iran

  1. M

    Dailymail Exclusive: Jinsi mwanasayansi wa Iran Mohsen Fakhrizadeh alivyouawa na Mossad kumbe umeme ulikatwa

    Inakuwaje! Extraordinary detail about Fakhrizadeh's final moments have been revealed by Iranian journalist Mohamad Ahwaze who claims he received leaked information from the country's authorities. Daily mail tabloid ya Uingereza imefanikiwa kupata taarifa nyeti kutoka kwa muandishi wa habari...
  2. C

    Israel yathibitisha kuwa Taifa kubwa kwa Intelijensia baada ya kumuua Mkuu wa Nyuklia wa Iran

    Niaje niaje, Nilikuwa napitia moja ya habari kutoka mtandaoni kwenye website ya CNN Nimekutana na habari ya kushtua kidogo kiongozi na Mkuu wa shirika la Nuclear wa Irani jina lake gumu kidogo. Ameuawa baada ya kufanyiwa ambushi na Jeshi la Israel ndani ya nchi yake. Yaani alikuwa ndani ya...
  3. Marekani yaziwekea vikwazo vya kiuchumi Kampuni 4 za China na Urusi kwa kusapoti teknolonia ya Nyuklia Nchini Iran

    The United States on Friday announced economic sanctions on Chinese and Russian companies that Washington said had supported the development of Iran’s missile programme. The four firms, accused of “transferring sensitive technology and items to Iran’s missile programme”, will be subject to...
  4. Kambi ya Iran nchini Syria yashambuliwa tena mara ya tatu ndani ya wiki moja na Israel - Wanajeshi wa Pakistan 18 wafariki

    Ni baada ya Balozi wa UN kudumu wa Israel Gilad Erdan kuliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa Jeshi la Iran na wafuasi wake waondoke haraka sana nchini Syria kwani itawaangamiza wote Alielezea kwenye barua yake aliyomuandikia Mkuu wa Baraza hilo. Report: 19 pro-Iran fighters killed...
  5. Serikali yasalimu Yawaachia huru Wavuvi haramu 8 kutoka Iran

    Wavuvi wa Iran walioachiwa huru kutoka Magereza ya Tanzania walipokelewa kwa furaha na Viongozi na familia zao huko Nchini Iran baada ya Maongezi na Serikari ya Tanzania. Bado wengine hawajaachiwa ni miaka minne sasa ishapita tokea wasweke ndani... ===== Eight Iranian sailors, held in...
  6. Kwa picha: Cheki Iran ilivyo ishambulia kambi hatari ya iraq ya H 3 enzi za vita vya Iran na Iraq

    Hii ni operesheni iliyofanya na ndege vita za iran dhidi ya kambi hatari kuliko zote za majeshi ya Iraq iyo kambi ililindwa na mifumo mikali kutoka urusi na baadh yake kutoka Marekani lakin kwa kutumia utaalamu wao marubani wa iran walishambulia hiyo kambi bila kupoteza hata ndege moja ndege...
  7. Kwanini drone za Iran ni ngumu kuonekana kwenye rada

    Nimekuwa nikijiuliza swali kwa muda. Drone za Iran zimefanikiwa kuingia saudia bila kugundulika kwenye rada kila siku zinapita katikati ya aircraft carries za Marekani na kupiga picha muhimu kisha kuondoka bila kugundulika yaan mimi nakosaga majibu kabisa
  8. Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake wa usalama iwapo aishambulie Iran kijeshi

    Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake iwapo atoe amri ya kushambuliwa kwa vinu vya nyukilia vya Iran akiwa amebakiza miezi 2 aondoke madarakani. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa jarida la New York Times. Hata hivyo washauri wake wa usalama walimuonya kutofanya hivyo kwa sababu hatua hiyo...
  9. Kidon kikosi maalum cha mauaji ndani ya Mossad kilichomuua Alqaeda number 2 katikati ya jiji la Tehran Iran

    Abu Mohammed al-Masri, mmoja wa wanachama waanzilishi wa kundi la kigaidi Alqaeda , aliuawa kwa risasi tano zilizopigwa kutoka kwa bastola ya silencer alipokuwa amekaa kwenye gari lake katika mji mkuu wa Iran wa Tehran mnamo Agosti. Aliuawa pamoja na binti yake Maryam mwenye umri wa miaka 27...
  10. Iran ndio nchi ya kwanza kufurahia anguko la Donald Trump

    Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kuiitoa nchi yake katika mkataba wa kimataifa wa mpango wa Nyuklia wa Iran. Ameutaja mpango huo kuwa si salama kwa Marekani na raia wake, huku akisema kuwa mpango huo ni kero kwa taifa la Marekani. Licha ya wito kutoka jumuiya ya kimataifa, Ufaransa...
  11. Vikwazo vya silaha dhidi ya Iran vyafikia tamati leo

