iran

  1. JamiiForums Tanzania Iran imemhukumu kifo mtu aliyetuhumiwa kupeleka taarifa za kiusalama kwa wamarekani

    Mahmoud Mousavi Majd amehukumiwa kufa kwa tuhuma za kupeleka taarifa za kiusalama za Iran kwa wamarekani na kufanikisha mpango wa kumuua Qassem Soleimani. Majd ameuawa Julai 20, kwa amri ya mahakama. Mahakama ilisema kuwa Majd alikuwa na uhusiano na Shirika la kijasusi la kimarekani, CIA, na la...
  2. JamiiForums Tanzania Iran threatens war with Israel as mysterious explosions rock Iranian nuke sites

    Iranian military leaders on Friday issued fresh threats against Israel amid a series of mysterious explosions at Iranian nuclear and military sites that many believe were conducted by the Jewish state. Brigadier General Abolfazl Shekarchi, spokesman for Iran's armed forces, lashed out at Israel...
  3. JamiiForums Tanzania Iran walialia baada ya vinu vya nyuklia kupigwa kirusi, waapa kulipiza kisasi

    Hii hatari sana kuwa na kinu cha nyuklia ambacho kinashambuliwa kizembe hivi, yaani ni kama huwa wanatumiwa ujumbe wa salamu, kwamba muda wowote wanaweza kusambaratishwa kwa kutumia vitu vyao wenyewe. === Iran is claiming a fire and possible explosion at its Natanz nuclear plant on July 2...
  4. JamiiForums Tanzania Milipuko kwenye hospitali Iran yaua 19

    Milipuko hiyo inasemekana ilisababishwa na kufuja kwa gesi.... At least 19 die as huge explosion tears through buildings in Iranian capital Tehran The explosion occurred at the Sina At'har health centre in the north of the capital Thirteen people were initially reported dead, but that number...
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi la Iraq lavamia kambi ya kundi linaloungwa mkono na Iran la Kataib Hezbollah, 14 wakamatwa

    Habari! Vikosi vya usalama vya Iraq vimevamia kambi ya kundi lenye nguvu linaloungwa mkono na Iran la Kataib Hezbollah kusini mwa Baghdad na kuwakamata wanamgambo 14 sambamba na zana za kivita zikiwemo roketi, duru zimearifu. Operesheni hiyo maalumu iliyofanyika mwishoni mwa siku ya Alhamisi...
  6. JamiiForums Tanzania Iran: Wanaume 3 wakamatwa kwa kuwauza watoto wachanga Instagram

    Mkuu wa polisi katika mji mkuu wa Iran -Tehran, Brigadia Jenera Hossein Rahimi, amesema kuwa mmoja wa watoto hao wachanga alikuwa ni wa siku 20.Mwingine alikua na umri wa mwezi mmoja. Watoto hao wachanga walikua tayari wamenunuliwa kwa hadi dola $500 (£400), na walikua wanauzwa tena kwa dola...
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

    "Tunatangaza leo kwamba popote Wamarekani walipo, tuko karibu nao, na watahisi uwepo wetu hata zaidi katika siku za usoni" yalikuwa ni maneno ya mkuu wa walinzi wa maji wa Iran bw Alireza Tangsiri katika sherehe huko kusini mwa Iran. Pia alieleza kwa msisitizo kuwa "Iran hatamwabudu adui...
  8. JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela | República Bolivariana de Venezuela

    | Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela, Bolivarian Republic of Venezuela au República Bolivariana de Venezuela Ni taifa linalopatikana bara la Amerika Kusini katika uwanda wa juu wa Caribbean, likiwa limepakana na Colombia - Magharibi, Brazil - Kusini Mashariki, Guyana - Mashariki, Trinidad na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

    Hawa Iran washenzi sana aisee! Waliwekewa vikwazo na Marekani ktk uuzaji wa mafuta, na wametakiwa wasimuuzie mafuta Venezuela. Haitoshi wakapigwa mkwara na Trump, lakini kwa kuwa walishamjulia Trump kuwa huelewa lugha moja tu, ile ya Iraq (kutwangwa makombora ya balistiki), walimuahidi akitia...
  10. JamiiForums Tanzania Msafara wa kuilaani Israel ambao hufanywa kila mwaka Iran, wasitishwa kisa corona

