iran

  1. Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

    🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Jeshi la Iran limesema kipaumbele cha kwanza wakati likitoa mkong'oto kwa Israel ni kuteka mji wa Jerusalem kutoka kwa Magaidi ya kiyahudi (LGBT) 🇮🇷 Iran says liberating Jerusalem is our first issue in the Islamic Republic.
  2. U

    Israel yaanza kufunga Balozi zake kama tahadhari ya kushambuliwa na Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Hali siyo nzuri huko madhariki ya kati Israel imeanza chukua hatua za tahadhari kwa kufunga ofisi zake za ubalozi kwenye nchi mbalimbali duniani zake ikihofia mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran. Hatua hizi zinafuatia shambulizi lililofanywa kwenye makazi ya balozi...
  3. Balozi zote za Israel duniani kote haziko salama tena kuanzia sasa, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran. Mapigo yatakua nje na ndani

    Third World War Info -Balozi za Israel duniani kote haziko salama tena, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran Khamenei. -Licha ya Iran kuendelea kupanga namna itavyoshambulia na kuimaliza Israel, Iran imeongeza tena mipango yake yaapa kulipiza kisasi kushambulia balozi zote za...
  4. Israel wanaishi kwa mashaka kuogopa kwa kipigo toka Iran

    Israel imeamua ku jamming GPS kuogopa kipigo toka Irani cha Missile na Drone za mauaji. Wamesahau kua Irani anatumia GLONAS ya Mrusi ambayo inapenya popote Wakati huohuo Magaidi wa Kizayuni wamefungua mahandaki na kuingiza familia zao zisije kuchakazwa.... ⚡️BREAKING Israel has jammed GPS at...
  5. Iran ndani kwawaka moto, wanajeshi 5 wapigwa na kuuawa

    Maskini Iran inapigwa kote, sio ndani, sio nje yaani wanavuna walichopanda kwenye maugaidi ya dini yao.... 5 Iranian Security Officers Reported Killed In Clashes Eight gunmen and five members of Iran's security forces were killed in clashes at two separate points in southeastern Iran, state...
  6. Israel imefungua vituo vya kujikinga kwa mabomu mjini Tel Aviv, ikihofia mashambulio ya makombora ya Iran

    Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametoa wito kwa nchi zote za Kiislamu kuungana dhidi ya Israel. Hali ya mtaa huko Haifa nchini Israel na kufurika kwa wa-Israel kuelekea vituo vya kujikinga na mabomu Hofu imetawala: Israel imebana GPS katika viwango vya juu zaidi katika eneo lake kwa hofu ya...
  7. Irani ikishambulia ndani ya nchi ya Israel itakua mwisho wa serikali ya kiislam ya Iran

    Kumekua kunazagaa taarifa kwamba Iran inajiandaa kuishambulia Israel kama kujibu mashambulizi….. Basi huo ndio utakua mwisho wa Iran. Ikumbukwe kwamba Israel imekua ikimtamani Iran siku nyingi sana na ilishajipanga hata kupigana vita na iran bila hata ya US. Kwasababu israel haikuweza...
  8. Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani

    Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora makali zaidi na yenye kusafiri kwa kasi na mlipuko mkubwa kuliko kawaida kulenga maeneo ya kimkakati ndani ya Israel. -Mifumo ya vita vya kielektroniki vya Iran inasonga mbele karibu na Ghuba ya Uajemi...
  9. Muda mfupi uliopita, IOF iliamua kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga kutokana taarifa za Iran kushambulia

    Wanaukumbi. 🚨 Muda mfupi uliopita, IOF iliamua rasmi kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga "kutokana na hali ya usalama." Kwa saa kadhaa, jeshi la anga na ulinzi wa IOF vimekuwa katika hali ya tahadhari na tayari kabisa, wakihofia jibu la Iran kwa shambulio la IOF la...
  10. Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

    Ripoti za kiuchunguzi za CIA zinaeleza kuwa Iran inaendelea kujiandaa na mashambulizi ya drones ndani ya Israel hasa kwenye maeneo yake ya viwanja vya ndege na kambi za jeshi... Wakati haya yakijiri Huko Iran na Israel nao kupitia waziri wa ulinzi bwana GALLANT amesema kuwa "vikosi vyetu vipo...
  11. Iran yataka Umoja wa mataifa (UN) kulaani shambulizi la Israel nchini Syria

