iran

  1. Waziri Mkuu wa Israel Aapa Kutumia Nguvu Kubwa Kuwapiga Houthi; Mkuu wa Mossad Ataka Israel Ianze Kuipiga Iran.

    Baada ya shambulio la kombora la Houthi tokea Yemen kutua eneo la wazi, na kujeruhi kiasi watu 16, huku mitambo ya ulinzi wa anga ya Israel ikishindwa kulizuia, jana Jumapili 22 Oktoba 2024, Baraza la vita la Israel lilifanya kikao na kuufikia uamuzi kuwa Houthi wa Yemen wapigwe kwa nguvu kubwa...
  2. U

    Iran kutumia njia ya anga kupelekea silaha kwa magaidi ya Hezbollah, njia ya ardhini kupitia Syria imedhibitiwa na Israel baada ya kuangushwa Asad

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Iran sasa imeamua kutumia njia ya anga kupitia uwanja wa ndege wa Beirut kusafisha silaha nzito kwa washirika wao ambao ni magaidi ya Hezbollah Mazungumzo mazito yanaendelea muda huu huko tehran Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Live Update arrow...
  3. M

    Kushuka kwa Morari pro Russia na Pro Iran

    Nimefanya utafiti mdogo wa wamashabiki wa vita na migogoro ulimwenguni nikagundua kushuka kwa morari Kwa pro Rashia na Iran,anguko kubwa lilitokea baada ya westi kuichukua Syria mikononi mwa miungu Yao Rasia na Iran,Pro Rasia na Iran wamebaki wanatetemeka hawajui hatma ya timu zao,baadhi akili...
  4. Kwanini Iran haitaacha Kutoa sadaka waarabu katika malengo ya kuifuta Israel

    Usichangie uzi kama una mihemuko. Katulizeeee ukoo ikishuka njoo na kichwa chenye akili. Kujua hili lazima tujue serikali hii ya iran iliingiaje madarakani ✅1979 Kundi lenye itikadi kali lilipindua serikali ya kifalme ya shaa ✅Komeni muanzilishi wa itikadi kali alikua akipitisha mahubiri yake...
  5. I

    Serikali mpya ya Syria inajipanga kurejesha mahusiano na nchi za magharibi huku ikiipa Iran mkono wa kwaheri

    Ufaransa yarejesha bendera katika ubalozi wa Damascus huku mamlaka mpya ya Syria ikijenga mawasiliano na nchi za Magharibi. Ufaransa ilipandisha bendera yake katika ubalozi wake wa Damascus siku ya Jumanne kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12 na maafisa wa Umoja wa Ulaya walijitayarisha...
  6. Baada ya Syria, je, utawala wa Iran utafuata na kuanguka?

    Kwa wapinzani Iran, kuporomoka kwa utawala wa Bashar al-Assad ni muhimu kwa sababu Syria imekuwa msingi wa kimkakati kwa Iran katika kanda hiyo. Baada ya anguko la Assad huko Syria, je utawala wa Iran pia utaanguka? https://p.dw.com/p/4oG1C Matukio nchini Syria yaibua wasiwasi kote Iran, hata...
  7. Iran ndiyo ingekuwa Israel, Ritz na FaizaFoxy wangekuwa wanajidai hao

    Kwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa sema Ubwabwa inasema Wawa maana meno ya mbele yamedufuliwa yote. Aah Israel ni Israel tu, yani...
  8. I

    Hivi hii pesa ya Iran ikoje.? Mbona kama karatasi tu wakati wanatumia pesa nyingi kufadhili ugaidi..😲😲

    CBI ilisema katika taarifa kwamba bei ya wastani iliyogunduliwa kwa ununuzi wa dola ya Marekani katika Soko lake jipya la Sarafu la Bei Zilizokubaliwa kwa Pamoja ilikuwa rial 596,470 mwishoni mwa biashara hiyo Jumamosi. Ilisema kuwa wauzaji bidhaa nje walikuwa wametoa baadhi ya dola milioni...
  9. G

    Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

  10. Iran wanaangusha sana, sidhani kama anawaelewa

    Allah amesema kisasi ni haki, sasa Iran baada ya kupokea kichapo toka kwa marubani wakike wa ISRAEL, eti mpaka sasa ni zaidi ya mwezi wanaogopa kulipa kisasi. Mwanzo walikuwa na mbwembwe sana, lakini sasa wamelowa chepechepe. Ayatollah sijui anahofia nini yani ukiangalia uso wake anaona...
  11. U

