KATIBU wa CCM Mkoa wa Iringa, Said Goha, amefutwa kazi na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, kwa tuhuma za ulevi uliokithiri unaodaiwa kuchafua taswira ya chama hicho tawala.
Chacha ametoa uamuzi huo wakati akizungumza katika mkutano maalumu wa CCM...