Kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, Hossein Salami:
Anasema Ana’s humurukwa maelfu ya hati walizozipata kuhusu vituo vya nyuklia vya Israeli, mashambulizi yetu sasa yatakuwa sahihi zaidi. Taarifa hizo zinasaidia katika juhudi za kuliangamiza taifa la Israel.
Pigo hili la kijasusi sio la...
Vyanzo vya habari kutokea Syria na Lebanon: Utawala wa Syria ulitibua jaribio la jana katika eneo la Homs la kusafirisha shehena ya roketi zilizotengenezwa na Iran hadi katika ardhi ya Lebanon. Ikumbukwe kuwa utawala mpya wa Syria unapinga kabisa nchi hiyo kuwa njia ya kusafirisha silaha kwenda...
Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael
Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video)
Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za...
Wadau hamjamboni nyote? Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, Miundombinu nyeti zaidi ya nyuklia ya Iran iko chini kabisa ya ardhi na haiwezi kuharibiwa kwa kombora hata moja, mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la uangalizi wa...
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium, sehemu kuu ya mpango wake wa nyuklia. Khamenei anasema pendekezo hilo linapingana na maadili ya...
Iran imeendelea kurutubisha uranium hadi kiwango cha asilimia 60, na kwa sasa ina hifadhi ya uranium yenye uzito wa kilo 408.6.
Iwapo kutatokea shambulio, kiasi hiki kingetosha kutengeneza mabomu ya nyuklia 10 kwa haraka.
=====================
Iran has continued to enrich uranium upto 60% and...
Netanyahu amesema kama mazungumzo ya US na Iran yatashindikana juu ya Iran kuachana na urutubishaji wa mabomu ya nyuklia basi Israeli itashambulia vinu vya nyuklia vya Iran upesi iwezekanavyo.
Ayatollah Khomenei kasema hawezi kukubaliana na hoja za Marekani za kuachana na utengenezaji wa zana...
Iran leo kupitia waziri wake wa mambo ya nje Abbas Araghchi imesema haitoacha kurutubisha madini urani.
Siasa
Iran leo kupitia waziri wake wa mambo ya nje Abbas Araghchi imesema haitoacha kurutubisha madini urani.
Tamko hili la Araghchi linaonyesha msimamo wa jamhuri hiyo ya Kiislamu katika...
Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ametiliashaka kwamba mazungumzo ya nyuklia ya Marekani yataleta mwafaka, akisema kuwa taifa hilo limetoa masharti mengi na ya kukerankuhusu kurutubisha urani.
Hatujui iwapo yatasababisha mafanikio yoyote. Hatujui kitakachotokea, Ayatollah Ali...
Baada ya milipuko hiyo iliyoripotiwa na wakaazi wa jiji hilo, moto sasa unatanda katika milima ya Shiraz, Iran. Kwa mjibu wa taarifa za kijasusi hizo ni mvua za rasha-rasha zinazoendelea kuinyeshea iran wakati mvua za masika zikikaribia.
“Yajayo yanafurahisha sana”
Webabu mdogoye Adiosamigo...
Ndio, nchini Iran unaweza kisheria kuuza baadhi ya viungo vya mwili, hasa figo. Iran ndiyo nchi pekee duniani ambako uuzaji wa figo ni halali na unadhibitiwa na serikali. Mfumo huu uliwekwa ili kupunguza uhaba wa figo kwa wagonjwa wanaohitaji kupandikizwa.
Jinsi inavyofanya kazi Iran...
Baada ya Hauthi kusitisha mapigano, Seneta anayemuunga mkono Trump Tales asema Israeli 'Fanyani muwezavyo kwa ajili ya Kujilinda'
Seneta wa Republican Lindsey Graham wa Carolina Kusini, mmoja wa watiifu wakuu wa Trump katika baraza la juu la Bunge la Merekani, amesema Israeli kwa sasa ipo peke...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ni tetesi yasemekana kikosi hicho kinatumia teknolojia kubwa ya kipekee kuwahi kutokea duniani na hata mayahudi wameshangazwa sana
Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja.
Naona Watu wanahisi Ayatollah hakusema hayo.
Mjadala uliendelea na akakazia Hijja ni tukio la Siasa, tumieni akili
Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua...
Wadau hamjamboni nyote?
Iran yaanika hadharani makombora mapya ya masafa marefu yenye uwezo kupiga hadi kilometa 1,200
Tulishawaambia duniani kote hakuna anayemzidi uwezo kisayansi muiran mkabisha eti Muisrael ana akili kumbe hamna kitu
Siku yeyote kuanzia Sasa Wapalestina watatwaa ardhi yao...
Kufuatia ripoti kutoka Iran:
Milipuko na moto huo ulitokea katika kituo cha (kisicho cha nyuklia) "Montazere Ghaem - ambacho ndicho muuzaji mkuu wa umeme magharibi mwa Tehran.
Kando ya mtambo huo wa kuzalisha umeme kuna majengo na ofisi za kampuni ya "Qala Electric", ambayo inashirikiana na...
Iran inapoteza chanzo kingine muhimu cha mapato: Iraq itaacha kuagiza umeme kutoka Iran kutokana na vikwazo vya Marekani.
Iraq imewasha njia mbadala za umeme kuagiza umeme kutoka Jordan na Uturuki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.