iran

  1. B

    JamiiForums Tanzania Misaada ya kibinadamu ya Uswisi kwa Iran, Marekani yaafiki

    Kitanzi cha vikwazo kwa Iran chapata mwokozi kunusuru mamilioni ya Wairan Uswiss yajitwisha kuokoa jahazi baada ya Iran kuelemewa na vikwazo walivyowekewa na Marekani. Katika msaada huo wa kibinadamu kwa Iran, Uswiss imeihakikishia Marekani kuwa haitavunja vikwazo zilivyotangazwa. Misaada...
  2. JamiiForums Tanzania Trump minimizes severity of head injuries in Iran attacks

    WASHINGTON (AP) — President Donald Trump on Wednesday minimized the severity of head injuries sustained by U.S. troops during an Iranian missile strike on an Iraqi air base as he was pressed on why he'd claimed no troops had been injured in the attack. “I heard they had headaches and a couple...
  3. JamiiForums Tanzania Trump amuonya Ayatollah Khamenei wa Iran. Amtaka kuchunga kauli zake

    Rais wa Marekani, Donald Trump mnamo Ijumaa alimuonya kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kuwa "mwangalifu sana na maneno yake," baada ya kiongozi huyo wa Iran kuitumia hotuba adimu kwa taifa hilo "kuidharau Marekani" na kulitetea jeshi la Iran. Trump aliandika katika ukurasa wake wa...
  4. JamiiForums Tanzania Iran: Nchi zilizopoteza raia katika ajali ya ndege zadai fidia

    Mataifa yaliyopoteza raia katika ajali ya ndege ya Ukraine iliyodunguliwa na Iran yameitaka Tehran iwajibike kikamilifu, uchunguzi wa kimataifa uanzishwe na familia za wahanga zilipwe fidia. Mawaziri wa mambo ya nje wa Canada, Uingereza, Ukraine, Sweden, Uholanzi na Afghanistan wamekutana...
  5. JamiiForums Tanzania Iran: Aliyerekodi video ya kuangushwa kwa ndege ya Ukraine akamatwa

    Iran imesema kuwa imemkamata mtu aliyerekodi kipande cha video kinachoonesha tukio la kutunguliwa kwa ndege ya abiria ya Ukraine. Inaaminika, mtu anayeshikiliwa atakabiliwa na mashtaka yanayohusiana na usalama wa taifa. Ndege ya Ukraine PS752 iliangushwa muda mchache baada ya kupaa kutoka...
  6. JamiiForums Tanzania Iran yawakamata walioidungua kimakosa ndege ya Ukraine

    Serikali ya Iran imetangaza kuwakamata watu kadhaa waliohusika kulipua kombora kimakosa na kuangusha ndege ya Ukraine. Tukio hilo lilisababisha watu wote 176 waliokuwapo ndani ya ndege hiyo kufariki wakitokea Uwanja wa Ndege wa Tehran. Tangazo hilo limetolewa leo Jumanne Januari 14 muda mfupi...
  7. JamiiForums Tanzania Tukio la kutia hamasa waandamanaji Iran walivyokwepa kukanyaga bendera ya Marekani na Israel

    Mzuqa, Juzi tuikio la ajabu lilitokea Tehran Iran ambapo waandamanaji wanaopinga utawala wa Ayatollah walikwepa kukanyaga Bendera za Marekani na Israel walipokuwa wanaandamana kupinga utawala dhalimu wa Ayatollah na kumshinikiza ajiuzulu. Ni kawaida Iran kuchora bendera za Marekani na Israel...
  8. JamiiForums Tanzania Katika hili, Marekani imeshamkamata Iran

    Hapa ndio waarabu na jamaii kama hizo zinapofeli Kundi la waandamanaji limetaka Kiongozi wa Juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao baada ya kukiri kuitungua Ndege ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la Ukraine (UIA) na kusababisha vifo vya...
  9. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Iran waandamana baada ya Serikali kukiri kuitungua ndege ya Ukraine

    Tehran. Muda mfupi baada ya Serikali ya Iran kukiri kuitungua ndege kwa bahati mbaya, kundi la waandamanaji nchini humo limejitokeza kutaka kiongozi wa juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao. Ndege aina ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la...
  10. JamiiForums Tanzania Ukraine kuwalipa fidia wahanga wa ajali ya ndege

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky Ukraine imetangaza leo kuwa itazilipa fidia ya dola 8,000 za Marekani familia za raia wake waliokufa kwenye ajali ya ndege iliyotokea Iran mapema wiki hii. Mpango huo umetangazwa na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ambaye amesema pia atalazimisha Iran kutoa...
  11. JamiiForums Tanzania MH17 ilitunguliwa huko Ukraine mwaka 2014 mwaka 2020 Boeing ya Ukraine imetunguliwa Iran