    Vikwavo vya kuuza na kununua silaha vya UN dhidi ya Iran vilivyo dumu kwa muongo mmoja vimemalizika hii leo. Hatua ya kufika tamati kwa vikwazo hivyo kutaiwezesha Iran kununua na kuuza silaha zake. Hata hivyo licha ya vikwazo vya silaa taifa hilo limekuwa likiimarika kijeshi kila kukicha na...
  12. Trump aapa kulipiza mara '1,000' shambulio la Iran dhidi ya balozi wa Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump ameapa kujibu mara "1,000’," kwa shambulio lolote la Iran. Hii ni baada ya taarifa kwamba Iran ilikuwa inapanga kumuua balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini, Lana Marks. "Shambulio lolotela Iran, la muundo wowote, dhidi ya Marekani litakutana na shambulio dhidi...
  13. M

    Serikali ya Iran yashtushwa kwa wingi wa Wairan kubadilika dini na kuwa Wakristo

    Inakuwaje wanaJF! Ni rahis sana kwa mkristo kuwa Muislam kuliko Muislam kuwa Mkristo kwasababu kwa wakristo wengi kuna uhuru na siyo kulazimishwa na hakuna kutishiwa kuuwawa kama kwa Waislam ulibadilisha dini. Ndio maana kuna msemo wa wale waliobadilisha dini kutoka uislamu hadi Ukristo...
  14. Israel yashambulia vituo vya Iran nchini Syria

    Israel will not tolerate an Iranian threat on its border with Syria and will do whatever is necessary to stop the terrorist regime. ==== The Israeli Air Force (IAF) on Monday night bombed targets in southern Syria, during which five were killed and several others were injured, the country’s...
  15. Iran imemhukumu kifo mtu aliyetuhumiwa kupeleka taarifa za kiusalama kwa wamarekani

    Mahmoud Mousavi Majd amehukumiwa kufa kwa tuhuma za kupeleka taarifa za kiusalama za Iran kwa wamarekani na kufanikisha mpango wa kumuua Qassem Soleimani. Majd ameuawa Julai 20, kwa amri ya mahakama. Mahakama ilisema kuwa Majd alikuwa na uhusiano na Shirika la kijasusi la kimarekani, CIA, na la...
  16. Iran threatens war with Israel as mysterious explosions rock Iranian nuke sites

    Iranian military leaders on Friday issued fresh threats against Israel amid a series of mysterious explosions at Iranian nuclear and military sites that many believe were conducted by the Jewish state. Brigadier General Abolfazl Shekarchi, spokesman for Iran's armed forces, lashed out at Israel...
  17. Iran walialia baada ya vinu vya nyuklia kupigwa kirusi, waapa kulipiza kisasi

    Hii hatari sana kuwa na kinu cha nyuklia ambacho kinashambuliwa kizembe hivi, yaani ni kama huwa wanatumiwa ujumbe wa salamu, kwamba muda wowote wanaweza kusambaratishwa kwa kutumia vitu vyao wenyewe. === Iran is claiming a fire and possible explosion at its Natanz nuclear plant on July 2...
  18. Milipuko kwenye hospitali Iran yaua 19

    Milipuko hiyo inasemekana ilisababishwa na kufuja kwa gesi.... At least 19 die as huge explosion tears through buildings in Iranian capital Tehran The explosion occurred at the Sina At'har health centre in the north of the capital Thirteen people were initially reported dead, but that number...
  19. Jeshi la Iraq lavamia kambi ya kundi linaloungwa mkono na Iran la Kataib Hezbollah, 14 wakamatwa

    Habari! Vikosi vya usalama vya Iraq vimevamia kambi ya kundi lenye nguvu linaloungwa mkono na Iran la Kataib Hezbollah kusini mwa Baghdad na kuwakamata wanamgambo 14 sambamba na zana za kivita zikiwemo roketi, duru zimearifu. Operesheni hiyo maalumu iliyofanyika mwishoni mwa siku ya Alhamisi...
  20. Iran: Wanaume 3 wakamatwa kwa kuwauza watoto wachanga Instagram

    Mkuu wa polisi katika mji mkuu wa Iran -Tehran, Brigadia Jenera Hossein Rahimi, amesema kuwa mmoja wa watoto hao wachanga alikuwa ni wa siku 20.Mwingine alikua na umri wa mwezi mmoja. Watoto hao wachanga walikua tayari wamenunuliwa kwa hadi dola $500 (£400), na walikua wanauzwa tena kwa dola...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…