iran

  1. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Katika nyakati ambazo Iran anapaswa awe mpole na afiche kichwa chake basi ni wakati huu wa hatari, maana anapitia majaribu makubwa

    Amani kwenu wakuu Iran kashasoma nyakati yupo kama hayupo na mimi pia namwombea akae kwa kutulia hivyo hivyo, maana wale wababe wa Dunia wana mtafuta kwa nguvu nyingi sana Anapitia majaribu makali sana lakin hana budi kunyenyekea na kutulia na kuutazama msalaba Atulie hivyo hivyo...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Iran iba m

    Members Ritz na Webabu walituaminisha kuwa baada ya kile kipigo kule ndani Iran walikuwa wanajipanga kuja lipiza. Ni miezi mingi imepita wamejinyamazia tu. Toka wadhalilishwe na wanawake wa Kiyahudi. Nashindwa elewa wanatumia miezi mingapi kujipanga katika suala hili. Mbona ni suala ambalo...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Waafrika wengi hatuja evolve katika kutafuta refreshment kirahisi kwa kusoma vitabu, walking therapy, MDT, etc bali ni mitungi na mikasi

    Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu? Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc...
  4. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Trump amuomba Putin kuongea na Iran asiangamize Israel

    Katika mazungumzo Yao hii leo Rais Trump alimdokeza Rais Putin kuwa ajitahidi Iran isiwe katika Hali ya kuiangamiza Israel. Wajuvi wa mambo wanaeleza kuwa hatua hii tayari inaonesha kuwa marekani inachukua tahadhari zote kabla ya kupambana na Iran ikiwa ni pamoja na kuwasiliana kwanza na Russia.
  5. Bams

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tishio la Marekani Kuiadhibu, Iran Yajitetea Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Baada ya Rais Trump kutoa onyo kwa Iran kuwa mashambulio ya Houthis wa Yemen dhidi ya meli za kiraia yanasaidiwa na Iran, kwa Iran kwa Serikali ya Iran kuwapa Houthis makombora, drones na taarifa za kiintelijensia, na kwamba kuanzia sasa kombora lolote lirakalorushwa na Houthis, Iran inalipa...
  6. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Donald Trump mambo magumu Yemen . Aiangushia lawama Iran na kuapa kuchukua hatua Kali dhidi ya Iran

    Baada ya masaa 36 ya mashambulizi ya kulipizana kisasi. Donald Trump amekuja na mpya Leo anasema mashambulizi yeyote yatakayofanywa na houth kuanzia sasa atachukulia ni Iran imehusika kuanzia silaha , intelijensia n.k. Hivi huyu trump kama Yemen wanamtoa jasho atawaweza Iran?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kesho Jumatatu Iran itafanya mazoezi makubwa sana ya kijeshi na Urusi na China ikiwa ni maandalizi ya utayari

    Wadau hamjamboni nyote? Joint naval drills organized annually between Iran, Russia and China will start tomorrow in the southeastern Iranian port of Chabahar, Iran’s Tasnim news agency reports.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Iran aomba kujiuzulu

    Hatimae makamo Rais wa. Iran kajiuzulu baada yakuona sera ya misimamo mikali Rais wake haifaagilii ==== Hayo yameripotiwa na Shirika la habari la Iran, IRNA ambalo limearifu kwamba Zarif, amewasilisha barua hiyo mapema leo kwa Rais Masoud Pezeshkian. Hiyo itakwua ni mara ya pili kwa Zarif...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Lebanon yanasa dola milioni 2.5 kutoka Iran zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Hezbollah.

    Lebanon yatwaa dola milioni 2.5 zilizokuwa zikitumwa kwa Hezbollah kutoka Iran baada ya kumnasa mtu kwenye uwanja wa ndege katika tukio "lisilo na mfano". Mtu anayedaiwa kubeba dola milioni 2.5 pesa taslimu zilizokuwa zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Lebanon Hezbollah aliripotiwa kuzuiliwa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Lebanon amwambia Spika wa Bunge la Iran: Tumelipa gharama kubwa kuwatetea Wapalestina na hivyo tumechoka na vita vya nchi nyingine!

