuwa mara 100 ya kiasi kile cha kinachoruhusiwa hivyo kuhofia kuleta magonjwa ya kansa na pumu kwa wananchi waishio mji wa Haifa, Israel...
  11. Analysis reports ya kitaalam nani kashinda Vita Iran vs Israel

    https://www.youtube.com/watch?v=SqJvJ4Yv8Xw Kila Mmoja ameshinda kivyake ila faida amepata Israel malengo yote 100% Iran kwake kupona kwa Ayatollah na kuendelea kutawala Iran ni Ushindi kwake 100%
  12. Ambao hawakuona Tehran ikichakazwa na Israel Video hii hapa, kumbe magari ni Kama Makaratasi yanapepea hewani ''Kaboom''

    https://video.a7.org/media/a7radio/misc/video/25/jul/video5996852085654558388.mp4 Am sure Iran kipigwa sana hadi kulia lia eti walipwe fidia. Ndio Maana Israel walikuwa wanatoa kabisa kwa Raia wasikae karibu na maeneo ya Utawala wa Ayatollah
  13. G

    Kihistoria Israel Huwa anashambulia viongozi wakubwa kuanzia Goliath mpalestina, hamas, Hizbolah na Iran ni kuponda kwanza nyoka kichwa

    Israel inakuwa na specific target ambazo wanafikia kwa asilimia kubwa na kwa akili kubwa Ndivyo ilivyotokea kwa Iran Ofisa wa usalama wa Taifa na msaidizi wake Makamanda wakuu wa jeshi Wanasayansi wa Nyuklia Ayatollah kama sio Kuombewa na Trump anggeliwa kichwa pamoja na kuhama hama mashimo...
  14. Israel imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60 - Trump

    srael imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60, Trump anasema Israel imekubali "masharti ya lazima" ili kukamilisha usitishaji vita wa siku 60 huko Gaza, Rais wa Marekani Donald Trump amesema. Wakati wa makubaliano yaliyopendekezwa, "tutafanya kazi na pande zote kumaliza...
  15. Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

    Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
  16. U

    Marekani na Israel wanajiandaa kuishambulia Iran ndani ya kipindi cha wiki moja

    Mchambuzi wa runinga ya taifa ya Iran amesema Jumapili kuwa usitishaji wa mapigano uliopo kwa sasa ni kipindi kifupi tu kwa Israel na Marekani kujipanga upya, na kwamba wataendelea na mashambulizi yao dhidi ya Iran hivi karibuni. “Ushahidi uliopo unaonesha kuwa Israel, kwa msaada wa Marekani...
  17. Nchi hailindwi Kwa Bunduki ,inalindwa Kwa UMOJA na Mshikamano wa Wananchi kupitia Haki ! Wairan wameishinda Israel na Marekan si Kwa Uwezo wa kijeshi!

    Uwekezaji Mkubwa a Kijasusi alouwekeza Israel nchini Irani, ulifikia Hatua ya kudhani Operation ya Kumuua Kiongozi wa Iran, Ayatollah, na kuwaua Wakuu wa MAJESHI nchini Iran haraharaka kungepelekea Taharuki ambayo ingewainua Wairan na kuwafanya waingize Barabaran na kupindua Serikali yao kama...
  18. Awamu ya pili vita israel na Iran inanukia

    Ndani ya wiki moja baada ya kusitisha mapigano, israel imepokea zaidi ya tani 800 za silaha toka marekani, ujerumani na nchi za magharibi,bila shaka na makombora ya udunguaji ya iron dome Pakiwa na taarifa kwamba awamu ya pili ya mashambulizi itakua mzito zaidi na kuenea zaidi ndani ya iran...
  19. C

    Kumbe israel mwamba sana.........

    Niaje niaje.............irani huko Amezika majenerali na wanasayansi zaidi ya 60..........kwenye vita vya siku 12 tu..........hakika huu ni ushindi kwa bibi netanyahu kwenda kwa Israel bila kikomo.........wale wa Iran wa bonyokwa ,kipanda uso,jambiani kaburi moja ,itigi na mwana kelekwe karibuni...
  20. Papa Leo azitaka Iran na Israel kuwajibika na matendo yake

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya uwajibikaji katika matendo yao wakati mzozo kati ya mahasimu hao wawili ukizidi kufukuta. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…