    Jeshi la Israel Iajiandaa kushambulia mitambo ya kuzalisha silaha za nyuklia ya Iran, ni fursa muhimu kufuatia kuangushwa utawala wa Asad wa Syria

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa maandalizi yanaendelea kukamilisha malengo makuu Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Usiku mwema inshallah IAF continues preparations for potential strikes in Iran IDF sees chance for strikes on Iran nuke sites after knocking out Syria air defenses...
  12. I

    Israel ilivyo angamiza uwezo wa Iran kutengeneza makombora

    Mkuu wa majeshi ya Uingereza amesema katika shambulio lake la Oktoba 26 dhidi ya Iran, Israel ilizima karibu mfumo wote wa ulinzi wa anga wa Iran na ndege za kijeshi za kizazi cha tano mia moja na kuharibu uwezo wa Iran wa kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa mwaka mmoja. Ndege za...
  13. IDF: tunajiandaa kupiga tena Iran kwenye nuclear site zote

    Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi kupitia Kwa jeshi la Israel wametangaza mpango wao wa kupiga tena nuclear site zilizobakia nchini Iran. Leo IDF wametoa mchanganuo wa vita ya Syria hasa baada ya kuharibu Rada zote Syria pamoja na vituo vyote vya makombora ya Masafa marefu na mafupi pamoja...
  14. M

    Inasemekana Asad alikuwa anaisaidia Israeli kuwashambulia Iran na Hesbolah nchini kwake alipokuwa madarakani

    Wanajamii waswahili walisema kikulacho kimo nguoni mwako, usemi huu umedhihirika baada nyaraka kuvuja zikionyesha utawala wa aliyekuwa rais wa Syria Asad alikiuwa akishirikiana na serikali ya Israeli kuwabonda Iran na Hesbolah Kama mtakumbuka ndege za Isreli zilikuwa zinashinda zikipiga...
  15. Kuanguka kwa utawala wa Assad kumeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Iran na Urusi

    Utawala wa bashar al assad umeanguka Utawala wa assad ungetakiwa uanguke miaka zaidi ya 10 iliyopita sema kilichokua kinamsaidia ni msaada wa russia na iran ulimfanya kuweza kudumu kwa mda wote huo Syria wengi ni wa-sunni na ndo wanaounda vikundi vingi vya waasi hata hawa waliochukua nchi ni...
  16. Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

    Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad...
  17. Wananchi wa Syria wavamia ubalozi wa Iran, Damascus na kuharibu mali

    Baada ya utawala wa Assad kuondolewa, wananchi wa Syria wamevamia ubalozi wa Iran mjini Damascus na kuharibu mali ikiwemo Samani na komputa. Je mahusiano kati ya Iran na Syria yanaendelea Kama zamani au watakuwa maadui wakudumu. Source: Aljazeera
  18. B

    Je, kuanguka kwa utawala wa Bashar al-Assad huko Syria ni kushindwa kwa Russia na Iran?

    Honestly, kuanguka kwa huyu mwamba kiboko ya mataifa ya magharibi kumenihuzunisha sana. Was it coincidence or planned. Mbona imekuwa haraka sana wakati jana tu nimeskia Hezbollah wametuma maelfu ya wapiganaji kumsaidia ASSAD. Wasiwasi wangu ni hii nchi kuangukia kwenye machafuko ya kila mara...
  19. Iran yaanza kutorosha wanajeshi wake Syria, ni kubaya

    Lakini wadau tusishabikie sana, ikumbukwe hao waasi pia ni makatili wa ile dini na wanaweza wakawa wabaya hata kuzidi wanaokimbia, yaani popote kwenye hiyo dini ni laana, mauaji, chuki na vifo jameni....na wote wanaamini wanafanya kwa ajili ya 'mungu' wao.... =================== Iran Begins to...
  20. Yafahamu mamlaka ya Ayatollah na Rais katika nchi ya Irani

    Katika mfumo wa kisiasa wa Iran, kuna mgawanyo wa mamlaka kati ya Ayatollah (au Kiongozi Mkuu wa Kidini) na Rais, lakini mamlaka ya Ayatollah ni makubwa zaidi na yanashika nafasi ya juu kabisa katika uongozi wa nchi. Hapa ni maelezo ya mamlaka ya kila mmoja: --- Ayatollah (Kiongozi Mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…