    Wadau hamjamboni nyote? Lebanon imechoshwa na vita vya nchi nyingine Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: February 23, 2025 Lebanese president tells Iranian parliament speaker: Country is ‘tired of others’ wars’ Lebanese President Joseph Aoun tells Iranian Parliament Speaker Mohammad...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Lebanon yapiga marufuku ndege za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutua uwanja wa ndege Beirut, maelfu ya abiria wakwama kusafiri

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Dozens of Lebanese nationals have been stranded at the international airport in Tehran since this morning after Lebanese aviation authorities informed the Iranian Mahar Air airline that its flight to Beirut would not be...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii helicopter mpya ya Iran mbona ni kama imeundwa na mtoto wa shule ya msingi kwa kutumia mabox

    Naona wana maono ya uhakika kabisa kuivamia washington na tel aviv na mabox, hongera sanaa kwao.
  13. U

    JamiiForums Tanzania IDF yasema Serikali Iran imeanza tena kuwapelekea fedha magaidi wa Hezbollah kupitia uwanja wa ndege wa Beirut, lengo kukijenga upya kikundi hicho

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Iran kupitia Jeshi lake la irgc wameanza kuwapelekea Fedha magaidi ya Hezbollah kupitia uwanja wa ndege wa Beirut =============== Iran’s IRGC Quds Force has been smuggling cash to the Hezbollah terror group in Lebanon via the Beirut international airport in...
  14. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa humu aliwahi kuandika kuwa kupigana kwa Israel na Iran ni mpango wa Mungu kuwapa ushindi Hamas. Msipende kumhusisha Muumba na vituko vyenu

    Mimi nadhani mnachanganya Mungu na itikadi yenu. Ya Mungu ni ya Mungu, ya itikadi yenu ni itikadi Kwa hio Mungu ndio aliwatuma hamas kwenda kila nyumba na kuua kila familia na kuwachoma moto? Mungu ndie muhasisi wa ugaidi wa iran, hezbollah na hamas? Washamba kwwli nyie
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Asif Rahman aliyekuwa C.I.A, akiri kuvujisha siri za mipango ya Israel kuishambulia Iran

    Mchambuzi wa zamani wa CIA Asif Rahman alikiri katika mahakama kwa kuvujisha rekodi za siri, ikiwa ni pamoja na mipango ya Israeli kuishambulia Iran. Rahman, aliyekamatwa nchini Kambodia mnamo Novemba na baadaye kuletwa Guam, alikiri kupata, kuchapisha, na kuzigawa mnamo oktoba. Alijaribu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kipigo cha Israel dhidi ya Iran 0ctober 26,024 yanazidi kudhihirika

    Mnamo October 26,2024 Israel ilifanya shambulizi la kulipiza kisasi dhidi ya Iran,katika shambulio hilo Israel ilitumia anga la Iraq kulitekeleza huku ndege chache aina ya F 35 zikipenya anga la Iran bila kutambuliwa na ulinzi wa Anga wa Iran Baada ya shambulizi Hilo Iran ilikuja na majibu...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa Beirut waanza kuwakagua hata wana diplomasia wa Iran tofauti kabisa na ilivyokuwa huko nyuma

    Uwanja wa ndege wa Beirut unatekeleza hatua kali kwa safari za ndege za Irani, pamoja na mwanadiplomasia - hii ndio sababu. Akiwasili kutoka Tehran kwenda Beirut kwa ndege ya "Mahan Air", mwanadiplomasia wa Iran alitoka moja kwa moja kutoka kwenye ndege hadi kituo cha ukaguzi cha skana ya...
  18. Bams

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Aapa Kutumia Nguvu Kubwa Kuwapiga Houthi; Mkuu wa Mossad Ataka Israel Ianze Kuipiga Iran.

    Baada ya shambulio la kombora la Houthi tokea Yemen kutua eneo la wazi, na kujeruhi kiasi watu 16, huku mitambo ya ulinzi wa anga ya Israel ikishindwa kulizuia, jana Jumapili 22 Oktoba 2024, Baraza la vita la Israel lilifanya kikao na kuufikia uamuzi kuwa Houthi wa Yemen wapigwe kwa nguvu kubwa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Iran kutumia njia ya anga kupelekea silaha kwa magaidi ya Hezbollah, njia ya ardhini kupitia Syria imedhibitiwa na Israel baada ya kuangushwa Asad

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Iran sasa imeamua kutumia njia ya anga kupitia uwanja wa ndege wa Beirut kusafisha silaha nzito kwa washirika wao ambao ni magaidi ya Hezbollah Mazungumzo mazito yanaendelea muda huu huko tehran Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Live Update arrow...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa Morari pro Russia na Pro Iran

    Nimefanya utafiti mdogo wa wamashabiki wa vita na migogoro ulimwenguni nikagundua kushuka kwa morari Kwa pro Rashia na Iran,anguko kubwa lilitokea baada ya westi kuichukua Syria mikononi mwa miungu Yao Rasia na Iran,Pro Rasia na Iran wamebaki wanatetemeka hawajui hatma ya timu zao,baadhi akili...
Back
Top Bottom