    Iran kupitia balozi wake wa Umoja wa mataifa umeitaka UN kulaani shambulizi lililofanywa na Israel kwa kushambulia ubalozi wake uliopo Syria. Iran imesema Israel ni tishio kubwa mashariki ya kati huku ikiapa kulipa kisasi. Hapo Jana waziri wa ulinzi wa Israel alisema Taifa hilo lipo tayari kwa...
  12. Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

    "Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha. Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na...
  13. Urusi yalaani shambulizi la Israel ubalozi wa Iran nchini Syria na kumuua jenerali wa Iran

    Kupiga ubalozi wa Iran ni mithili ya kushambulia ndani ya taifa la Iran, Israel wameendelea kuua wakuu wa jeshi la Iran, jana wamepiga ubalozi wa Iran na kuua wakuu wa jeshi humo, nilitegemea Iran ifanye kitu cha maana ila ndio hivyo! ================================ Russia condemned an...
  14. Ubalozi wa Iran umeshambuliwa Damascus kiongozi wa revolutionary Guard Corps amefariki

    BREAKING: The Iranian consulate in Damascus has been "destroyed", according to the Syrian state news agency. Further reports claim that a senior commander in the Iranian Revolutionary Guard Corps has been killed but the ambassador survived Israeli imeshafanya yake
  15. Israel yafanya mashambulizi makubwa Syria, wanajeshi wa Iran miongoni mwa waliouawa

    Israel imefanya mashambulizi makubwa huko Syria yakilenga wapiganaji, hifadhi za silaha na vituo vinavyotumiwa na wanajeshi wa Iran. Idadi ya waliouawa ni zaidi ya 30 ikiwemo wanajeshi wa Iran, wapiganaji wa Hezbollah, nk. Al Jazeera
  16. Viongozi wa jeshi la Iran wauawa kwenye shambulizi la Israel kule Syria

    Hakuna kupumzika, kote mnapigwa.... Urusi walijifanya shobo na nyie watu, wakapokea kibano, huyu Iran wenu mnayemtegemea, naye hasazwi..... A series of airstrikes targeted sites belonging to Iran's Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) in the Deir Ezzor region of eastern Syria on Monday...
  17. Iran imepiga hatua kubwa kwa zana za kivita

    Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita. Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea umbali wa km 2000,na kuruka futi 35000 toka usawa wa bahari. Jambo hili limemuuzi sana USA na...
  18. K

    Iran yaanza uuzaji silaha kimataifa

    Tokea mwaka jana mwishoni vikwazo vya silaha vilipoisha kwa Iran,Iran imeonesha drone mpya iitwayo Gaza Doha yenye uwezo wa kutembea maili 1200 sawa na kilometa 2000 na yenye uwezo wa kubeba mabomu mpaka 13. Tutarajie mpinzani mwingine katika soko la uuzaji silaha. Pia hii itakua fursa kwa...
  19. Hezbollah watoa hakikisho kwa maskini Iran kwamba kwa vyovyote vile hiyo Iran haitapiganishwa na Israel

    Imebidi Iran wawaagize hao Hezbollah waje kutoa hakikisho kwamba huo uchokozi wao kwa Israel haitokuja siku waburuze Iran kwenye vita na Israel, wayafanye huko huko na wakipigwa wapokee tu kama HAMAS wanavyopokea...... ====================== Hezbollah has reportedly told its main backer Iran...
  20. Raia wa Iran waomba Israel ilianzishe dhidi ya uongozi wa Ayatollah, wao watamaliza

    Ikumbukwe juzi kwenye uchaguzi wa Iran, waliojitokeza kupiga kura ni wachache sana, yaani makundi ya watu wachache sana, watu wamechoka uongozi wa kikatili wa kidini, wanataka demokrasia ya kweli, hata timu yao ya taifa ilipofungwa walishabikia sana. Wameomba Israel ianzishe vita dhidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…