    Zote mbili ni ndege za abiria, zote mbili kwa nyakati tofauti zimetunguliwa na kile kinachodhaniwa kuwa ni makombora ya kutungulia ndege vita. Tatizo la ndege zote mbili ni kupita eneo la Vita. Ile ya MH 17 inadhaniwa ilitunguliwa na waasi wa Ukraine wanaoungwa mkono na Urusi kwa silaha...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Cheki bongo star search ya Iran na Ayatollah ndio jaji

    Mzuqa! Hizi sankshen za Marekani dhidi ya Iran balaa na zina effect kubwa sana. Pia ukitazama kwa makini utamuona Qassim Solemani kwenye mstari wa mbele akilia sana enzi za uhai wake huku kafunika uso wake kwa kiganja. Inaonekana hii ni kama bongo star sech yao ama X Factor yao. Nimecheka...
  13. JamiiForums Tanzania Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

    Iran imetangaza kuwa jeshi lake "bila kukusudia" liliitungua ndege ya Ukraine, iliyoanguka na kuua watu wote waliokuwemo ndani yake huku wengi wao wakiwa ni raia wa nchini Iran. Taarifa hiyo mnamo Jumamosi asubuhi inalaumu "kosa la kibinadamu" lililofanyika katika tukio hilo. Ndege ya Ukraine...
  14. JamiiForums Tanzania Mke wa rubani wa ndege ya Ukraine iliyoanguka nchini Iran, alimuonya mumewe kutosafiri siku ile

    Kateryna Gaponenko ambaye ni mke wa rubani wa ndege ya abiria ya Ukraine iliyoanguka muda mchache baada ya kuondoka kutoka uwanja wa ndege mjini Tehran amesema kuwa alimuonya mumewe asisafiri na anaamini ndege hiyo iliangushwa. Kateryna Gaponenko alikiambia kituo cha runinga cha Sky News kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Trump anaamini katika Mabavu na Vitisho na Vita dhidi ya IRAN. Ben Sanders anaamini katika Serious negotiations na IRAN anamuonya TRUMP asitumie nguvu

    Bernsanders anaamini Vita na Iran vikianza si vya kuisha Leo vitachukua miongo kadhaa anashauri kuwepo na mazungumzo imara kuleta mahusiano mema na IRAN mashariki ya kati. Trump yeye haamini katika mazungumzo anatumia Vitisho na anawaonya IRAN watakiona cha mtema kuni. Nani zaidi?
  16. JamiiForums Tanzania Ajali ya ndege ya Ukraine: Iran yakana madai kuwa ilidungua ndege ya Ukraine

    Iran kwa mara nyingine imakana madai kuwa makombora yake yaliidungua ndege ya abiria ya Ukraine karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Tehran siku ya Jumatano. Mkuu wa mamlaka ya anga amesema ana ''uhakika'' kuwa ndege hiyo haikushambuliwa na kombora. Mkuu huyo alikuwa akijibu madai yaliyotolewa na...
  17. JamiiForums Tanzania Missile strike kills eight pro-Iranian militia members on Syria border

    Eight pro-Iran militia have been killed by an airstrike on the border between Iraq and Syria according to reports. Eight pro-Iran militia have been killed by an airstrike on the border between Iraq and Syria according to reports. The eight victims were allegedly apart of the Hashed al-Shaabi...
  18. JamiiForums Tanzania Iran atapigwa tu kipigo cha mbwa mwizi - Anatafutiwa sababu na Kumbe kweli kwa makosa Aliitungua Ndege ya abiria ya Ukrain!U

    Sasa imefahamika kwa picha za satelite kwamba Iran iliitungua ndege ya abiria ya Ukrain na kuuwa zaidi ya abiria 170. Canada wamekuja juu, German wamekuja juu na uingereza wamekuja juu. Kinachofuata ni kama kile kilichotokea Libya, Jeshi la Nato litaipiga Iran Muda wowote. Na inasemekana si...
  19. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani lazuia vita dhidi ya Iran, kura zapigwa

    Bunge la Wawakilishi nchini Marekani limepitisha azimio linalolenga kumzuia Rais Donald Trump kupigana vita na Iran. Bunge hilo ambalo linafahamika pia kama Kongresi limepitisha azimio hilo kwa kura 224 dhidi ya 194. Hata hivyo azimio hilo lililopitishwa na Kongresi ambayo ina wawakilishi...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Picture za base ya US iliopigwa na Iran

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…