    Kila mwaka maelfu ya wa-Iran hujitokeza kwenye msafara na kupandisha mzuka huku wakifoka dhidi ya Israel, hutembea kwenye msafara wakijipiga vifua, ila mwaka huu imekua balaa, kirusi cha corona kimetuliza mizuka yote duniani. ============== Virus Lockdown Forces Iran Into Its First Virtual...
  11. JamiiForums Tanzania Meli ya Iran yachanganyikiwa na kufyatulia nyingine makombora na kuua wanajeshi 19 wa Iran

    Japo Waajemi wenyewe wanasema ilikua ajali kazini. One Iranian warship accidentally struck another with a missile during an exercise, killing 19 sailors and wounding 15 others, Iran's navy said on Monday. The incident took place during training in the Gulf of Oman, a sensitive waterway that...
  12. JamiiForums Tanzania It will be suicide for America to attack Iran

    Friday, 24 April 2020 11:24 AM [ Last Update: Friday, 24 April 2020 11:27 AM ] Two Iranian vessels maneuver near US military ships in the Persian Gulf on April 15, 2020. (Photo via AFP) By Stephen Lendman The US is an unprecedented bully on the world stage,to such an extent that it...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani: IMF msiikopeshe IRAN

    Marekani yaikataza IMF kutoa mkopo kwa Iran kukabiliana na COVID-19 Marekani imelizuia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoa mkopo wa dharura wa dola bilioni 5 za kimarekani kwa Iran, kutokana na kile ilichosema kuwa Iran itatumia pesa hizo katika shughuli za kijeshi badala ya kukabiliana...
  14. JamiiForums Tanzania 89% ya waliofariki na Corona wametoka bara la Ulaya, Marekani, China na Iran, huku 0.5% vikitoka Afrika na 0.2% weusi tii! Then why lockdown in Africa

    Ukifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia...
  15. JamiiForums Tanzania Trump amehamisha magoli ya vifo vya Corona kwa kuitisha Iran

    Trump ameamua kujaribu kuhamisha mjadala wa vifo vya wamarekani 5,112 waliokufa na Corona kwa kuitishia Iran. Trump, kwenye akaunti ya tweeter amedai kuwa Iran na mawakala wake wanapanga kushambulia majeshi ya Marekani nchini Iraq Trump ameshindwa kabisa kupambana na Corona sasa ameamua...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Iran alaani shambulio lililofanywa na Marekani

    Iraq has condemned overnight US air strikes on Friday, with its military saying they killed six people and describing them as violation of sovereignty and a targeted aggression against the nation's regular armed forces. President Barham Salih said such "repeated violations" could cause Iraq to...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Iran wa dola za Kimarekani bilion 5 kutoka IMF kukabiliana na Covid 19

    Hatimaye leo serikali ya Iran wameipigia magoti IMF ili iwapatie fedha zaidi ya $5bil za kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona sasa sijui IMF watawapatia masharti gani. === The Governor of the Central Bank of Iran said he has asked the International Monetary Fund (IMF) for a $5 billion...
  18. JamiiForums Tanzania Iran: Naibu Waziri wa Wizara ya Afya agundulika kuambukizwa Virusi vya Corona

    Naibu Waziri Iraj Harirchi ambaye amekuwa mstari wa mbele nchini humo katika kupambana na #coronavirus amegundulika kuambukizwa virusi hiyo Msemaji wa Wizara hiyo amethibitisha hayo alipokuwa anafanya mahojiano na chaneli ya runinga ya Taifa na kusema Naibu Waziri huyo amewekwa sehemu maalumu...
  19. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Marekani walioathirika ubongo kutokana na shambulio la Iran wafikia 109

    Idadi ya wanajeshi wa Marekani wanaougua majeraha ya ubongo kufuatia shambulio la Iran dhidi ya wanajeshi wa Marekani katika kambi moja nchini Iraq mwezi Januari imefikia 109, kulingana na maafisa wa Marekani. Idadi hiyo iliongezeka kutoka wanajeshi 64 walioripotiwa hapo awali na Pentagon. Rais...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Misaada ya kibinadamu ya Uswisi kwa Iran, Marekani yaafiki

    Kitanzi cha vikwazo kwa Iran chapata mwokozi kunusuru mamilioni ya Wairan Uswiss yajitwisha kuokoa jahazi baada ya Iran kuelemewa na vikwazo walivyowekewa na Marekani. Katika msaada huo wa kibinadamu kwa Iran, Uswiss imeihakikishia Marekani kuwa haitavunja vikwazo zilivyotangazwa. Misaada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…